Mbunge Dkt. Lugomela: Bungeni Tunakula Msoto, Nashindwa Hata Kulipa Ada za Watoto, ukipata Uspika au Kamati mambo yako mazuri

Mbunge wa Maswa Mashariki, Dkt. George Venance Lugomela, amesema maisha ya ubunge si rahisi kama wengi wanavyodhani, akidai kuwa wabunge wengi wanakabiliwa na changamoto za kifedha isipokuwa wale wanaoshika nafasi za uongozi kama Spika, Naibu Spika au Wenyeviti wa Kamati za Bunge.

Akizungumza katika video, Dkt. Lugomela alisema kwa hali aliyonayo kwa sasa amefikia hatua ya kushindwa kumudu baadhi ya majukumu ya kifamilia, ikiwemo kulipa ada za watoto wake katika shule za gharama.

"Natujia kuwa mbunge, bungeni tunakula msoto. Labda uwe Spika, Naibu Spika au Mwenyekiti wa Kamati. Mimi naona bora ningebaki kwenye ukurugenzi, au kama ingewezekana nirudi kwenye ajira. Bora hata niwe afisa wa kawaida kuliko ubunge," alisema Dkt. Lugomela.

Mbali na kauli hiyo, mbunge huyo alidai kuwa hali yake ya kifedha kwa sasa imemfanya ashindwe hata kulipa ada za watoto wake katika shule za gharama, akitumia hali hiyo kuelezea changamoto anazodai kukutana nazo tangu alipokuwa mbunge.

Kauli za Dkt. Lugomela zimeibua mjadala miongoni mwa wananchi na wadau wa siasa kuhusu hali halisi ya maslahi na mazingira ya kazi kwa wabunge nchini.
Hizi ni zarau(dharau) ma profesa na madaktari bingwa wanaacha kazi zao wanakuja kugombea ubunge, hata wakurugenzi wa mashirika,wakuu wa mikoa hadi wakuu wa wilaya wanaacha vyeo vya wote wanakimbilia ubunge, niambie kazi gani ambayo unaiga domo tu kama upo kwenye kijiwe cha kahawa na ikifika miaka mitano unapewa kifuta jasho si chini ya 200M, tuambie kazi gani ambayo mtu anapewa hela ya mafuta kulingana na soko la mafuta linavyobadilika, kama ubunge ni shida watu wasingekuwa wanahonga mamilioni, si hata wewe ulihonga mamilioni si unajua utapata zaidi, kuna dada yetu kaingia bungeni yeye kakopa hela ya vyombo vya dansi, bila kuingia bungeni, huo mkopo usio na riba agempa nani? acha upuuzi bana, jueni mnatuuzi.
 
Mbunge wa Maswa Mashariki, Dkt. George Venance Lugomela, amesema maisha ya ubunge si rahisi kama wengi wanavyodhani, akidai kuwa wabunge wengi wanakabiliwa na changamoto za kifedha isipokuwa wale wanaoshika nafasi za uongozi kama Spika, Naibu Spika au Wenyeviti wa Kamati za Bunge.

Akizungumza katika video, Dkt. Lugomela alisema kwa hali aliyonayo kwa sasa amefikia hatua ya kushindwa kumudu baadhi ya majukumu ya kifamilia, ikiwemo kulipa ada za watoto wake katika shule za gharama.

"Natujia kuwa mbunge, bungeni tunakula msoto. Labda uwe Spika, Naibu Spika au Mwenyekiti wa Kamati. Mimi naona bora ningebaki kwenye ukurugenzi, au kama ingewezekana nirudi kwenye ajira. Bora hata niwe afisa wa kawaida kuliko ubunge," alisema Dkt. Lugomela.

Kauli za Dkt. Lugomela zimeibu mjadala miongoni mwa wananchi na wadau wa siasa kuhusu hali halisi ya maslahi na mazingira ya kazi kwa wabunge nchini.
Pamoja na huo msoto bado wanahonga, wengine wanaloga, wanaume wanakuna nazi, wanawake wana jigalagala ili warudi tena kwenye msoto!

Aidha, hamna anaye mzuia kuachia ngazi ili wanao tamani huo msoto wauchangamkie.

Amandla...
 
Mbunge wa Maswa Mashariki, Dkt. George Venance Lugomela, amesema maisha ya ubunge si rahisi kama wengi wanavyodhani, akidai kuwa wabunge wengi wanakabiliwa na changamoto za kifedha isipokuwa wale wanaoshika nafasi za uongozi kama Spika, Naibu Spika au Wenyeviti wa Kamati za Bunge.

Akizungumza katika video, Dkt. Lugomela alisema kwa hali aliyonayo kwa sasa amefikia hatua ya kushindwa kumudu baadhi ya majukumu ya kifamilia, ikiwemo kulipa ada za watoto wake katika shule za gharama.

"Natujia kuwa mbunge, bungeni tunakula msoto. Labda uwe Spika, Naibu Spika au Mwenyekiti wa Kamati. Mimi naona bora ningebaki kwenye ukurugenzi, au kama ingewezekana nirudi kwenye ajira. Bora hata niwe afisa wa kawaida kuliko ubunge," alisema Dkt. Lugomela.

Mbali na kauli hiyo, mbunge huyo alidai kuwa hali yake ya kifedha kwa sasa imemfanya ashindwe hata kulipa ada za watoto wake katika shule za gharama, akitumia hali hiyo kuelezea changamoto anazodai kukutana nazo tangu alipokuwa mbunge.

Kauli za Dkt. Lugomela zimeibua mjadala miongoni mwa wananchi na wadau wa siasa kuhusu hali halisi ya maslahi na mazingira ya kazi kwa wabunge nchini.
Anatusanifu huyu. Hao watoto anawasomesha shule za milioni ngapi? Kama kila mwezi anakunja milioni 18?
 
Yupo sahihi sababu milioni kwake ni kama buku!
Sehemu kama idara ya maji ,wanalipana pesa wenyewe..Hao wakurugenzi wanajipimia ,safari za mchongo kila siku, safari za nje za kutosha yaani unakuta mtu anadili na wilaya fulani ila ana safari za nje kutwa..Bungeni nje ya uwaziri ,unaibu waziri ,na kamati utachakaa na vumbi ..Hakuna mafunzo wala upumbavu...Safari za kishamba za kurudi jimboni unachoma pesa kizembe
 
Mbunge wa Maswa Mashariki, Dkt. George Venance Lugomela, amesema maisha ya ubunge si rahisi kama wengi wanavyodhani, akidai kuwa wabunge wengi wanakabiliwa na changamoto za kifedha isipokuwa wale wanaoshika nafasi za uongozi kama Spika, Naibu Spika au Wenyeviti wa Kamati za Bunge.

Akizungumza katika video, Dkt. Lugomela alisema kwa hali aliyonayo kwa sasa amefikia hatua ya kushindwa kumudu baadhi ya majukumu ya kifamilia, ikiwemo kulipa ada za watoto wake katika shule za gharama.

"Natujia kuwa mbunge, bungeni tunakula msoto. Labda uwe Spika, Naibu Spika au Mwenyekiti wa Kamati. Mimi naona bora ningebaki kwenye ukurugenzi, au kama ingewezekana nirudi kwenye ajira. Bora hata niwe afisa wa kawaida kuliko ubunge," alisema Dkt. Lugomela.

Mbali na kauli hiyo, mbunge huyo alidai kuwa hali yake ya kifedha kwa sasa imemfanya ashindwe hata kulipa ada za watoto wake katika shule za gharama, akitumia hali hiyo kuelezea changamoto anazodai kukutana nazo tangu alipokuwa mbunge.

Kauli za Dkt. Lugomela zimeibua mjadala miongoni mwa wananchi na wadau wa siasa kuhusu hali halisi ya maslahi na mazingira ya kazi kwa wabunge nchini.
Kwanini anasomesha watoto shule za gharama?
 
Kama yupo tayari basi tubadilishane.

Nimpe bodaboda yangu, yeye anipe ubunge, mbona boda zina hela nzuri tu.
 
Wabunge hawa wa mchongo Wala hatuwajui Kwa sura na majina ndio kwanza namsikia Leo mwivi huyu wa kura.
 
Mbunge wa Maswa Mashariki, Dkt. George Venance Lugomela, amesema maisha ya ubunge si rahisi kama wengi wanavyodhani, akidai kuwa wabunge wengi wanakabiliwa na changamoto za kifedha isipokuwa wale wanaoshika nafasi za uongozi kama Spika, Naibu Spika au Wenyeviti wa Kamati za Bunge.

Akizungumza katika video, Dkt. Lugomela alisema kwa hali aliyonayo kwa sasa amefikia hatua ya kushindwa kumudu baadhi ya majukumu ya kifamilia, ikiwemo kulipa ada za watoto wake katika shule za gharama.

"Natujia kuwa mbunge, bungeni tunakula msoto. Labda uwe Spika, Naibu Spika au Mwenyekiti wa Kamati. Mimi naona bora ningebaki kwenye ukurugenzi, au kama ingewezekana nirudi kwenye ajira. Bora hata niwe afisa wa kawaida kuliko ubunge," alisema Dkt. Lugomela.

Mbali na kauli hiyo, mbunge huyo alidai kuwa hali yake ya kifedha kwa sasa imemfanya ashindwe hata kulipa ada za watoto wake katika shule za gharama, akitumia hali hiyo kuelezea changamoto anazodai kukutana nazo tangu alipokuwa mbunge.

Kauli za Dkt. Lugomela zimeibua mjadala miongoni mwa wananchi na wadau wa siasa kuhusu hali halisi ya maslahi na mazingira ya kazi kwa wabunge nchini.
Ni kweli anachosema..

Lakini kwa nini baada ya miaka mitano mapambano yanaanza kuwania tena kiti.
 
Sehemu kama idara ya maji ,wanalipana pesa wenyewe..Hao wakurugenzi wanajipimia ,safari za mchongo kila siku, safari za nje za kutosha yaani unakuta mtu anadili na wilaya fulani ila ana safari za nje kutwa..Bungeni nje ya uwaziri ,unaibu waziri ,na kamati utachakaa na vumbi ..Hakuna mafunzo wala upumbavu...Safari za kishamba za kurudi jimboni unachoma pesa kizembe
Kwahiyo mkuu unataka tutumie mzani gani kupima hoja yake?
 
Nakubaliana na huyu jamaa, tukumbuke alikuwa Mkurugenzi wa Maji kwenye Wizara ya Maji, dili nje nje....

Ubunge mkavu bila uwaziri, unaibu, uspika, unaibu spika au nafasi nyingine za uongozi ni janga kubwa.

Kwanza familia, ndugu, jamaa na marafiki wakisikia umekuwa mbunge wanajua umetoboa!

Kila mtu atakuganda anataka msaada na fedha

Na wewe mwenyewe katika kutaka "kulinda hadhi" ya mbunge, hutataka kufanya mambo ya bei chee.

Mshahara wa mil 15 ni mkubwa kama una matumizi ya kawaida
mkurugenzi rasilimali maji..huyu ndo boss wangu wa kwanza
 
Back
Top Bottom