Mbunge Dkt. Lugomela: Bungeni Tunakula Msoto, Nashindwa Hata Kulipa Ada za Watoto, ukipata Uspika au Kamati mambo yako mazuri

Mbunge Dkt. Lugomela: Bungeni Tunakula Msoto, Nashindwa Hata Kulipa Ada za Watoto, ukipata Uspika au Kamati mambo yako mazuri

Naandika nikiwa na Masikitiko Makubwa sana Juu ya Taifa langu na Selikali hii ya Awamu ya sita.
Mimi ni Mtumishi wa Mungu nitaandika kwa Kifupi sana.

Mungu alimpa Musa Torati na ndani yake Kulikuwako Sheria Amri na Hukumu, kuwaongoza wama wa Islael.

Amri zake zilikuwa kumi ambazo nimeziona zote zikivunjwa na selikali ya Tanzania, Lakini zaidi naona nyingine zikivunjwa wazi wazi bila hofu wala Uoga.

1. UONGO.
Kila kitu kinachofanywa na hawa watu ni Uongo wa wazi kwa kisingizio cha Propaganda.
Mnawakwaza sana watu hata ambao hawana upande mnawapeleka upande wa haki, Mnajichimbia kaburi kwa Maneno ya Uongo.

2. USIUE.
Hii ni amri ya Mungu inayikataza kufanya Mauaji juu ya Binadamu mwenzio.
Selikali hii imekuwa Ikiua Raia, October 29, Ikiteka, Ikitesa nk

3. WIZI.
Hawa ni Majizi wa kura.
Wanaiba kura kwa kushirikiana na waalimu, polisi na wakurugenzi kuiba matokeo ambayo si halali.
Wanawanyima watanganyika Uhuru wa kuchagua kiongozi wanaye mtaka. Wanawaibia utajili Shahabu, Madini Gas nk
Mungu alikuwa na Makusudio yake kuviweka hapa Tanzania

ACHA DHAMBI, ACHA UONGO. MAGUFULI NILIMWAMBIA HIVI HIVI.

MENE MENE TEKELI NA PERESI
Anasema hauna Hela, wakati wengine kabla hawajaupata Ubunge walikuwa wenzetu!Sasa hivi wanaringa balaa!Labda aseme anataka Uwaziri na Hivyo vyeo tajwa.
 
Na,sifa nyingine ya mgombea ubunge,anatakiwa awe na kazi halali ya kumuingizia kipato.
Hiyo muhimu mkuu, ila kwa bahati mbaya hawajaweka kwenye katiba;

Sifa na vigezo vya mtu kuwa Mbunge vimeainishwa katika ibara ya 67 ya Katiba kama
ifuatavyo:-
i. Awe raia wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania aliyetimiza umri wa
miaka ishirini na moja, na ambaye anajua kusoma na kuandika katika
Kiswahili au Kiingereza;
ii. Awe ni mwanachama na ni mgombea aliyependekezwa na chama cha
siasa;
iii. Katika kipindi cha miaka mitano kabla ya tarehe ya uchaguzi hakuwahi
kutiwa hatiani katika Mahakama yoyote kwa kosa lolote la kukwepa
kulipa kodi yoyote ya Serikali; na
iv. Hana kizuizi cha aina yoyote kwa mujibu wa Sheria nyingine
zilizotungwa na Bunge
wanasahau za kuambiwa changanya na zako
 
Mbunge wa Maswa Mashariki, Dkt. George Venance Lugomela, amesema maisha ya ubunge si rahisi kama wengi wanavyodhani, akidai kuwa wabunge wengi wanakabiliwa na changamoto za kifedha isipokuwa wale wanaoshika nafasi za uongozi kama Spika, Naibu Spika au Wenyeviti wa Kamati za Bunge.

Akizungumza katika video, Dkt. Lugomela alisema kwa hali aliyonayo kwa sasa amefikia hatua ya kushindwa kumudu baadhi ya majukumu ya kifamilia, ikiwemo kulipa ada za watoto wake katika shule za gharama.

"Natujia kuwa mbunge, bungeni tunakula msoto. Labda uwe Spika, Naibu Spika au Mwenyekiti wa Kamati. Mimi naona bora ningebaki kwenye ukurugenzi, au kama ingewezekana nirudi kwenye ajira. Bora hata niwe afisa wa kawaida kuliko ubunge," alisema Dkt. Lugomela.

Mbali na kauli hiyo, mbunge huyo alidai kuwa hali yake ya kifedha kwa sasa imemfanya ashindwe hata kulipa ada za watoto wake katika shule za gharama, akitumia hali hiyo kuelezea changamoto anazodai kukutana nazo tangu alipokuwa mbunge.

Kauli za Dkt. Lugomela zimeibua mjadala miongoni mwa wananchi na wadau wa siasa kuhusu hali halisi ya maslahi na mazingira ya kazi kwa wabunge nchini.
Mazafaka anaona kitita anachopata hakitoshi hata kumwezesha kulipa ada za watoto kwenye shule za gharama. Anasahau kwamba 85-90% of Tanzanians rely on public schools huku baadhi yao wakishindwa hata kumudu kula milo mitatu kwa siku!

Obviously, tatizo lake ni self control. Wakianza kumlipa TZS 50 million kwa mwezi, huo mshahara utamtosha kwa miezi sita ya kwanza. Baada ya hapo, ataanza kulia upya! Why? Kwasababu watoto wake sasa atakuwa ameshawapeleka shule Canada, UK or USA, michepuko yake sasa atakuwa ameshainunulia magari ambayo ataendelea kuyahudumia, na vacation destinations zake hazitakuwa Maswa tena!
 
Tanzania ya sasa imekuwa taifa la uwongo uwongo.
Msomi muongo asiye msomi muongo.
Tajiri muongo na masikini naye miongo.
Kiongozi wa dini muongo, muumini naye muongo.
Rais muongo na wasaidizi wake nao waongo.
Nchi ya watu waongo waongo.
Nchi ya kishetani shetani.
 
Ili wananchi wapate wawakilishi genuine kule bungeni,mshahara na posho za wabunge uwe tu sawa na hizi salary scales za akina TGTS!!

BTW:Kuna wenyeviti wa mitaa wameachia ngazi kisa wamepokwa mihuri na kupewa watendaji so hajachelewa!!
 

Mbunge wa Maswa Mashariki, Dkt. George Venance Lugomela, amesema maisha ya ubunge si rahisi kama wengi wanavyodhani, akidai kuwa wabunge wengi wanakabiliwa na changamoto za kifedha isipokuwa wale wanaoshika nafasi za uongozi kama Spika, Naibu Spika au Wenyeviti wa Kamati za Bunge.

Akizungumza katika video, Dkt. Lugomela alisema kwa hali aliyonayo kwa sasa amefikia hatua ya kushindwa kumudu baadhi ya majukumu ya kifamilia, ikiwemo kulipa ada za watoto wake katika shule za gharama.

"Natujia kuwa mbunge, bungeni tunakula msoto. Labda uwe Spika, Naibu Spika au Mwenyekiti wa Kamati. Mimi naona bora ningebaki kwenye ukurugenzi, au kama ingewezekana nirudi kwenye ajira. Bora hata niwe afisa wa kawaida kuliko ubunge," alisema Dkt. Lugomela.

Mbali na kauli hiyo, mbunge huyo alidai kuwa hali yake ya kifedha kwa sasa imemfanya ashindwe hata kulipa ada za watoto wake katika shule za gharama, akitumia hali hiyo kuelezea changamoto anazodai kukutana nazo tangu alipokuwa mbunge.

Kauli za Dkt. Lugomela zimeibua mjadala miongoni mwa wananchi na wadau wa siasa kuhusu hali halisi ya maslahi na mazingira ya kazi kwa wabunge nchini.
Ubungebsi kazi, ni huduma ya kisiasa.
Kama huyu jamaa alifikiri atsishi kwa siasa, basi aambiwe kakosea njia.
 
Nakubaliana na huyu jamaa, tukumbuke alikuwa Mkurugenzi wa Maji kwenye Wizara ya Maji, dili nje nje....

Ubunge mkavu bila uwaziri, unaibu, uspika, unaibu spika au nafasi nyingine za uongozi ni janga kubwa.

Kwanza familia, ndugu, jamaa na marafiki wakisikia umekuwa mbunge wanajua umetoboa!

Kila mtu atakuganda anataka msaada na fedha

Na wewe mwenyewe katika kutaka "kulinda hadhi" ya mbunge, hutataka kufanya mambo ya bei chee.

Mshahara wa mil 15 ni mkubwa kama una matumizi ya kawaida
 
Kama umefanikiwa kuwafahamu hawa watu vizuri utakubaliana nae lakini sio kwa kiasi cha kukosa ada za watoto.

Shida sio maslahi madogo, shida ni
1.expenses zao kuwa juu,
2.mikopo,
3.kuwa sponsor wa vitu binafsi huko majimboni kwao. (hii culture inawatafuna sijui nani aliianzisha)

Wanaishi maisha ya kitapeli tapeli 80% kama kilivyo chama chao.

Huwa nikiona mtu anakopa kupambania ubunge wa maslahi huwa namuhurumia sana. Mchakato mzima wa upatikanaji wa ubunge ndio husababisha ugumu wao wa maisha.

Kuna wachache wanapeta hasa wasio na majimbo.
 

Mbunge wa Maswa Mashariki, Dkt. George Venance Lugomela, amesema maisha ya ubunge si rahisi kama wengi wanavyodhani, akidai kuwa wabunge wengi wanakabiliwa na changamoto za kifedha isipokuwa wale wanaoshika nafasi za uongozi kama Spika, Naibu Spika au Wenyeviti wa Kamati za Bunge.

Akizungumza katika video, Dkt. Lugomela alisema kwa hali aliyonayo kwa sasa amefikia hatua ya kushindwa kumudu baadhi ya majukumu ya kifamilia, ikiwemo kulipa ada za watoto wake katika shule za gharama.

"Natujia kuwa mbunge, bungeni tunakula msoto. Labda uwe Spika, Naibu Spika au Mwenyekiti wa Kamati. Mimi naona bora ningebaki kwenye ukurugenzi, au kama ingewezekana nirudi kwenye ajira. Bora hata niwe afisa wa kawaida kuliko ubunge," alisema Dkt. Lugomela.

Mbali na kauli hiyo, mbunge huyo alidai kuwa hali yake ya kifedha kwa sasa imemfanya ashindwe hata kulipa ada za watoto wake katika shule za gharama, akitumia hali hiyo kuelezea changamoto anazodai kukutana nazo tangu alipokuwa mbunge.

Kauli za Dkt. Lugomela zimeibua mjadala miongoni mwa wananchi na wadau wa siasa kuhusu hali halisi ya maslahi na mazingira ya kazi kwa wabunge nchini.
Aache ujinga..si ajiuzulu I'll ampishe mtu mwingine. Siyo lazima ateseke kwenye ubunge.
 
Akawadanganye wajukuu zake sisi hatudanganyiki kibwege Kama hivyo awaite ******* wenzie kina Lucas mwashambwa na co. Ya Lumumba buku 7 fc
 
Back
Top Bottom