Kademu kenyewe kakali. Hako kukatafuna na kufunga goli kabisa siyo dhambi. Hata Sheikh Kipoozeo angekapenda maana kanaonekana hata "Mambo ipo huko"Ni kawaida kwa mwanaume kuwa michepuko hasa sisi Waafrika.....Mwache kijana atafune mifupa angali meno bado yapo.
Emb cheki hilo jicho kwanza. Hako unatafunaaa kanazidi kulegea na uzuri unaongezeka.Ni kawaida kwa mwanaume kuwa michepuko hasa sisi Waafrika.....Mwache kijana atafune mifupa angali meno bado yapo.
Umeona ee, naona huyu jamaa wivu unamsumbua tu.Kademu kenyewe kakali. Hako kukatafuna na kufunga goli kabisa siyo dhambi. Hata Sheikh Kipoozeo angekapenda maana kanaonekana hata "Mambo ipo huko"
Umeona ee, naona huyu jamaa wivu unamsumbua tu.
Au hana hela za kung'oa watoto wakali .....
Yake yamemshinda anafuatilia ishu za watuHizi ndio zile zile siasa za Mbowe sijui kazaa na nani mpaka kaenda naye Dubai. Ushenzi mtupu.
[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3] Haya Mkuu.!Hizi ndio zile zile siasa za Mbowe sijui kazaa na nani mpaka kaenda naye Dubai. Ushenzi mtupu.
Hebu tuambie ni malezi gani ambayo unahisi huyo mtoto atakosa kwa Kingu ikiwa Kingu mwenyewe amekubali ni mwanae.Huyo kingu atapata muda wa kulea Huyo mtoto. ...? Mwisho ni taifa lisilokuwa na malezi yeyote, lisilo wajibika bado sisi waafrika tutasubiri sana. Mnasifia michepuko na kuhalalisha upuuzi. Acha trump atutukane ndiyo tunayoweza