Mbunge Garisa: Tanzania Walituchomea kuku,wakapiga mnada ng'ombe wetu

Mbunge Garisa: Tanzania Walituchomea kuku,wakapiga mnada ng'ombe wetu

Hta ukitukana haibadili ukwel...wazanzibar wamewachoka ....mmewakalia sana na kuwakamua kw unafiki wenu
Hahahaha your wishes! Subiri muungano wa Tanzania uvunjike utavunjika wewe. Lofa wewe
 
Njoo mombasa uone wafanyibiashara wa tanga wanavyonunua bidhaa zao mombasa...tena daily...jamaa anajaza zile coastar bidhaa mpka kw voti na wala hamana abiria
Hujaelewa nini?nyie mnatuuzia finished products
 
Wadau,

Nimeangalia kwenye YouTube, Bunge la Kenya na kuna Mbunge mmoja anaiitwa Duale ameishambulia Tanzania na serikali yetu kuwa tuna wabagua kwa nafasi za kazi kwa watu wao na biashara na pia amesema yule mbunge Jaguar alietoa kauli tata kuhusu kuondolewa kwa wafanyabiashara wa kitanzania nchini Kenya, yupo sahihi kulinda maslahi ya wakenya.

Ameishambulia sana serikali ya Rais Magufuli na Bunge la Tanzania.

Nadhani kuna kitu hakiko sawa kwa uapnde wa hawa wenzetu. Kuna chuki fulani dhidi ya watanzania.

My observation; naona tumekuwa pia tishio kwa wakenya kwenye ushindani kuanzia biashara mpaka kwenye ajira. Maana huyu mbunge kalalamika kuwa machungwa na kabichi wanazokula bungeni zinatoka Tanzania, masoko nchini Kenya yametekwa na watanzania. Heko watanzania wenzangu!

Duale nae anafeli..

Huwezi fananisha kuchom vifaranga na mnada wa ng'ombe kwa ku-insite xhzenophobic violence ambapo human beings wanauwawa!

Huwezi fananisha vifo vya vifaranga na vifo vya wanadamu!

Pia in part maamuzi mabovu sana ya Jiwe ndio sprinkle effect hii....tukio alilodhani eti ni kuchoma vifaranga tu ndio hili limeingia kwenye xhzenophobia!

Yaani Jiwe bwana,hajielewi kabisa....na utani utani hivi nchi hizi zitafunga mipaka,and mambo yaki escalate ni actual war...

Hayo yote ni matokeo..

Naweza laumu zaidi ya ukoswaji wa busara na serious leadership kwa upande wa Jiwe...

Maamuzi ya chooni ndio yanapelekea haya.....jamaa sijui hua anafikiria kwa kutumia nini hasa!

Na CCM wanashabikia kama majuha basi anapata mori zaidi anazidi kunya zaidi...haya mambo yana escalate to some stupid outcomes!

Na Kenya wanasiasa vichaa kama hawa akina Duale wanazidi kunya zaidi na zaidi...mwisho utakua mbaya!

Yaani sijui tumelogwa wapi aisee.....
 
Alichokifanya Jaguar ni sawasawa na kumwagia Petrol kwenye moto unaowaka chinichini!!!!!! Matatizo kati ya Kenya na TZ yako siku nyingi sana. Lankini JK alikua anatumia busara na uzoefu wa kidiplomasia kuyamaliza haya mambo.
- Hivi tujiulize ilikua ni lazima kuvichoma vile vifaranga vya kuku? vilikua na ugonjwa? au tatizo lilikua kodi?
- Kwa nini tulitaifisha na kupiga mnada ng'ombe za wamasai wa Kenya? Wamasai wa Kenya ndio hao hao wamasai wa Tanzania, kaka yuko Longido dada yuko Kajiaodo. Kabla ya mkoloni hii ilikua nchi moja? KWA NINI BUSARA ISINGETUMIKA, KUWATOZA FAINI NA KUWARUDISHIA NGOMBE ZAO?
- Kwa wale wanaojua sababu, kwanini yule dada wa Kenya aliye changulia kuwa CEO wa VODACOM TZ alinyimwa working permit? mbona kuna wazungu wengi tu hapa TZ wanafanya kazi za ovyo ovyo kabisa wamepewa permit?
- two wrongs don't make a right, Watz tumeanza kumwita ( Hon Aden Duale, EGH, MP, is the first Leader of Majority Party in the National Assembly the 11th and 12th Parliaments under the current constitution) ETI MSOMALI, KWANI MSOMALI SIO MKENYA. Watanzania tuna cheap argumentative synonym. Let's answer his concerns, in a civilised manner. He called a SPED a SPED, na sisi tuite kijiko ni kijiko. Tuacha siasa za mbogamboga.

Ndio, nakubali kabisa kulinda masilahi ya nchi yetu, lazima tuwe wakali, na kufuata sheria na protocols za EAC. WAKENYA WAMETUZIDI SANA KIELIMU na KIMAENDELEO, tunatakiwa kuwaonea wivu kwa kufanya kazi kwa bidii sana ili tuwafikie na sio kuwavuta shati au KUWALOGA?
Sasa Mkuu kwa kuwa wametuzidi basi ndio tuwasujudie siyo
 
Hivi unajua mtu muhimu kama mbunge anaposema Nakupa masaa 24 uwe umeondoka manake ni kwamba huyo haoni faida yoyote toka kwako. Sasa je, tuendelee kushirikiana na watu wanatuona hivi kwa kujipendekeza?
 
Ukisikiliza hiyo YouTube ya Duale, amesema MD wa Baclays Bank Tanzania ni mkenya anaetoka jimboni kwake na kwamba anaongea nae kila siku na kumpa taarifa kuwa wakenya waishio Tanzania wanapitia madhila mengi au kunyanyaswa sana...

Duh...haoni kama kamchomea sasa

.!!!
 
Uganda is the most food secure nation in Africa..hizi opinions zako zijui unazitoa wapi
Acha Maneno yako wewe, mwaka huu ni Tanzania pekee ndio imepata chakula cha ziada cha kuziuzia karibu nchi zote za EAC, SADC na COMESA. Lete data za Kenya mwaka huu uone chakula kingi kinatoka wapi kati ya Tanzania na Uganda. Kumbuka Uganda wanategemea Tanzania kwa pamba na Mchele, wao hulima zaidi Mahindi na Ndizi.
 
Lakini twende mbele turudi nyuma, huyu jamaa jaguar ukute kayaona mengi

1. Tuliwazingua wakenya kwenye utalii tukawaambia walipe kodi kubwa na kusema wanatuibia watalii wetu

2. Tulichoma vifaranga vya kutoka kenya

3. Tulikamata ng'ombe wao na tukawapiga mnada kisa walivuka mpaka bubu

4. Tumepangua ma CEO wa kikenya kwa kigezo watanzania they fit kwenye nafasi hizo

5. Hata utamaduni wa marais wakiapishwa tunashirikiana, jiwe hajakanyanga lakini kwengine anaenda vizuri mpaka south Africa

6. Tupo busy na wasaliti rwanda kuliko wakenya ambao tuna historia nao vema na tunachangia bahari
Unataka kusema unakubaliana na Jaguar?
 
Acha Maneno yako wewe, mwaka huu ni Tanzania pekee ndio imepata chakula cha ziada cha kuziuzia karibu nchi zote za EAC, SADC na COMESA. Lete data za Kenya mwaka huu uone chakula kingi kinatoka wapi kati ya Tanzania na Uganda. Kumbuka Uganda wanategemea Tanzania kwa pamba na Mchele, wao hulima zaidi Mahindi na Ndizi.
there is no food you are exporting to UGANDA ..bring evidences here not thoughts from your ass ..Uganda is 3 times food secure than Tanzania
 
Mm nacho waambia wakenya fateni sheria bila kushurutishwa magu sio mpole ohooo [emoji23][emoji23][emoji23]
 
Back
Top Bottom