Mbunge Getere: Boom lifutwe, wanafunzi wanatumia kulewea

Mbunge Getere: Boom lifutwe, wanafunzi wanatumia kulewea

ChoiceVariable

JF-Expert Member
Joined
May 23, 2017
Posts
66,537
Reaction score
75,687
Mbunge wa Bunda Vijijini, Peter Getere amesema mikopo kwa wanafunzi wa elimu ya juu maarufu kama Boom, liondolewe kwa sababu wanafunzi wanaopata Boom hawasomi, wana nidhamu mbovu na wanalewa.

Amesema badala yake, wanavyuo walipiwe karo kwa sababu wenye uhitaji.

My Take
Naunga mkono hoja, walishwe chakula Moja kwa.moja kama Vyuo vya Ualimu, Shule za Sekondari au wajitegemee.

======

Mbunge wa Bunda Vijijini, Peter Getere amesema mikopo kwa wanafunzi wa elimu ya juu maarufu kama Boom, liondolewe kwa sababu wanafunzi wanaopata Boom hawasomi, wana nidhamu mbovu na wanalewa.

Amesema badala yake, wanavyuo walipiwe karo moja kwa moja kwa sababu wenye uhitaji wa kusoma ni wengi lakini wanakosa nafasi hiyo kutokana na kukosa karo.

Ameyasema hayo bungeni jijini Dodoma wakati akichangia kwenye makadirio ya bajeti ya Wizara ya Elimu, Sayansi na Teknolojia.

Pia soma:

- Mchango wa Mbunge Getere wa "Wanachuo wasipewe boom" umemvua nguo

- Mbunge Getere aomba radhi kwa kauli yake ya Boom
 
20231204_204608.jpg

Huyu pussy lazima huwa anasubiri muda wa mapumziko kwenda kunya. Idiot
 
Ni kama anataka kusema.

Wabunge waondolewe sitting allowances. Serikali inunue mabasi wawe wanatumia wakiwa Dodoma. Na wajinunulie magari kwa mishahara yao wasikopeshwe.

Pia kuwe na hostels za Wabunge huko Idodomia.
 
Back
Top Bottom