Mbunge Getere: Boom lifutwe, wanafunzi wanatumia kulewea

Mbunge Getere: Boom lifutwe, wanafunzi wanatumia kulewea


Changamoto kibao hawazizungumzii. Barabara mbovu,maji hamna,usalama wa watu sio wakuridhisha mfano albino,dawa hospitalini hamna,rushwa ndio imekithiri,ajira hakuna ingawa watu wanahitimu kila mwaka,vyuma mtaani vimekaza.
Unaacha mambo yote hayo unaingilia matumizi ya hela ya mtu. Mbona CAG ametaja wezi wa mali ya umma kwanini wabunge hawawakazii. Huyo ameongea bila kujipanga
 
Back
Top Bottom