Mbunge Getere: Boom lifutwe, wanafunzi wanatumia kulewea

Mbunge wa Bunda Vijijini, Peter Getere amesema mikopo kwa wanafunzi wa elimu ya juu maarufu kama Boom, liondolewe kwa sababu wanafunzi wanaopata Boom hawasomi, wana nidhamu mbovu na wanalewa.

Amesema badala yake, wanavyuo walipiwe karo kwa sababu wenye uhitaji.

My Take
Naunga mkono hoja, walishwe chakula Moja kwa.moja kama Vyuo vya Ualimu, Shule za Sekondari au wajitegemee.

View: https://www.instagram.com/reel/C6rDl25CTFw/?igsh=ZDk5Y203OTQ5d3Zo

Msamehen pengine hata chuo ajafika loh
 
Kaguen elimu yake kabla ya kumjibu
 
2nd
Unajua kuna roho za visas ndio maana baadhi ya ukoo awawndeleei una uwezo unawaza nikimsaidia huyu atanizidi ama atakuja nidharau akifanikiwa

Huyuu pengine alisoma kwa shidaa Sanaa Sanaa so anataman kuonà wotee mnafwataaa alichopitiaaaaa

👘 inaitwa ROHOO YA KISASI

IKIKUJIA UNAWEZA MWEKEA HATA SUMU NDUGUYO UNGANGANIE MALIYAKE

ALLAH AMSAMEHE
 
Kwani boom unapewa cash, ama unasaidiwa ada na serikali?

Embu tueleweshane jamani
Ndiyo boom ni ile hela ya kujikimu ambayo wanavyuo wanapewa 10,000 kwa siku. Ada ndiyo hawapewi mkononi, inalipwa moja kwa moja kwenye akaunti ya chuo. Huyu mbunge amekosea, wigo wa mikopo kwa wanafunzi uongezwe ili wengi WAPATE. Tena vigezo viondolewe ili wanafunzi wote wapewe mkopo! Hela ya chakula inasumbua sana!
 
Sio hela ya Msaada hiyo kwamba Isiwe na masharti
 
Ubaguzi unatoka wapi wakati hao hao ccm ndio walileta Hilo boom? Chadema mna tatizo la Afya ya akili
Jamani!! Sasa Chadema hapo imeingiaje wakati bungeni wapo CCM wenyewe. Kwani wananopewa mikopo hiyo ni Chadema?
 
kwani wao hizo sitting allowance si wanazitumia kuharibu dada zetu pale UDOM na wao ziondolewe?
 
Msengesana hajui hilo boom watu wanapanga foleni msululu kwenda kusaini alafu anaongea ujinga gani?
Fikra za kijima sana,wao wanadhan n watoto wao tu wanastahili kula keki ya taifa and by the way hizo pesa zinatoka kwenye kodi ambazo wazazi na ndugu zetu hulichangia taifa….
 
Mbunge wa Bunda Vijijini, Peter Getere amesema mikopo kwa wanafunzi wa elimu ya juu maarufu kama Boom, liondolewe kwa sababu wanafunzi wanaopata Boom hawasomi, wana nidhamu mbovu na wanalewa.

Amesema badala yake, wanavyuo walipiwe karo kwa sababu wenye uhitaji.

My Take
Naunga mkono hoja, walishwe chakula Moja kwa.moja kama Vyuo vya Ualimu, Shule za Sekondari au wajitegemee.

View: https://www.instagram.com/reel/C6rDl25CTFw/?igsh=ZDk5Y203OTQ5d3Zo

Siku hizi wameacha utaratibu wa kusema mbunge wa chama gani?

Kweli tumeanza kuwa na umoja 😂😂
 
Back
Top Bottom