Mbunge Getere: Boom lifutwe, wanafunzi wanatumia kulewea

Mbunge wa Bunda Vijijini, Peter Getere amesema mikopo kwa wanafunzi wa elimu ya juu maarufu kama Boom, liondolewe kwa sababu wanafunzi wanaopata Boom hawasomi, wana nidhamu mbovu na wanalewa.

Amesema badala yake, wanavyuo walipiwe karo kwa sababu wenye uhitaji.

My Take
Naunga mkono hoja, walishwe chakula Moja kwa.moja kama Vyuo vya Ualimu, Shule za Sekondari au wajitegemee.

======

View attachment 2984111

Mbunge wa Bunda Vijijini, Peter Getere amesema mikopo kwa wanafunzi wa elimu ya juu maarufu kama Boom, liondolewe kwa sababu wanafunzi wanaopata Boom hawasomi, wana nidhamu mbovu na wanalewa.

Amesema badala yake, wanavyuo walipiwe karo moja kwa moja kwa sababu wenye uhitaji wa kusoma ni wengi lakini wanakosa nafasi hiyo kutokana na kukosa karo.

Ameyasema hayo bungeni jijini Dodoma wakati akichangia kwenye makadirio ya bajeti ya Wizara ya Elimu, Sayansi na Teknolojia.
Wao hizo posho kubwa wanafanyia nini?
 
Mbona huwa mnalazisha kukopeshwa huo mkopo.
Nani analazimisha?! Nani amepewa mkopo kwa kuandamana kwenda kwenye ofisi zao?

Wanaangalia vigezo walivyoviweka, na kwasababu mkopeshwaji analipa huo mkopo, hakuna haja ya kupangiana matumizi.
 
  • Nzuri
Reactions: EEX
Kati ya Wabunge wanaotakiwa kumshukuru Mungu ni Mhe. Getere. Huyu jamaa alikuwa Mtendaji wa Kata na akaungaunga mpaka akapata digrii sijui ya Mazingira. Na aishukuru Halmashauri ya Bunda kumuwezesha kusoma na kufika hapo. Leo hii anatamka kuwa boom ifutwe. Mhe. Getere fikiria ulipotoka na ubunge ni kitu cha muda tu. Lakairo yuko wapi. Yuko mitaani.
 
Mbunge wa Bunda Vijijini, Peter Getere amesema mikopo kwa wanafunzi wa elimu ya juu maarufu kama Boom, liondolewe kwa sababu wanafunzi wanaopata Boom hawasomi, wana nidhamu mbovu na wanalewa.

Amesema badala yake, wanavyuo walipiwe karo kwa sababu wenye uhitaji.

My Take
Naunga mkono hoja, walishwe chakula Moja kwa.moja kama Vyuo vya Ualimu, Shule za Sekondari au wajitegemee.

======

Mbunge wa Bunda Vijijini, Peter Getere amesema mikopo kwa wanafunzi wa elimu ya juu maarufu kama Boom, liondolewe kwa sababu wanafunzi wanaopata Boom hawasomi, wana nidhamu mbovu na wanalewa.

Amesema badala yake, wanavyuo walipiwe karo moja kwa moja kwa sababu wenye uhitaji wa kusoma ni wengi lakini wanakosa nafasi hiyo kutokana na kukosa karo.

Ameyasema hayo bungeni jijini Dodoma wakati akichangia kwenye makadirio ya bajeti ya Wizara ya Elimu, Sayansi na Teknolojia.

Watu mbumbu wameshiba
 
Ubaguzi unatoka wapi wakati hao hao ccm ndio walileta Hilo boom? Chadema mna tatizo la Afya ya akili
Mbona mkuu wewe ndio kama una tatizo la kiakili, kwahiyo tuseme na upigaji wa mali za umma umeletwa na CCM pia au sio?
 
Wewe na huyo mbunge wote kwa pamoja ni wapumbavu. Unaunga mkono upuuzi
 
Naomba kujuzwa elimu ya huyu baba, huenda ana hasira na wasomi wa vyuo vikuu, kwa kua yeye hakupita huko. Lol

Hili lizee litakua lichawi bobezii mxxxxiiiiew
😂😂😂😂😂
Elimu yake ni ya kuunga unga sana. Mtu kazaliwa mwaka 1963 kaja kupata degree 2011.... utakadiria mwenyewe kahangaika miaka mingapi kuisaka hiyo degree.
 
Na hiyo degree ukiifuatilia ni baada ya kujiongeza kuhonga pesa wamuondolee sup.
 
Huyu mpuuzi anabwabwaja tu kama kakalia mzizi. Eneweiz acha wafu wawazike wafu wenzao.
 
Mbunge wa Bunda Vijijini, Peter Getere amesema mikopo kwa wanafunzi wa elimu ya juu maarufu kama Boom, liondolewe kwa sababu wanafunzi wanaopata Boom hawasomi, wana nidhamu mbovu na wanalewa.

Amesema badala yake, wanavyuo walipiwe karo kwa sababu wenye uhitaji.

My Take
Naunga mkono hoja, walishwe chakula Moja kwa.moja kama Vyuo vya Ualimu, Shule za Sekondari au wajitegemee.

======

Mbunge wa Bunda Vijijini, Peter Getere amesema mikopo kwa wanafunzi wa elimu ya juu maarufu kama Boom, liondolewe kwa sababu wanafunzi wanaopata Boom hawasomi, wana nidhamu mbovu na wanalewa.

Amesema badala yake, wanavyuo walipiwe karo moja kwa moja kwa sababu wenye uhitaji wa kusoma ni wengi lakini wanakosa nafasi hiyo kutokana na kukosa karo.

Ameyasema hayo bungeni jijini Dodoma wakati akichangia kwenye makadirio ya bajeti ya Wizara ya Elimu, Sayansi na Teknolojia.

Pia soma:

- Mchango wa Mbunge Getere wa "Wanachuo wasipewe boom" umemvua nguo

- Mbunge Getere aomba radhi kwa kauli yake ya Boom
Alitukanwa ila huu ndio ukweli

View: https://www.instagram.com/reel/C8XsJJMIWFN/?igsh=Zms4aWZ5em9tMWJq
 
Back
Top Bottom