Mbunge Getere: Boom lifutwe, wanafunzi wanatumia kulewea

Mbunge wa Bunda Vijijini, Peter Getere amesema mikopo kwa wanafunzi wa elimu ya juu maarufu kama Boom, liondolewe kwa sababu wanafunzi wanaopata Boom hawasomi, wana nidhamu mbovu na wanalewa.

Amesema badala yake, wanavyuo walipiwe karo kwa sababu wenye uhitaji.

My Take
Naunga mkono hoja, walishwe chakula Moja kwa.moja kama Vyuo vya Ualimu, Shule za Sekondari au wajitegemee.

View: https://www.instagram.com/reel/C6rDl25CTFw/?igsh=ZDk5Y203OTQ5d3Zo

so wale nyasi ama?

Hilo boom wakimaliza wanadaiwa kama mkopo wa kausha damu! yeye inamhusu nini
 
Mkopo upangiwe na matumizi tena duh. Kwai nikilewea hizo za pombe sirudishi au vipi?
 
Yani hela unayonikopesha bado unipangie namna ya kuitumia??? Hio pesa (boom) ni mkopo na sio hisani umeshanikopesha kaa tulia……Kwa hili Mbunge katukosea sana tulionufaika na wanaonufaika na mikopo hii……Niwe mkweli bila mkopo wa chuo mimi nisingetoboa chuo
 
Msengesana hajui hilo boom watu wanapanga foleni msululu kwenda kusaini alafu anaongea ujinga gani?
 
Mi nafikiri wangeanza na mishahara kwanza maana mishahara nayo watu wanamalizia bar, la sivyo watoe mwongozo sahihi wa matumizi ya hela za watu.
Yeye aseme waondolewe V8 zile zipaki au ziuzwe Pesa zifanye maendeleo hata kujenga hospital au Shule halafu wao wabunge wazunguke na Bajaj na bodaboda au wakodi uber Nchi nzima atakubari? Wakati walipokua wametoa wazo la kununua Ndege ya wabunge kwa Kodi zetu alikua anakenua huku anapanua na kugonga Meza

Stupid Member of Parliament
 
Kuna kitu nataka kusema ila mwanasheria wangu ana sup 4, tusije kufungwa wote. GOAT
 
Stupid Member of Parliament, hatutakiwi kua na wabunge viazi bungeni, mwanasheria ni yule mwenye muhuri wa uwakili na amepass law school hao wengine ni paralegal sio lawyers
 
Yaani Mbunge kashiba ugali huko anakuja kutema pumba za mahindi bungeni, wakati wananchi wake huko usikute wanashida ya maji tangu nchi ipate uhuru.
 
Na posho za wabunge zifutwe zinatumika kuwalaghai wanafunzi wa kike hasa wa vyuoni
 
Mbunge wa Bunda Vijijini, Peter Getere amesema mikopo kwa wanafunzi wa elimu ya juu maarufu kama Boom, liondolewe kwa sababu wanafunzi wanaopata Boom hawasomi, wana nidhamu mbovu na wanalewa.

Amesema badala yake, wanavyuo walipiwe karo kwa sababu wenye uhitaji.

My Take
Naunga mkono hoja, walishwe chakula Moja kwa.moja kama Vyuo vya Ualimu, Shule za Sekondari au wajitegemee.

View: https://www.instagram.com/reel/C6rDl25CTFw/?igsh=ZDk5Y203OTQ5d3Zo

Mbunge akijua kusoma na kuandika inatosha ila dereva wake lazima afike form six na hii na Tanzania
 
Kma la mkndu wabunge wengine kwani sisi walevi tumemfanya nini?
 
Ubaguzi unatoka wapi wakati hao hao ccm ndio walileta Hilo boom? Chadema mna tatizo la Afya ya akili
We nawe acha ujinga. Huo ni mkopo ambao wanafunzi wataulipa. Hivi ccm ndani ya kichwa Kuna nini , maana hizo sio fikra za ubongo wa binadamu
 
Mbunge wa Bunda Vijijini, Peter Getere amesema mikopo kwa wanafunzi wa elimu ya juu maarufu kama Boom, liondolewe kwa sababu wanafunzi wanaopata Boom hawasomi, wana nidhamu mbovu na wanalewa.

Amesema badala yake, wanavyuo walipiwe karo kwa sababu wenye uhitaji.

My Take
Naunga mkono hoja, walishwe chakula Moja kwa.moja kama Vyuo vya Ualimu, Shule za Sekondari au wajitegemee.

View: https://www.instagram.com/reel/C6rDl25CTFw/?igsh=ZDk5Y203OTQ5d3Zo

Mhuni tu usikute katoswa na mwanachuo maccm ni majitu ya visasi
 
Back
Top Bottom