Mbunge Getere: Boom lifutwe, wanafunzi wanatumia kulewea

Mbunge Getere: Boom lifutwe, wanafunzi wanatumia kulewea

kutokana na kauli hiyo, ningeshauri wanafunzi wote wa elimu ya juu na wanaotarajia kuja kupata boom waandamani ili serikali ipunguze burget ya wabunge kuwalipa posho na mishahara mkubwa kwasababu wengi wao wanatumia kuwahonga wasichana wakiwemo wa chuo na vibenten.
 
Msimsikilize huyo mbunge please amerukwa na akili ghafla, tupo na tabibu wa Saikolojia hapa anampa huduma,, naamini akikaa sawa atarudi kukanusha alichokisena 🤒😎
 
Naomba kujuzwa elimu ya huyu baba, huenda ana hasira na wasomi wa vyuo vikuu, kwa kua yeye hakupita huko. Lol

Hili lizee litakua lichawi bobezii mxxxxiiiiew
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Ndo hawa utasikia hela ya boom watu wanajenga, mimi nimemaliza boom likiwa 5000, hata kula tu ilibidi ujibane kweli kweli! Sasa hapo kwenye 5k unakunywa bia ngapi ili ulewe? Na ukilewa utakula nini?
 
Mbunge wa Bunda Vijijini, Peter Getere amesema mikopo kwa wanafunzi wa elimu ya juu maarufu kama Boom, liondolewe kwa sababu wanafunzi wanaopata Boom hawasomi, wana nidhamu mbovu na wanalewa.

Amesema badala yake, wanavyuo walipiwe karo kwa sababu wenye uhitaji.

My Take
Naunga mkono hoja, walishwe chakula Moja kwa.moja kama Vyuo vya Ualimu, Shule za Sekondari au wajitegemee.

View: https://www.instagram.com/reel/C6rDl25CTFw/?igsh=ZDk5Y203OTQ5d3Zo

Kama Elimu ndio iyo Basi Elimu yetu imeshuka thamani. ??!!

Aje na andiko la utafiti wanachuo wa chuo gani na Ni asilimia ngapi ya wanafunzi wote Tanzania

NB.
Kuna jamaa mmoja nilisoma nae chuo miaka ya nyuma Sana yeye alikua anapiga GLASS YA GONGO ndipo anaingia kwenye UNIVERSITY EXAMINATION (UE) alipenda Kunambia nikipiga GONGO mitiani kwangu Ni kitu kidogo Sanaa now Ni mtumishi mwandamizi serikalini

Siku akiingia kwenye mtiani bila kunywa hulalamika kua mitiani imemuwia migumu Ila jamaa hakua mlevi Ila alipenda kuingia kwenye Pepa akiwa kapiga glass moja ya GONGO
 
Ubaguzi unatoka wapi wakati hao hao ccm ndio walileta Hilo boom? Chadema mna tatizo la Afya ya akili
Sasa cha haibu
Ni kwamba huyo mbunge ni wa C.C.M
Yani ,kakaa kajiandaa Siku nzima kaona hapo katoa bonge la hoja....
So,pia mishahara ifutwe coz watu wanatumia kulewea na kuhonga, ama....?

Yan,mama anaelemewa na hii mizigo.
 
Ndo hawa utasikia hela ya boom watu wanajenga, mimi nimemaliza boom likiwa 5000, hata kula tu ilibidi ujibane kweli kweli! Sasa hapo kwenye 5k unakunywa bia ngapi ili ulewe? Na ukilewa utakula nini?
Ndo maana nataka kujua Elimu yake. Hili lizee km sio lichawi bas liganga la kienyejii. Woiiiih
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
CCM Wana Ubaguzi Sana Ili Watoto Wa Masikini Wagonge Mwamba Elimu Ya Kati Na Juu
Mbunge km unapita humu JF wewe Mbunge Msengekisenge haujui msoto wanaopitia watu wenye uhitaji km huo yaan ingekua Bora Mbunge ukapiga kimya, kulewea mwanao km analewea huyo Si ndio mwanao unadhani watoto wako wakiwa walevi basi kila mtoto ni mlevi?

Mbunge huna hoja halafu Bunge sio Banda la kunywa kahawa hizi pumba zingine ziishie huku huku kwenye vijiwe vya bodaboda na Bajaj msipeleke bungeni wananchi wana Kero nyingi zenye mashiko,

Wewe njoo na hoja jinsi gani ya kujenga Flyover pale Jangwani panapojaa maji na mchanga na kuziba barabara kipindi cha Mvua kubwa? tutakusikiliza sababu unatatua Kero zetu sio unakuja na porojo zako za kulewea

Yaan wewe umeenda Bar fulani huko wamekuvimbia unaenda kusema bungeni huo ni usengekisenge Mbunge unakuaje msengemsenge na akili za kitoto km mtoto wa miaka 7 bwana wakati wewe ni mtu mzima kabisa tena Baba wa familia
 
Back
Top Bottom