Mbunge wa Bunda Vijijini, Peter Getere amesema mikopo kwa wanafunzi wa elimu ya juu maarufu kama Boom, liondolewe kwa sababu wanafunzi wanaopata Boom hawasomi, wana nidhamu mbovu na wanalewa.
Amesema badala yake, wanavyuo walipiwe karo kwa sababu wenye uhitaji.
My Take
Naunga mkono hoja, walishwe chakula Moja kwa.moja kama Vyuo vya Ualimu, Shule za Sekondari au wajitegemee.
======
Mbunge wa Bunda Vijijini, Peter Getere amesema mikopo kwa wanafunzi wa elimu ya juu maarufu kama Boom, liondolewe kwa sababu wanafunzi wanaopata Boom hawasomi, wana nidhamu mbovu na wanalewa.
Amesema badala yake, wanavyuo walipiwe karo moja kwa moja kwa sababu wenye uhitaji wa kusoma ni wengi lakini wanakosa nafasi hiyo kutokana na kukosa karo.
Ameyasema hayo bungeni jijini Dodoma wakati akichangia kwenye makadirio ya bajeti ya Wizara ya Elimu, Sayansi na Teknolojia.
Hii ndio tafasiri halisi ya mwenyenacho na asiekuanacho....🤨
Wao wanauhakika wa watoto wao kusoma wakiwa wameshiba kwasababu wazazi wao wapo sisiem...☹️
Hii ndio tafasiri halisi ya mwenyenacho na asiekuanacho....🤨
Wao wanauhakika wa watoto wao kusoma wakiwa wameshiba kwasababu wazazi wao wapo sisiem...☹️