Stuxnet
JF-Expert Member
- Feb 12, 2011
- 13,417
- 23,310
Kati mwezi Mei na August 2024 Mbunge wa jimbo la Kawe Josephat Gwajima alipita kwenye matawi na mashina ya CCM katika jimbo la Kawe.
Alifanya mikutano ya kuhamaasisha uchangiaji wa ukarabati wa barabara zilizoharibiwa na mvua za Elnino. Aliahidi kuwa tukifungua akaunti ya pamoja katika kila Shina yeye ataingiza fedha kwenye akaunti, kisha atamshawishi na Diwani naye achangie.
Akamaliza kwa kusema tutapanga siku rasmi ya kufanya "fund raising" ambapo atakuja na wahisani wengine na pia sisi wakazi tutapaswa kuchangia pia.
Tulitekeleza yote na kumtumia namba ya akunti ya NMB lakini mpaka leo ni mwezi Novemba hajaweka hata JERO (Tsh 500/-). Na tukimpigia simu hapokei
Sasa kama Mbunge anaharibu muda wetu kutuita, kutukusanya na kisha kututapeli maana yake ametudharau??
Huyu mtu mwaka kesho akae mbali na form ya CCM. Ni TAPELI