Full Blood Picture
JF-Expert Member
- Jan 7, 2021
- 2,223
- 3,961
Noma kweli aisee!!!Kuna wale waliopelekwa Birmingham na Mr Rashid sijui wanaendeleaje
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Noma kweli aisee!!!Kuna wale waliopelekwa Birmingham na Mr Rashid sijui wanaendeleaje
Kama kuna shina kaliwekea fedha basi litaje hapa tulijue?? Wacha kumtetea TAPELIAcha kudanganya uma wa watu na kuchafua jina la gwajima pasipo sababu za msingi umekiri kuwa amepita shina kwa shina na unauhakika mashina yapo mengi kwenye Jimbo la Kawe yawezekana shina lenu bado halijafikiwa umeshaanza kuleta porojo zisizo za kweli, nakushauri tafuta hoja yenye msingi ndiyo uilete huku tuijadili hii haina mashiko
Chezea chukuwachakomapema weye?!🤣😂😅😆😁Kati mwezi Mei na August 2024 Mbunge wa jimbo la Kawe Josephat Gwajima alipita kwenye matawi na mashina ya CCM katika jimbo la Kawe.
Alifanya mikutano ya kuhamaasisha uchangiaji wa ukarabati wa barabara zilizoharibiwa na mvua za Elnino. Aliahidi kuwa tukifungua akaunti ya pamoja katika kila Shina yeye ataingiza fedha kwenye akaunti, kisha atamshawishi na Diwani naye achangie.
Akamaliza kwa kusema tutapanga siku rasmi ya kufanya "fund raising" ambapo atakuja na wahisani wengine na pia sisi wakazi tutapaswa kuchangia pia.
Tulitekeleza yote na kumtumia namba ya akunti ya NMB lakini mpaka leo ni mwezi Novemba hajaweka hata JERO (Tsh 500/-). Na tukimpigia simu hapokei
Sasa kama Mbunge anaharibu muda wetu kutuita, kutukusanya na kisha kututapeli maana yake ametudharau??
Huyu mtu mwaka kesho akae mbali na form ya CCM. Ni TAPELI
Kazi za Gwajima zilizoonekana ni ile tu ya porn star ambayo alijiterea kuwa ni mguu wa baunsaKuna baadhi ya mambo kama mwanaume ukiyalalamikia unaonekana kama una shida ya kijinsia. Gwajima ndio mbunge pekee ambaye kazi zake zimeonekana.
Wewe ndo unadanganya uma sasa.Acha kudanganya uma wa watu na kuchafua jina la gwajima pasipo sababu za msingi umekiri kuwa amepita shina kwa shina na unauhakika mashina yapo mengi kwenye Jimbo la Kawe yawezekana shina lenu bado halijafikiwa umeshaanza kuleta porojo zisizo za kweli, nakushauri tafuta hoja yenye msingi ndiyo uilete huku tuijadili hii haina mashiko
Gwajima ni tapeli tu. Isingekuwa Magufuli asingekuwa mbunge wa KaweWatanzania wanastahili kutapeliwa na kudanganywa maana hawaelewi Nini maana ya kupiga kura.
pia alituahidi boti za uvuvi, kwenda marekani nkKati mwezi Mei na August 2024 Mbunge wa jimbo la Kawe Josephat Gwajima alipita kwenye matawi na mashina ya CCM katika jimbo la Kawe.
Alifanya mikutano ya kuhamaasisha uchangiaji wa ukarabati wa barabara zilizoharibiwa na mvua za Elnino. Aliahidi kuwa tukifungua akaunti ya pamoja katika kila Shina yeye ataingiza fedha kwenye akaunti, kisha atamshawishi na Diwani naye achangie.
Akamaliza kwa kusema tutapanga siku rasmi ya kufanya "fund raising" ambapo atakuja na wahisani wengine na pia sisi wakazi tutapaswa kuchangia pia.
Tulitekeleza yote na kumtumia namba ya akunti ya NMB lakini mpaka leo ni mwezi Novemba hajaweka hata JERO (Tsh 500/-). Na tukimpigia simu hapokei
Sasa kama Mbunge anaharibu muda wetu kutuita, kutukusanya na kisha kututapeli maana yake ametudharau??
Huyu mtu mwaka kesho akae mbali na form ya CCM. Ni TAPELI
Bora uliuza sabwooofer kuliko mngefikia kwa P-DIDDYMimi niliuza mpk subwoofer yangu ikiwa ni utekelezaji wa ahadi ya mbunge Gwajima ya kutupeleka Marekani.
Mazuzu kabisa kabisa 🤬 🤬 🤬pia alituahidi boti za uvuvi, kwenda marekani nk
kuna wajinga mahali wanaandaa kuchinja ng'ombe mahali ili wamualike ati kawasaidia kupata hati za viwanja vyao