Mbunge Gwajima alitudanganya tufungue Akaunti NMB ataweka fedha za ukarabati wa barabara

Kama kuna shina kaliwekea fedha basi litaje hapa tulijue?? Wacha kumtetea TAPELI
 
Chezea chukuwachakomapema weye?!🤣😂😅😆😁
 
Kuna baadhi ya mambo kama mwanaume ukiyalalamikia unaonekana kama una shida ya kijinsia. Gwajima ndio mbunge pekee ambaye kazi zake zimeonekana.
Kazi za Gwajima zilizoonekana ni ile tu ya porn star ambayo alijiterea kuwa ni mguu wa baunsa
 
Wewe ndo unadanganya uma sasa.
Gwajima ni muongo kupindukia hata mtoto mchanga anajua.
 
pia alituahidi boti za uvuvi, kwenda marekani nk
kuna wajinga mahali wanaandaa kuchinja ng'ombe mahali ili wamualike ati kawasaidia kupata hati za viwanja vyao
 
pia alituahidi boti za uvuvi, kwenda marekani nk
kuna wajinga mahali wanaandaa kuchinja ng'ombe mahali ili wamualike ati kawasaidia kupata hati za viwanja vyao
Mazuzu kabisa kabisa 🤬 🤬 🤬
 
pia alituahidi boti za uvuvi, kwenda marekani nk
kuna wajinga mahali wanaandaa kuchinja ng'ombe mahali ili wamualike ati kawasaidia kupata hati za viwanja vyao
Hawa ndiyo wanafanya Tanzania tudharauliwe sana na majirani
 
Mbunge Gwajima huyo nimfanya maendeleo ya ameleta maendeleo makubwa sana kwa jimbo la kawe na yeye Wala sio muongo ametekeleza mambo mengi katika jimbo la kawe yeye ni kiongozi wa kuingwa kabisa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…