Hivi huyo mbunge mpumbavu jina lake ni nani ?ππππ suti na tai ajijamsitiri na upumbavu wake ni kama hijabu tu ....hijabu wanavaa na upumbavu wanaoHabari wakuu,
Ni aibu kuwa na mbunge kama huyu haoni umuhimu wa periodic table kisha baadae utamkuta anasifia mama ameleta soko la madini kuna kila sababu ya kufanya reform kabla ya uchaguzi watu waache kupachikana kwenye nafasi tu
Kumbe ni muislamu basi ni sawasawa kumiliki akili kama hizo.....mtu awezi kuwa muislamu na akawa na akiliHuyu ni Shamsi Vuai Nahodha Waziri Kiongozi mstaafu wa Zanzibar (cheo kama Waziri Mkuu wa Bara). Yaani huyo analipwa pensheni na serikali mpaka kufa kwake, na mshahara kama wa Waziri Mkuu wa huku bara.
Sasa kama 2025 ni mjinga hivyo, fikiri alikuwa mjinga kiasi gani 2010 alipokuwa waziri kiongozi Zanzibarπ
Yupo sahihi lakini CCM kawaida ina wabunge uchwara ila kwa hili hajakosea. Hata wewe jiulize, hiyo Quadric Equation na Periodic Table imekusaidia nini maishani.Habari wakuu,
Ni aibu kuwa na mbunge kama huyu haoni umuhimu wa periodic table kisha baadae utamkuta anasifia mama ameleta soko la madini kuna kila sababu ya kufanya reform kabla ya uchaguzi watu waache kupachikana kwenye nafasi tu
Alafu ni mtu mzima kabisa, yeye angesema watu wasispecify kwenye carrier mapema ili watumikie taifa mapema na sio ujinga huo, hivi yeye haoni aibu? HahahNimeshangaa na kuogopa sana kwa hoja alizozitoa! Yaani hajui kwamba quadratic equation ni muhimu sana katika branch of mathematics? Wataalam kama vile engineers, architects etc wataweza kupatikana vipi bila kusoma hiyo topic at early stages?
Vilevile kuhusu periodic table wataalam kama medical doctors, pharmacist etc watapatikana vipi bila kusoma hiyo topic?
Kweli bado tunasafari ndefu sana.
Na ndiyo maana unaona kuna wengine wanaenda bungeni kuomba pingu tu chalk ya kuandikia kwenye madrasa, ni haibu kwa kweli.Sifa ya kuwa mbunge ni kujua kusoma na kuandika kiSwahili, wengine wana udaktari na hawajasoma huo udaktari !!!
Mbunge mpumbavu sana huyuHabari wakuu,
Ni aibu kuwa na mbunge kama huyu haoni umuhimu wa periodic table kisha baadae utamkuta anasifia mama ameleta soko la madini kuna kila sababu ya kufanya reform kabla ya uchaguzi watu waache kupachikana kwenye nafasi tu
Msamehe bure kasoma madrasa huyoYe kaona wapi mwanafunzi wa primary akafundushwe QUADRATIC EQUATION!?