Messier 31
JF-Expert Member
- Feb 1, 2017
- 502
- 1,337
Aisee π na ndio mahali hizi nchi za watu weusi zinakwama kwenye umaskini. Unakuta kiongozi mkubwa wa nchi na wasaidizi wake wote vilaza πHuyu ni Shamsi Vuai Nahodha Waziri Kiongozi mstaafu wa Zanzibar (cheo kama Waziri Mkuu wa Bara). Yaani huyo analipwa pensheni na serikali mpaka kufa kwake, na mshahara kama wa Waziri Mkuu wa huku bara.
Sasa kama 2025 ni mjinga hivyo, fikiri alikuwa mjinga kiasi gani 2010 alipokuwa waziri kiongozi Zanzibarπ
Si wasome hao wanaotakaNimeshangaa na kuogopa sana kwa hoja alizozitoa! Yaani hajui kwamba quadratic equation ni muhimu sana katika branch of mathematics? Wataalam kama vile engineers, architects etc wataweza kupatikana vipi bila kusoma hiyo topic at early stages?
Vilevile kuhusu periodic table wataalam kama medical doctors, pharmacist etc watapatikana vipi bila kusoma hiyo topic?
Kweli bado tunasafari ndefu sana.
Ukiwa na akili ndogo utazani ni kukusaidia kupata pesa tu ila kuna mambo kibao zimekusaidia wewe hujasoma izo unadrive kuna motion in two dimensions apo ndani yake kuna quadratic,mafuta unajua pure na yalio chakachuliwa kupitia knowledge za periodic table inshort hakuna haja ya tbs kama hakuna umuhimu wa periodic tableNi huyu tu mtanzania mmoja ambae anaweza kusema zimemsaidia...na ni mmoja kati ya millioni 60 na haishi bongo....
Wengine muende VETA, hizo table na equation mnalazimisha na kuishia kuwa wanasayansi uchwara wa kugombania mwendokasi na wadangaji......
Calvin Marambo | Speaker | Harvard's 26th Annual African Business Conference
Calvin Marambo, Associate Director of Rare Diseases, Moderna will be attending the Harvard's 25th Annual African Business Conference.www.africa-hbsclub.com
Sasa kama wewe ulisoma hkl zitakusaidiajewewe mlugaluga hebu acha kelele...
vyote ulivyotaja havijawahi kutumika na wala havitumiki huku bongonyoso,
Haya wewe umesoma pcm leta hata ushahidi umetumia wapi hizo equation na hiyo table zaidi ya kujibia mitihaniSasa kama wewe ulisoma hkl zitakusaidiaje
Hizi hazikuhusu Kabisa wewe mmatumbiwhats are real life applications of quadratic equations apate majibu
Narudia hii sio kwa ma HKL, nenda kafanye uhakiki wa fasihiHizi hazikuhusu Kabisa wewe mmatumbi
Waachie wazungu wanazitumia kila siku
Kurusha satellite na kutengeneza mabomu na rocket
Wewe nenda VETAβ¦.
Ukikwama kwenye Physics usisite kuniomba msaada japo nimesomea hkl.....Narudia hii sio kwa ma HKL, nenda kafanye uhakiki wa fasihi
Sawa wazee wa viama na kiarifu. Tumia kiarifu Niarifie hapo basi buku la karibu niunge bando la jfUkikwama kwenye Physics usisite kuniomba msaada japo nimesomea hkl.....
Habari wakuu,
Ni aibu kuwa na mbunge kama huyu haoni umuhimu wa periodic table kisha baadae utamkuta anasifia mama ameleta soko la madini kuna kila sababu ya kufanya reform kabla ya uchaguzi watu waache kupachikana kwenye nafasi tu
Huyu alipata wa kumjibu hoja yake huko bungeni kweli? Inasikitisha sana aiseeeeeeNimeshangaa na kuogopa sana kwa hoja alizozitoa! Yaani hajui kwamba quadratic equation ni muhimu sana katika branch of mathematics? Wataalam kama vile engineers, architects etc wataweza kupatikana vipi bila kusoma hiyo topic at early stages?
Vilevile kuhusu periodic table wataalam kama medical doctors, pharmacist etc watapatikana vipi bila kusoma hiyo topic?
Kweli bado tunasafari ndefu sana.
Labda alimaanisha y = sinxHahaha kachemka. Eti periodic equation
Hii ndo tunaiona sasa..!!! Yaani wa la saba B, akatunge sheria ya namna ya kuchimba madini, wakati hata hayo madili hayajui..Aisee, moja ya kigezo cha kuwa Mbunge ni kujua kusoma na kuandika.
Lakini pia tunaambiwa Bunge ni chombo cha kutunga Sheria yaani watu wanaojua kusoma na kuandika tu wanaweza kukaa chini na kutungia Sheria Watanzania milioni 60 na zaidi.