Hiyo ndiyo maana ya 50:50? Kimtokacho mtu ndicho kiujazacho moyo wake. Hanna kitu hapo.Mbunge wa Viti Maalumu, Jacquline Ngonyani (CCM), ametaka ifungwe mashine maalumu bungeni ya kukagua wabunge wa kiume ambao hawajatahiriwa.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hiyo ndiyo maana ya 50:50? Kimtokacho mtu ndicho kiujazacho moyo wake. Hanna kitu hapo.Mbunge wa Viti Maalumu, Jacquline Ngonyani (CCM), ametaka ifungwe mashine maalumu bungeni ya kukagua wabunge wa kiume ambao hawajatahiriwa.
Hamna haja ya kutumia gharama kununua mashine,yeye ajitolee kunyonya nanii zote za wabunge kisha aandike report kuwa kakutana na masweta mangapi!
Hahahahaha aiseeeeHamna haja ya kutumia gharama kununua mashine,yeye ajitolee kunyonya nanii zote za wabunge kisha aandike report kuwa kakutana na masweta mangapi!
Nafikiri mashine za kupima tohara ndio viwanda tulivyoahidiwa. Tusishangae maana wanatimiza ilani yao.
Mkuu unawajumlisha wanawake wote kwa popoma mmoja serious? Wew umekeketwa naona unahitaji wanawake wakeketwe.Wanawake Bwana. Wao wanataka kubaki na vyao. Angalia hawataki kukeketwa, Nywele ndo hivyo wanatafuta za akina Rihana wajazilizie, Kucha wamezirefusha mpaka chui haoni ndani. Sasa huku kwetu ndevu unaweza kufuga kama ni shehe au uwe na Imani kali. Wanawake muwe na huruma na sisi
Tuna shida sana kama taifa..halafu unakuta huyu analipwa mshahara na posho sawa na Zitto au Bashe! badala ya kufikiria kumnyima mshahara Lissu hawa ndio wanatakiwa wapigwe chini kabisaMbunge wa Viti Maalumu, Jacquline Ngonyani (CCM), ametaka ifungwe mashine maalumu bungeni ya kukagua wabunge wa kiume ambao hawajatahiriwa.
Nimejaribu kuufatilia huu Uzi mpaka ulipoishia lakini sijaona mahali ulipotolewa ufafanuzi kwanini Mh. ameamua kutoa hoja nzito namna hiyo. Zaidi ni mitusi tu, we are all confused humu jamvini!Mbunge wa Viti Maalumu, Jacquline Ngonyani (CCM), ametaka ifungwe mashine maalumu bungeni ya kukagua wabunge wa kiume ambao hawajatahiriwa.
Hamu tu zinamsumbua huyoGovi ni makazi ya Human Papiloma virus (HPV) ambao huchangia kwa kiasi kikubwa saratani ya shingo ya kizazi (Cervical Cancer) kwa kina Mama.
Pia lina mchango mkubwa wa maambukizi ya VVU na ndio maana kwenye Mikoa yenye viwango vikubwa vya maambukizi ya VVU na utamaduni wa tohara haupo basi kuna miradi ya tohara kwa mwanaume
Mikoa hiyo ni kama vile Rukwa, Ruvuma, Njombe, Iringa, Morogoro, Tabora, Geita, Kagera, Shinyanga, Singida nk
Kwahiyo ni muhimu kwa wanaume kufanya tohara ili kupunguza kasi ya maambukizi ya VVU pamoja na Saratani ya Shingo ya kizazi kwa kina mama
Ninaamini Mh Mbunge alikuwa na maana hiyo.
Huyu Mbunge si anayo mashine yake aliyozaliwa nayo! Aitumie kufanyia huo ukaguzi kama anaona una tija! 🤔?Mbunge Jacqueline Ngonyani: Ifungwe mitambo ya kukagua wabunge ambao hawajatahiriwa ameyasema hayo leo
Hawa wengine utawashangaaje??[emoji23][emoji23][emoji23]Huko ccm mbuge mwenye akili ni Msukuma..
Mbunge Jacqueline Ngonyani: Ifungwe mitambo ya kukagua wabunge ambao hawajatahiriwa ameyasema hayo leo
Mbunge ana mchango wa maana sana!Itakuwa reaseach nzuri sana inaweza kumpatia PhD ya Ngovinology...!!!Kaazi kwelikweli mibunge ya kutoka Lumumba St.
Wa chama gani huyo?Mbunge wa Viti Maalumu, Jacquline Ngonyani (CCM), ametaka ifungwe mashine maalumu bungeni ya kukagua wabunge wa kiume ambao hawajatahiriwa.