Mbunge Jerry Silaa aangua kilio bungeni baada ya kumaliza kuchangia mjadala

wabunge wa michongo hawa hawana lolote leo hii ndo wawe na uchungu na wananchi wao!mbona bajeti imepita bila mkwamo
 
Lazima walie coz hawana uhakika wa kurudi BUNGENI tena!!
Inawezekana wametumwa na CHAMA ILI kupunguza joto la katiba ikumbukwe pia leo kulikuwa na press ya CHADEMA wake spin kiasi chake sio mbaya!
 
Don kama huyo hawezi kulia kwa sababu ya kutishiwa kuachwa na kitu kinachoitwa mwanamke
 
Wahenga mnamkumbuka Mheshimiwa Senyagwa alikuwa Mmbunge wa Jimbo la Mpwapwa miaka ya 80 kabla ya Jimbo hilo kugawanywa huyu naye alilia Bungeni kuwaombea maji wananchi wa Jimbo hilo
 

Hakuna lolote huyo anajijenga kisiasa siku akitaka nafasi kubwa au akitaka kutetea ubunge wake awapumbaze watu kwamba alikuwa na uchungu nao sana.

Tanzania baada ya Nyerere hajatokea tena mwanasiasa wa kuaminiwa wote njaa tu hawa
 
Huu mhimili siku hizi imejaa vichaa mara mmoja kapiga sarakasi mara mwingine analia…!
 
Hawa wliingizwa bungeni na mwendazake
 
unaweza kuta kanyimwa pesa na mkandarasi, kaamua kumwaga mboga...siasa ni mchezo wa akili nyingi
 
Kwa nini hakulia Enzi za Jiwe.


Sent from my SM-A115AZ using JamiiForums mobile app
 
Hiyo kampuni ni wahuni walitokea kenya wamefanya uchafu mwingi huko sasa wamekuja tz kutuhalibia nchi
 
Mkuu usimtetee huyu jamaa labda kama huishi Ukonga. Hana msaada wowote kwa wananchi na hali ya barabara na huduma za jamii kwenye jimbo la Ukonga inatisha.
Anaweza kuwa Ndio Jerry Silaa huyu
 
Mmeona wengi hawana muda na hilo bunge la kijani sasa mnaanza kutengeneza drama kutafuta attention.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…