Pre GE2025 Mbunge Jerry Silaa akataliwa na Wananchi wa Jimbo la Ukonga mbele ya Waziri Ulega

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)
Ardhi zao zina maji na soil profile mbovu sana, ipo haja kwa huko tuendako tukatumia zaidi concrete roads, itaokoa hata gharama za kuziba viraka kila wakati.
Hizo concrete roads zitakuwa jipu nazo baada ya wajajanja kuanza kupiga rations.😂 kuna baadhi ya concrete roads tayari zina nyufa
 
Mkuu hizo siasa tu,tuseme kwa diwani ipo hivyo.
Aya kipande cha moshi bar kwa mkolemba, hizo siasa tu hali ni mbaya.
 
Muache mbunge wetu nilikuwa mwinyi hapo alisema halali na ana suti moja tu. Ana wapambania wana mkuranga.
Anapambania nini haswa barabara mtihani, njia ya kwenda kisiju ni mbooovu, baadhi ya vijiji haswa kata ya tengelea umeme hakuna wakati wenzao dondwe, chanika umeme upo, hiyo barabara ya dondwe to mkuranga ni mboovu wakati inaunganisha wilaya 2 ama 3 kabisa.
 
Hata hvyo aachie kijiti hiko mana mji ushakuwa huo.
 
Nimesema tafuta vitabu ujisomee.

Kazi ya mbunge ni uwakilishi . Anachukua maoni, shida, mipango na matamanio ya wananchi wa jimboni kwake halafu anayatumia kutunga sheria, kupanga bajeti na kuisimamia serikali bungeni.
Ndio maana huwa najiuliza wananchi wenye kupiga kura huwa wanatumia vigezo gani kumchagua mbunge kwa kuangalia hizo kazi za mbunge!
 
Ukonga kuna barabara mbovu na maji ya shida. Hata Segerea maji tatizo. Wananchi wa majimbo hayo mawili hawaogi na ni wachafu hasa kwenye daladala, tena ukutane na wanawake wa Kitunda weusi tii, wamepiga mkorogo alafu wana mawigi yanatema.
Mtu anakazana kupita kwenye vumbi akifika kwake maji ya kuoga hamna.

Atakayesema nimetukana basi aende Banana ajionee vipanya vya kwenda Kitunda uko.
We gebwe sana
 
Huu uzi ufungwe sasa 😀😀😀
 
Wenyewe wabunge huwa wanatoa ahadi za kutujengea barabara kwenye campaign zao
Wengine hawajitambui. Ni kwasabb ubunge hata wajinga wanaruhusiwa kugombea ubunge. Maana sifa za kugombea ubunge ni ;-
1. Kuwa raia wa Tanzania.
2. Kuwa na umri wa miaka 21 na kuendelea.
3. Kujua kusoma na kuandika.

Kwa sifa hizi, hata mpumbavu anaweza kuwa mbunge.
 
Ndio maana huwa najiuliza wananchi wenye kupiga kura huwa wanatumia vigezo gani kumchagua mbunge kwa kuangalia hizo kazi za mbunge!
Wananchi wa taifa hili humchagua mtu aliyegawa kanga na kofia kwa wingi.

Ama aliyewabeba kwenye malori kuwapeleka kwenye mikutano ya kampeni mara nyingi zaidi.
 
Hata wabunge wa upinzani nao huchaguliwa kwa mtindo huo?
 
Back
Top Bottom