Extrovert
JF-Expert Member
- Feb 29, 2016
- 70,785
- 186,690
Hizo concrete roads zitakuwa jipu nazo baada ya wajajanja kuanza kupiga rations.😂 kuna baadhi ya concrete roads tayari zina nyufaArdhi zao zina maji na soil profile mbovu sana, ipo haja kwa huko tuendako tukatumia zaidi concrete roads, itaokoa hata gharama za kuziba viraka kila wakati.