Mbunge Jerry Silaa hajui kitu kuhusu ATCL, asijifanye mjuaji

Mbunge Jerry Silaa hajui kitu kuhusu ATCL, asijifanye mjuaji

Jerry Slaa ni puppet
Yuko nyuma ya watu..
Akiongea Bashe ujue Rostam kaongea
Kuna wabunge huwa wanaongea Kwa niaba ya wengine...
Watu wakubwa kama kina Kinana.Lowasa.
Kikwete na wengine Wana wabunge wao
Wanazungumza kwa niaba yao..
Hivi yule mbunge mvuta bhangi, Elimu darasa la 7 Bwana Kasheku Msukuma huwa anaongea kwa niaba ya nani??
 
Mhusika mkuu hajaenda mbele za haki tusicheze na upendo na unyenyekevu wa ALLAH,damu nyingi ipo mikononi mwake (elewa Ben Saanane alikuwa member humu ,fikiria familia yake au wewe unafurahi Maadam umezungukukwa na wapendwa wako,fikiria watoto wa Ben Saanane na wengineo wengi tu)yuko motoni straight...na shirika la ndege libinafisishwe au liingie ubia na shirika jingine kubwa linalojiendesha kisayansi kama Ethiopian airways au angalia ubia wa Rwandair ni mzuri tukauiga.
Tuma Salamu kwa watu watano, [emoji441]
 
"Kanuni zote za kibiashara duniani hua zinataka mradi wowote katika taifa lolote lile ufunguliwe ikiwa kuna economic stability katika taifa."

Basi kama ingekuwa ni hivyo tusifanye mradi wowote hadi tuwe na "economic stability katika taifa" -- whatever that supposed to mean. Yaani taifa lisiwe na mradi wowote hadi tuwe stable kiuchumi, hiyo kanuni ni ya kwako tu. Hata ngazi ya familia hatufanyi hivyo. Tabu sana kuishi nchi moja na raia wenye mawazo ya umaskini kama hivi.
Wewe tumia akili kuelewa kilichoandikwa udikurupuke kujibu tu. Kinachozungumzwa hapa ni aina ya shirika ambalo linalotia taifa hasara badala ya kua na mpango kazi wa kuliimarisha, pato lenyewe bado ni dogo inakimbilia kununua madege yanakutia hasara miaka 10 mfululizo na kiuchumi uko hoi, hivi hiyo ni akili?
 
Hicho ulichoandika bado ni mawazo ya kimaskini. Marekani wana NASA inayopeleka vyombo mwezini, haizalishi faida yoyote na inakula kodi ya wamarekani balaa. Lakini wamarekani wanaipump pesa za kutosha maana kwa msemo wao, kuna spin-off benefits kupitia NASA kwenye industries kibao.

Sasa wewe kamradi ka ndege tu za kawaida unaona ni hasara, lini utawaza hata kujenga satellites zako mwenyewe (kama nchi). Ni hivi, kuna spin-off benefits kibao kwa kupitia ATCL imara, embu think big bro.

Afu unavosema kiuchumi tuko hoi, unamaanisha nini? Maana kama tunaweza kununua ndege cash basi uchumi wetu hauko hoi kama unavyotaka kutuaminisha. Na pia ikumbukwe tumenunua hizi ndege wakati huo huo tujkijenga madaraja makubwa, tukiboresha huduma zetu za afya, tukipanua barabara zetu za mijini, tukiboresha usafiri wetu wa majini, n.k.

Uchumi hoi unaousema ni upi ndugu yangu? Kama ni suala la kutopandisha mishahara mimi hapa ninayeandika ni mhanga wa kutopandishwa mshahara, lakini najisikia fahari kuona nchi yangu inafanya mambo makubwa vitakavyowafaidisha watoto na wajukuu zetu. There is no glory without sacrifice, na kwangu mimi nahesabu kuminywa haki zangu za kipato kama sacrifices kwa ajili ya vizazi vijavyo vya Tanzania.
 
Kwa hiyo Baba akiwa na ndege na mtoto atajua sana mambo ya ndege!!!!! Bwashee kunywa dawa zako ulichoandika hapa hakiingii akilini.
Baba ake Jerry anamiliki ndege iliyomuua Filikunjombe

Jerry anajua sana maswala ya ndege!
 
Huyu dogo ni bora alivyopigwa pin na Mwenzake, hana akili kabisa. Tulimlilia ili arudi ila anaongea uharo mtupu. Poleni wana Ukonga wote!
 
Hicho ulichoandika bado ni mawazo ya kimaskini. Marekani wana NASA inayopeleka vyombo mwezini, haizalishi faida yoyote na inakula kodi ya wamarekani balaa. Lakini wamarekani wanaipump pesa za kutosha maana kwa msemo wao, kuna spin-off benefits kupitia NASA kwenye industries kibao.

Sasa wewe kamradi ka ndege tu za kawaida unaona ni hasara, lini utawaza hata kujenga satellites zako mwenyewe (kama nchi). Ni hivi, kuna spin-off benefits kibao kwa kupitia ATCL imara, embu think big bro.
Marekani wamejenga vingi vingine ndo wakaja kwenye hizo NASA za anasa unazozungumzia! Yaana Mtu hana kodi ya nyumba unamwambia anunue hummer, kisa NASA, NASA pori!
 
Baba yake alikuwa Rubani basi anajiona tayari yeye ni Mtaalam wa kila kitu kwny ndege kuanzia Engine, Kapeti za ndege hadi mfumo mzima wa baishara

Watoto wa 'Fundi Garage' hujifanya wanajua kila kitu kwny Magari
Wewe unajua nini!! Weka vyeti hapa angalau tujue hata ulihudhuria darasani.
 
Liuzwe
Kwa hiyo mnatakaje? Shirika liuzwe? Ndege ziuzwe au nini hasaaa... Ni vema kwenda moja kwa moja kwenye suluhisho sababu muhusika wa yote kishatangulia mbele za haki.
 
Back
Top Bottom