Mbunge Jerry Silaa hajui kitu kuhusu ATCL, asijifanye mjuaji

Jeri yupo sahihi. Wewe ndio mwehu. Muhimu ni kuwa na deni tunalolimudu. Ila kama unategemea ile kampuni isiwe na deni kabisa basi Wewe sahau.

Na ndege hatuziuzi . Mjipange kivingine kama hamuelewei.
Ukiwa soba rudia kusoma na ujibu tena, ila kama umesoma ukiwa soba basi Tz kazi ipo.
 
Serikali Haifanyi biashara.. inatoa huduma. Na hapa ndipo tunataka kufeli.. kuendesha nchi kama corporation wakati mtaji unaotumika (Kodi) ni ya mwananchi. Ikiwa miradi ya serikali italeta faida in the process hiyo ni safi ila usilenge Watu wako ndio soko lako..

Madege yaende Uchina na Ulaya yaje na watalii walipe tupate fedha za kigeni walale kwenye hoteli zetu tutakazozijenga kwa mikopo nafuu ili tupate mafedha mengi kama wananchi na kodi zipunguzwe na mishahara iboreke.

Ukichimba madini safi wauzie huko.nje tupate fedha kwa mamilioni na mamilioni ..jenga sgr wafanyie biashara wakongo na warundi huko.. sio unatuangalia sisi kwa fedha yetu ya kodi utufanyie biashara.. tuache hoi tabia.mara moja.

Sent from my Infinix X650 using JamiiForums mobile app
@Chizi Maarifa mwingine
 
Wewe tumia akili kuelewa kilichoandikwa udikurupuke kujibu tu. Kinachozungumzwa hapa ni aina ya shirika ambalo linalotia taifa hasara badala ya kua na mpango kazi wa kuliimarisha, pato lenyewe bado ni dogo inakimbilia kununua madege yanakutia hasara miaka 10 mfululizo na kiuchumi uko hoi, hivi hiyo ni akili?

Huyo akili hana zinamtoshea kuvukia barabara na kwenda chooni. Huyu hakua hata kazi inayofanywa na NASA, aliyemwambia NASA ni kampuni ya kibiashara ni nani? Basi kama ni hivyo Mamalake yetu ya hali ya hewa TMA nayo iwe inazalisha. Taifa hili tuna watu wapumbavu sijawahi kuona.

ATCL ni shirika lilisajiliwa kibiashara, linatakiwa kujiendeshe kwa faida. Eti linatoa huduma ndio maana linapata hasara, akaulize pale basi za Mwendokasi zinazotoa huduma kama UDART hawapati faida.
We ndiye mpumbavu usiyejua maana ya mashirika ya kimkakati na mashirika ya kibiashara.

Kwetu Tanzania, ATCL halipo kwa ajili ya kutoa huduma za usafiri wa anga na kufanya kibiashara peke yake, pia ni shirika la kimkakati. Kuna mambo mengi yamo ndani ya shirika la ATCL. Itazame ATCL kama unavyoitazama TANESCO au TBC. Muktadha wa uanzishwaji wa mashirika kama hayo ni beyond simple business model. Niishie hapo kwanza.
 
Wasalaam wapenzi wa jukwaa hili!

Ndugu zangu hua napata ukakasi sana ninapoona mtu ambaye anaonekana anajiita msomi lakini anyoongea hayana reflection na usomi wake. Tena kijana ambaye nafikiri kesho angeweza kua Key figure kwenye ujenzi wa taifa. Ndugu yangu bwanamdogo Jery Slaa ni mpotoshaji mkubwa sana kuhusu ATCL, Sijui ni kujikakamua aonekane kwamba anajua au anatafuta sifa za kitoto.

Kwa haraka haraka nimshauri ndugu yangu Jerry Silaa kama hana uelewa na masuala ya biashara na uchumi akae kimya hata kama baba yake alikua rubani, kua rubani hakukufanyi wewe kua mtaalamu wa biashara za ndege.

ANAVYOPOTOSHA BUNGE.
Msomi mzima huwezi kusema kua hakuna tatizo kusikia shirika miaka 10 mfululizo linapata hasara ya mabilioni ya shilingi ukafurahia ati kwa sababu ni kawaida kwa mashirika ya ndege kupata hasara, kwahiyo wananchi waendelee kukosa miradi ya maji na madawa kwa sababu kuna shirika limegeuka kua mchwa wa kumaliza pesa?

Jery anapotosha kua hasara ya ndege zetu ni kwa sababu ya COVID-19, haelewi na wala hakumbuki kwamba kua ugonjwa huu ulianza mwaka 2019 mwishoni, inahusiana vipi na hasara ya miaka ya nyuma? Huyu mtu wa aina hii tumpe jina gani?

USHAURI UNAWEZA KUMSAIDIA NDUGU HUYU NA WATU WENGINE WA AINA YAKE.

Kanuni zote za kibiashara duniani hua zinataka mradi wowote katika taifa lolote lile ufunguliwe ikiwa kuna economic stability katika taifa. Una bajeti yako ndogo katika taifa halafu unachukua sehemu yake unaaanzisha mradi ambao utakuingizia hasara tena irudi kuendelea kufidia hasara ile ile kwa bajeti ile ile ndogo, hivi hii ni kitu gani kama siyo kuumiza wananchi ambao ndio walipa kodi?

Huwezi kufurahia hasara miaka mitano mfululizo ati inafufua shirika wakati unajua kabisa kua shirika lina madeni kibao, yaani unataka upae angani unapata hasara halafu bado una madeni yanazidi hata hiyo hasara unayopata, ni lini utapata faida kama utaendekeza mawazo haya ya kina Jerry Slaa?

Kama tulikua tunajua kua shirika lina madeni megi, basi tungeweza kumalizana nayo kwanza na kuweka sawa mikataba ya kimataifa lady ndio tuje tuanze kufanya maboresho ya shirika letu ili hata tunapopata hasara lakini wakati wa kuifidia kusiwe na maumivu makubwa. Au tungesibiri uchumi wetu utengamae ili tuweze kulisafisha shirika halafu tuanze na mtaji wetu wa hizo ndege huku kwenye anga la kimataifa hatuna tatizo.

Huwezi kufananisha hasara ya Shirika la ndege la Ethiopia,Kenya,Qatar au South Afrika wakati uchumi wao una ahueni wanaweza kufidia hasara hiyo.

Ifike mahali tuwe wakweli tuache kujipendekeza pendekeza ili kulisaidia taifa, unafki haujengi na hauna msaada wowote kwenye ustawi wa taifa pia. Tuwe wazalendo kama kuna hasara tukubali kua ni tatizo na ni lazima litatuliwe.

acheni ujinga JERY AMEJIBU UJINGA WENU
 
Kwa hiyo mnatakaje? Shirika liuzwe? Ndege ziuzwe au nini hasaaa... Ni vema kwenda moja kwa moja kwenye suluhisho sababu muhusika wa yote kishatangulia mbele za haki.
Uza hisa za shirika,punguza wafanyakazi,kodisha Ndege,
 
We ndiye mpumbavu usiyejua maana ya mashirika ya kimkakati na mashirika ya kibiashara.

Kwetu Tanzania, ATCL halipo kwa ajili ya kutoa huduma za usafiri wa anga na kufanya kibiashara peke yake, pia ni shirika la kimkakati. Kuna mambo mengi yamo ndani ya shirika la ATCL. Itazame ATCL kama unavyoitazama TANESCO au TBC. Muktadha wa uanzishwaji wa mashirika kama hayo ni beyond simple business model. Niishie hapo kwanza.
Wacha pumba zako wewe?
Mashirika ya kimkakati yanapataga hasara miaka 5 mfululizo? Huna akili hata ya kutafakari hebu nipishe. Eti nini?shirika la kimkakati? Pumbav kabisa nipishe mie hapa
 
Huyo naye si ndiyo wale wabunge wa kura za kwenye mabegi. Na kakichwa kake kale kama pirton.
 
Ficha ujinga wako wew unaanzaje kufananisha uwekezaji wa kwene ndege kuwa ni sawa na kule wa barabara? eti ni public good kwaiyo ni sawa kupata hasara...huwez kuwa siriaz wew🤔kadanganye watoto wenzako huko.
Huo muda uliotumia kunijibu ungeutumia kusoma welfare economics ungekuwa unakaribia kuwa profesa wa uchumi hadi sasa
 
We mtu Shirika la Ndege si anasa, ni la lazima. Niambie nchi gani duniani haina shirika lake la ndege? Ukiona nchi inayumba kwenye vitu kama shirika la ndege kuna mawili, either ni failed state au si nchi huru.
Yaani watu wanazungumzia NASA ya US wewe uunawaza anasa? Vijana wa ccm mna mdudu gani?
😂😂😂😂😂
 
Jinsi ulivyoanza na mbwembwe za kumkosoa Slaa nilitegemea nikute nondo za uhakika za kutetea hoja yako. Nimeishia njiani baada ya kuona blah blah,bora hata Jerry Slaa maelezo yake yana logic.
 
Wasalaam wapenzi wa jukwaa hili!

Ndugu zangu hua napata ukakasi sana ninapoona mtu ambaye anaonekana anajiita msomi lakini anyoongea hayana reflection na usomi wake. Tena kijana ambaye nafikiri kesho angeweza kua Key figure kwenye ujenzi wa taifa. Ndugu yangu bwanamdogo Jery Slaa ni mpotoshaji mkubwa sana kuhusu ATCL, Sijui ni kujikakamua aonekane kwamba anajua au anatafuta sifa za kitoto.

Kwa haraka haraka nimshauri ndugu yangu Jerry Silaa kama hana uelewa na masuala ya biashara na uchumi akae kimya hata kama baba yake alikua rubani, kua rubani hakukufanyi wewe kua mtaalamu wa biashara za ndege.

ANAVYOPOTOSHA BUNGE.
Msomi mzima huwezi kusema kua hakuna tatizo kusikia shirika miaka 10 mfululizo linapata hasara ya mabilioni ya shilingi ukafurahia ati kwa sababu ni kawaida kwa mashirika ya ndege kupata hasara, kwahiyo wananchi waendelee kukosa miradi ya maji na madawa kwa sababu kuna shirika limegeuka kua mchwa wa kumaliza pesa?

Jery anapotosha kua hasara ya ndege zetu ni kwa sababu ya COVID-19, haelewi na wala hakumbuki kwamba kua ugonjwa huu ulianza mwaka 2019 mwishoni, inahusiana vipi na hasara ya miaka ya nyuma? Huyu mtu wa aina hii tumpe jina gani?

USHAURI UNAWEZA KUMSAIDIA NDUGU HUYU NA WATU WENGINE WA AINA YAKE.

Kanuni zote za kibiashara duniani hua zinataka mradi wowote katika taifa lolote lile ufunguliwe ikiwa kuna economic stability katika taifa. Una bajeti yako ndogo katika taifa halafu unachukua sehemu yake unaaanzisha mradi ambao utakuingizia hasara tena irudi kuendelea kufidia hasara ile ile kwa bajeti ile ile ndogo, hivi hii ni kitu gani kama siyo kuumiza wananchi ambao ndio walipa kodi?

Huwezi kufurahia hasara miaka mitano mfululizo ati inafufua shirika wakati unajua kabisa kua shirika lina madeni kibao, yaani unataka upae angani unapata hasara halafu bado una madeni yanazidi hata hiyo hasara unayopata, ni lini utapata faida kama utaendekeza mawazo haya ya kina Jerry Slaa?

Kama tulikua tunajua kua shirika lina madeni megi, basi tungeweza kumalizana nayo kwanza na kuweka sawa mikataba ya kimataifa lady ndio tuje tuanze kufanya maboresho ya shirika letu ili hata tunapopata hasara lakini wakati wa kuifidia kusiwe na maumivu makubwa. Au tungesibiri uchumi wetu utengamae ili tuweze kulisafisha shirika halafu tuanze na mtaji wetu wa hizo ndege huku kwenye anga la kimataifa hatuna tatizo.

Huwezi kufananisha hasara ya Shirika la ndege la Ethiopia,Kenya,Qatar au South Afrika wakati uchumi wao una ahueni wanaweza kufidia hasara hiyo.

Ifike mahali tuwe wakweli tuache kujipendekeza pendekeza ili kulisaidia taifa, unafki haujengi na hauna msaada wowote kwenye ustawi wa taifa pia. Tuwe wazalendo kama kuna hasara tukubali kua ni tatizo na ni lazima litatuliwe.
Huyo mbunge ni kilaza sijawahi kuona.
 
Lakini ATC lilianzishwa kufanya biashara na siyo huduma. Ndiyo maana kuna ndege za serikali zilikua zikitoa huduma zikakodishwa ATCL.
Prof unadhani kila kitu ni kupata faida tuu!? Au unataka kudhani kila kitu kinachofanyika hata huko ughaibuni lengo ni kupata faida tuu!?

Sent from my Infinix X650 using JamiiForums mobile app
 
Vyeti sio uthibitisho wa Maarifa, ni uthibitisho wa kuwa ulihudhuria shule na kupata Maswali ya Mtihan

Uwezo au maarifa ya mtu unaweza kuyapima hata kwa namna tunavyojadiliana, kama mimi sihitaji Vyeti wala jina lako kuelewa kiwango cha maarifa yako, nafahamu wengi kupitia soga hizi za uongo na kweli tunazopiga hapa

Wewe endelea kusubiri vyeti
Wewe unajua nini!! Weka vyeti hapa angalau tujue hata ulihudhuria darasani.
 
Kwani wewe unajua nini kuhusu ATCL?

Uko mtaalamu wa masuala ya ATCL?

Swali zuri sana? Idadi kubwa ya kina sisi tunaenda kwa hadithi za kusimuliwa. Hatujui lolote ila tunabidii ya kuwa walimu wa wengine.
Ndio maana tunakwama hatusigei mbele
 
Ukiwa soba rudia kusoma na ujibu tena, ila kama umesoma ukiwa soba basi Tz kazi ipo.
Sasa naona tuanza kuwa name constructive conversation!

naona nianze kwa kukwambia tena Mr slaa yuko sahihi na anakushinda kwenye ufahamu wa mambo ya aviation. Sisi wengine sio wana aviation wa moja kwa moja ila ni avegeeks. Haya mambo tunayaelewa.

Jambo ya kwanza lazima ujue kwamba. Kuwa na degree ya business administration ya kawaida ni sawa na kuwa elimu ya chekechea kwenye mambo ya ndege. Mambo ya ndege ni dunia ingine kibasa.

Haya CAG kasema. Moya tatizo kubwa alioliona ni kwamba bodi mzima ya ATCL haina watu wenye uzoefu na mambo ya anga. Hilo ni tatizo kubwa sana kuliko unavyofikiria. Kimbuka hakusema kuwa hawana elimu, ila alisema kuwa hawana uzoefu! !!

Kutokana na maelezo yako hapo juu. Nakufananisha moja kwa moja na wanabodi wa ATCL.

Acheni ATCL iendeshwe na wataalaum, jifunzeni mambo ya Anga na uedeshaji wa mashirika ya ndege kwanza kabla hajatoa tamati ya mambo haya

Namaliza kwa kuendelea kusema SLAA yupo sahihi. Wewe unatumia hisia zaidi na si maarifa!
 
Back
Top Bottom