pilipili kichaa
JF-Expert Member
- Sep 3, 2013
- 18,406
- 14,643
Eti sisi ni familia tuliyoishi ktk mambo ya ndege! hahahaaaaaaaaaaaaa! kweli ushamba ukizidi ni hasara! baba kuwa rubani pekee ktk familia imekuwa nongwa!
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hizo ndege ziuzeni tuondokane na makelele,mbona tulishawaambia kwamba miradi yote aloanzisha Hayati Magufuli iliyokamilika ama iuzwe au ivunjwevunjwe na na ile ambayo haijakamilika iachwe isiendelezwe ili muanzishe miradi mipya ya kwenu yenye tija kwa taifaWasalaam wapenzi wa jukwaa hili!
Ndugu zangu hua napata ukakasi sana ninapoona mtu ambaye anaonekana anajiita msomi lakini anyoongea hayana reflection na usomi wake. Tena kijana ambaye nafikiri kesho angeweza kua Key figure kwenye ujenzi wa taifa. Ndugu yangu bwanamdogo Jery Slaa ni mpotoshaji mkubwa sana kuhusu ATCL, Sijui ni kujikakamua aonekane kwamba anajua au anatafuta sifa za kitoto.
Kwa haraka haraka nimshauri ndugu yangu Jerry Silaa kama hana uelewa na masuala ya biashara na uchumi akae kimya hata kama baba yake alikua rubani, kua rubani hakukufanyi wewe kua mtaalamu wa biashara za ndege.
ANAVYOPOTOSHA BUNGE.
Msomi mzima huwezi kusema kua hakuna tatizo kusikia shirika miaka 10 mfululizo linapata hasara ya mabilioni ya shilingi ukafurahia ati kwa sababu ni kawaida kwa mashirika ya ndege kupata hasara, kwahiyo wananchi waendelee kukosa miradi ya maji na madawa kwa sababu kuna shirika limegeuka kua mchwa wa kumaliza pesa?
Jery anapotosha kua hasara ya ndege zetu ni kwa sababu ya COVID-19, haelewi na wala hakumbuki kwamba kua ugonjwa huu ulianza mwaka 2019 mwishoni, inahusiana vipi na hasara ya miaka ya nyuma? Huyu mtu wa aina hii tumpe jina gani?
USHAURI UNAWEZA KUMSAIDIA NDUGU HUYU NA WATU WENGINE WA AINA YAKE.
Kanuni zote za kibiashara duniani hua zinataka mradi wowote katika taifa lolote lile ufunguliwe ikiwa kuna economic stability katika taifa. Una bajeti yako ndogo katika taifa halafu unachukua sehemu yake unaaanzisha mradi ambao utakuingizia hasara tena irudi kuendelea kufidia hasara ile ile kwa bajeti ile ile ndogo, hivi hii ni kitu gani kama siyo kuumiza wananchi ambao ndio walipa kodi?
Huwezi kufurahia hasara miaka mitano mfululizo ati inafufua shirika wakati unajua kabisa kua shirika lina madeni kibao, yaani unataka upae angani unapata hasara halafu bado una madeni yanazidi hata hiyo hasara unayopata, ni lini utapata faida kama utaendekeza mawazo haya ya kina Jerry Slaa?
Kama tulikua tunajua kua shirika lina madeni megi, basi tungeweza kumalizana nayo kwanza na kuweka sawa mikataba ya kimataifa lady ndio tuje tuanze kufanya maboresho ya shirika letu ili hata tunapopata hasara lakini wakati wa kuifidia kusiwe na maumivu makubwa. Au tungesibiri uchumi wetu utengamae ili tuweze kulisafisha shirika halafu tuanze na mtaji wetu wa hizo ndege huku kwenye anga la kimataifa hatuna tatizo.
Huwezi kufananisha hasara ya Shirika la ndege la Ethiopia,Kenya,Qatar au South Afrika wakati uchumi wao una ahueni wanaweza kufidia hasara hiyo.
Ifike mahali tuwe wakweli tuache kujipendekeza pendekeza ili kulisaidia taifa, unafki haujengi na hauna msaada wowote kwenye ustawi wa taifa pia. Tuwe wazalendo kama kuna hasara tukubali kua ni tatizo na ni lazima litatuliwe.
We mtu Shirika la Ndege si anasa, ni la lazima. Niambie nchi gani duniani haina shirika lake la ndege? Ukiona nchi inayumba kwenye vitu kama shirika la ndege kuna mawili, either ni failed state au si nchi huru.Marekani wamejenga vingi vingine ndo wakaja kwenye hizo NASA za anasa unazozungumzia! Yaana Mtu hana kodi ya nyumba unamwambia anunue hummer, kisa NASA, NASA pori!
Kama huwezi thibitisha madai yako basi uwe unakaa kimya. Kuzusha ni dhambi.Hiyo nisaidie kimoyo moyo! Kwakua mwenye misimamo uliyo kua unaamini ni dhabiti, amekua mwendazake na kwa kua taifa litaelekea kwingine, karibu tujenge nchi kwa positive criticism!
Imeanza kubackfire? Records za JPM hamtazifuta kwa genge lenu uchwara kutoka msogaWasalaam wapenzi wa jukwaa hili!
Ndugu zangu hua napata ukakasi sana ninapoona mtu ambaye anaonekana anajiita msomi lakini anyoongea hayana reflection na usomi wake. Tena kijana ambaye nafikiri kesho angeweza kua Key figure kwenye ujenzi wa taifa. Ndugu yangu bwanamdogo Jery Slaa ni mpotoshaji mkubwa sana kuhusu ATCL, Sijui ni kujikakamua aonekane kwamba anajua au anatafuta sifa za kitoto.
Kwa haraka haraka nimshauri ndugu yangu Jerry Silaa kama hana uelewa na masuala ya biashara na uchumi akae kimya hata kama baba yake alikua rubani, kua rubani hakukufanyi wewe kua mtaalamu wa biashara za ndege.
ANAVYOPOTOSHA BUNGE.
Msomi mzima huwezi kusema kua hakuna tatizo kusikia shirika miaka 10 mfululizo linapata hasara ya mabilioni ya shilingi ukafurahia ati kwa sababu ni kawaida kwa mashirika ya ndege kupata hasara, kwahiyo wananchi waendelee kukosa miradi ya maji na madawa kwa sababu kuna shirika limegeuka kua mchwa wa kumaliza pesa?
Jery anapotosha kua hasara ya ndege zetu ni kwa sababu ya COVID-19, haelewi na wala hakumbuki kwamba kua ugonjwa huu ulianza mwaka 2019 mwishoni, inahusiana vipi na hasara ya miaka ya nyuma? Huyu mtu wa aina hii tumpe jina gani?
USHAURI UNAWEZA KUMSAIDIA NDUGU HUYU NA WATU WENGINE WA AINA YAKE.
Kanuni zote za kibiashara duniani hua zinataka mradi wowote katika taifa lolote lile ufunguliwe ikiwa kuna economic stability katika taifa. Una bajeti yako ndogo katika taifa halafu unachukua sehemu yake unaaanzisha mradi ambao utakuingizia hasara tena irudi kuendelea kufidia hasara ile ile kwa bajeti ile ile ndogo, hivi hii ni kitu gani kama siyo kuumiza wananchi ambao ndio walipa kodi?
Huwezi kufurahia hasara miaka mitano mfululizo ati inafufua shirika wakati unajua kabisa kua shirika lina madeni kibao, yaani unataka upae angani unapata hasara halafu bado una madeni yanazidi hata hiyo hasara unayopata, ni lini utapata faida kama utaendekeza mawazo haya ya kina Jerry Slaa?
Kama tulikua tunajua kua shirika lina madeni megi, basi tungeweza kumalizana nayo kwanza na kuweka sawa mikataba ya kimataifa lady ndio tuje tuanze kufanya maboresho ya shirika letu ili hata tunapopata hasara lakini wakati wa kuifidia kusiwe na maumivu makubwa. Au tungesibiri uchumi wetu utengamae ili tuweze kulisafisha shirika halafu tuanze na mtaji wetu wa hizo ndege huku kwenye anga la kimataifa hatuna tatizo.
Huwezi kufananisha hasara ya Shirika la ndege la Ethiopia,Kenya,Qatar au South Afrika wakati uchumi wao una ahueni wanaweza kufidia hasara hiyo.
Ifike mahali tuwe wakweli tuache kujipendekeza pendekeza ili kulisaidia taifa, unafki haujengi na hauna msaada wowote kwenye ustawi wa taifa pia. Tuwe wazalendo kama kuna hasara tukubali kua ni tatizo na ni lazima litatuliwe.
Sawa mkuu, lakini kutokua Mkweli kwa nafsi yako inaweza kua unafiki ambao nao ni dhambi pia! Ila pamoja kubadilika msimamo wako, kuna mambo yako ya zamani yalikujengea heshima kubwa kwangu, nimeshindwa kuacha heshima hiyo! Najua kuna utopolo ambao, penda usipende utapinga tu, Nyani!Kama huwezi thibitisha madai yako basi uwe unakaa kimya. Kuzusha ni dhambi.
Duh!Sawa mkuu, lakini kutokua Mkweli kwa nafsi yako inaweza kua unafiki ambao nao ni dhambi pia! Ila pamoja kubadilika msimamo wako, kuna mambo yako ya zamani yalikujengea heshima kubwa kwangu, nimeshindwa kuacha heshima hiyo! Najua kuna utopolo ambao, penda usipende utapinga tu, Nyani!
Bila shaka wewe utakuwa ni zuzu, zezeta na hujitambui!!Hicho ulichoandika bado ni mawazo ya kimaskini. Marekani wana NASA inayopeleka vyombo mwezini, haizalishi faida yoyote na inakula kodi ya wamarekani balaa. Lakini wamarekani wanaipump pesa za kutosha maana kwa msemo wao, kuna spin-off benefits kupitia NASA kwenye industries kibao.
Sasa wewe kamradi ka ndege tu za kawaida unaona ni hasara, lini utawaza hata kujenga satellites zako mwenyewe (kama nchi). Ni hivi, kuna spin-off benefits kibao kwa kupitia ATCL imara, embu think big bro.
Afu unavosema kiuchumi tuko hoi, unamaanisha nini? Maana kama tunaweza kununua ndege cash basi uchumi wetu hauko hoi kama unavyotaka kutuaminisha. Na pia ikumbukwe tumenunua hizi ndege wakati huo huo tujkijenga madaraja makubwa, tukiboresha huduma zetu za afya, tukipanua barabara zetu za mijini, tukiboresha usafiri wetu wa majini, n.k.
Uchumi hoi unaousema ni upi ndugu yangu? Kama ni suala la kutopandisha mishahara mimi hapa ninayeandika ni mhanga wa kutopandishwa mshahara, lakini najisikia fahari kuona nchi yangu inafanya mambo makubwa vitakavyowafaidisha watoto na wajukuu zetu. There is no glory without sacrifice, na kwangu mimi nahesabu kuminywa haki zangu za kipato kama sacrifices kwa ajili ya vizazi vijavyo vya Tanzania.
Sipingi shirika la ndege, lakini kazi ya uendeshaji wa mashirika siyo ya serikali! Shirika letu la ndege ni la kwetu tu, hata likendeshwa na sekta binafsi! Serikali yake kodi, alafu kusimamia usalama wa watu na mali zao!We mtu Shirika la Ndege si anasa, ni la lazima. Niambie nchi gani duniani haina shirika lake la ndege? Ukiona nchi inayumba kwenye vitu kama shirika la ndege kuna mawili, either ni failed state au si nchi huru.
😳😳😳😳😳😳😳😳😳😳😳😳😳😳😳😳😳😳😳😳muhusika wa yote kishatangulia mbele za haki.
Wewe tumia akili kuelewa kilichoandikwa udikurupuke kujibu tu. Kinachozungumzwa hapa ni aina ya shirika ambalo linalotia taifa hasara badala ya kua na mpango kazi wa kuliimarisha, pato lenyewe bado ni dogo inakimbilia kununua madege yanakutia hasara miaka 10 mfululizo na kiuchumi uko hoi, hivi hiyo ni akili?"Kanuni zote za kibiashara duniani hua zinataka mradi wowote katika taifa lolote lile ufunguliwe ikiwa kuna economic stability katika taifa."
Basi kama ingekuwa ni hivyo tusifanye mradi wowote hadi tuwe na "economic stability katika taifa" -- whatever that supposed to mean. Yaani taifa lisiwe na mradi wowote hadi tuwe stable kiuchumi, hiyo kanuni ni ya kwako tu. Hata ngazi ya familia hatufanyi hivyo. Tabu sana kuishi nchi moja na raia wenye mawazo ya umaskini kama hivi.
Huyo akili hana zinamtoshea kuvukia barabara na kwenda chooni. Huyu hakua hata kazi inayofanywa na NASA, aliyemwambia NASA ni kampuni ya kibiashara ni nani? Basi kama ni hivyo Mamalake yetu ya hali ya hewa TMA nayo iwe inazalisha. Taifa hili tuna watu wapumbavu sijawahi kuona.Bila shaka wewe utakuwa ni zuzu, zezeta na hujitambui!!
Yaani unataka kulinganisha NASA na ATCL? Shame in you! Hizi akili za kichatochato hizi hatutaki kuzusikia kabisa....!!!
Yaani unakaa miaka 6 hujaongezwa mshahara unaona fahari na unashangilia ati ni SACRIFICE? Nonsense. Hivi unajua maana ya ku- sacrifice au unaji ropokea tu?? Yaani Jiwe alikuwa anaumiza Watumishi kwa kununua ndege ZINAZO TENGEZA HASARA YA BILIONI 60 TSHS??? Nenda kapimwe Mirembe Mental Hospital kwanza ndipo urudi hapa!!!
Very likely you're not an employee of any government entity!! Are you?
TANROADS wamesajiliwa BRELA kufanya biashara? Huwezi kufananisha TANROADS na ATCLMiradi yeyote ya serikali yeyote Duniani huwa haina faida. Mfano Tanroads kwa mwaka huu imeingiza faida kiasi gani? Kwa km za bara bara zilizojengwa kwa kutumia mabilioni ya pesa umeshawahi kusikia wamepata faida? Kama hawapati faida, Tanroads ifungwe? Muhimbili tangu ianzishwe imeshawahi zalisha faida kiasi gani? Kama haizalishi faida ifungwe? Hii ni mifano michache.
Ndio maana hizi huduma na bidhaa zinaingia kwenye public goods. And gvt has to invest on market failures. Market failure ni huduma au bidhaa inayohitajika kwenye uchumi lakini bidhaa hiyo haiwezi kuzalishwa na nguvu ya soko.
Hii inatokana na either bidhaa hiyo kutokuwa na faida kibiashara au kuhitajika kwa mtaji mkubwa sana ili kuweza kuzalisha bidhaa hiyo. Kwa hiyo kwa kuwa hakuna private entity inayoweza kuzaliza public goods, gvt intervention ndio inatakiwa. Mf ujenzi wa reli ni gharama kubwa hivyo kusababisha market failure, huduma za ulinzi na usalama ni gharama kubwa kiasi kwamba huwezi kuwaambia KK security walinde nchi na wewe uwalipe ndio maana kuna market failure.
kuelewa zaidi public goods nawashauri msome welfare economics.
Miradi yeyote ya serikali yeyote Duniani huwa haina faida. Mfano Tanroads kwa mwaka huu imeingiza faida kiasi gani? Kwa km za bara bara zilizojengwa kwa kutumia mabilioni ya pesa umeshawahi kusikia wamepata faida? Kama hawapati faida, Tanroads ifungwe? Muhimbili tangu ianzishwe imeshawahi zalisha faida kiasi gani? Kama haizalishi faida ifungwe? Hii ni mifano michache.
Ndio maana hizi huduma na bidhaa zinaingia kwenye public goods. And gvt has to invest on market failures. Market failure ni huduma au bidhaa inayohitajika kwenye uchumi lakini bidhaa hiyo haiwezi kuzalishwa na nguvu ya soko.
Hii inatokana na either bidhaa hiyo kutokuwa na faida kibiashara au kuhitajika kwa mtaji mkubwa sana ili kuweza kuzalisha bidhaa hiyo. Kwa hiyo kwa kuwa hakuna private entity inayoweza kuzaliza public goods, gvt intervention ndio inatakiwa. Mf ujenzi wa reli ni gharama kubwa hivyo kusababisha market failure, huduma za ulinzi na usalama ni gharama kubwa kiasi kwamba huwezi kuwaambia KK security walinde nchi na wewe uwalipe ndio maana kuna market failure.
kuelewa zaidi public goods nawashauri msome welfare economics.
Mbunge Jerry slaa kazia hapo hapoWasalaam wapenzi wa jukwaa hili!
Ndugu zangu hua napata ukakasi sana ninapoona mtu ambaye anaonekana anajiita msomi lakini anyoongea hayana reflection na usomi wake. Tena kijana ambaye nafikiri kesho angeweza kua Key figure kwenye ujenzi wa taifa. Ndugu yangu bwanamdogo Jery Slaa ni mpotoshaji mkubwa sana kuhusu ATCL, Sijui ni kujikakamua aonekane kwamba anajua au anatafuta sifa za kitoto.
Kwa haraka haraka nimshauri ndugu yangu Jerry Silaa kama hana uelewa na masuala ya biashara na uchumi akae kimya hata kama baba yake alikua rubani, kua rubani hakukufanyi wewe kua mtaalamu wa biashara za ndege.
ANAVYOPOTOSHA BUNGE.
Msomi mzima huwezi kusema kua hakuna tatizo kusikia shirika miaka 10 mfululizo linapata hasara ya mabilioni ya shilingi ukafurahia ati kwa sababu ni kawaida kwa mashirika ya ndege kupata hasara, kwahiyo wananchi waendelee kukosa miradi ya maji na madawa kwa sababu kuna shirika limegeuka kua mchwa wa kumaliza pesa?
Jery anapotosha kua hasara ya ndege zetu ni kwa sababu ya COVID-19, haelewi na wala hakumbuki kwamba kua ugonjwa huu ulianza mwaka 2019 mwishoni, inahusiana vipi na hasara ya miaka ya nyuma? Huyu mtu wa aina hii tumpe jina gani?
USHAURI UNAWEZA KUMSAIDIA NDUGU HUYU NA WATU WENGINE WA AINA YAKE.
Kanuni zote za kibiashara duniani hua zinataka mradi wowote katika taifa lolote lile ufunguliwe ikiwa kuna economic stability katika taifa. Una bajeti yako ndogo katika taifa halafu unachukua sehemu yake unaaanzisha mradi ambao utakuingizia hasara tena irudi kuendelea kufidia hasara ile ile kwa bajeti ile ile ndogo, hivi hii ni kitu gani kama siyo kuumiza wananchi ambao ndio walipa kodi?
Huwezi kufurahia hasara miaka mitano mfululizo ati inafufua shirika wakati unajua kabisa kua shirika lina madeni kibao, yaani unataka upae angani unapata hasara halafu bado una madeni yanazidi hata hiyo hasara unayopata, ni lini utapata faida kama utaendekeza mawazo haya ya kina Jerry Slaa?
Kama tulikua tunajua kua shirika lina madeni megi, basi tungeweza kumalizana nayo kwanza na kuweka sawa mikataba ya kimataifa lady ndio tuje tuanze kufanya maboresho ya shirika letu ili hata tunapopata hasara lakini wakati wa kuifidia kusiwe na maumivu makubwa. Au tungesibiri uchumi wetu utengamae ili tuweze kulisafisha shirika halafu tuanze na mtaji wetu wa hizo ndege huku kwenye anga la kimataifa hatuna tatizo.
Huwezi kufananisha hasara ya Shirika la ndege la Ethiopia,Kenya,Qatar au South Afrika wakati uchumi wao una ahueni wanaweza kufidia hasara hiyo.
Ifike mahali tuwe wakweli tuache kujipendekeza pendekeza ili kulisaidia taifa, unafki haujengi na hauna msaada wowote kwenye ustawi wa taifa pia. Tuwe wazalendo kama kuna hasara tukubali kua ni tatizo na ni lazima litatuliwe.
Tubadilike,Jeri yupo sahihi. Wewe ndio mwehu. Muhimu ni kuwa na deni tunalolimudu. Ila kama unategemea ile kampuni isiwe na deni kabisa basi Wewe sahau.
Na ndege hatuziuzi . Mjipange kivingine kama hamuelewei.
Usiniletee stress zako za kimaskini. Nimekupa mfano NASA ni shirika la taifa la Marekani na halizalishi faida yoyote lakini bado linaendelea kusupportiwa. Vivyo hivyo ATCL ni shirika la taifa la Tanzania, kama halijaanza kuzalisha faida yoyote siyo sababu ya kutoendelea kusupportiwa. Lengo la uwepo wa ATCL ni zaidi ya kuzalisha faida ya moja kwa moja.Bila shaka wewe utakuwa ni zuzu, zezeta na hujitambui!!