Prof Koboko
JF-Expert Member
- Aug 15, 2020
- 350
- 2,550
- Thread starter
-
- #21
Ole sendeka alikuwa anakngea kwa niaba ya Mengi rip
Kukaa karibu na mto hakukufanyi ujue kuogelea. Basi angekua smart aache kuongelea irrelevanceBaba ake Jerry anamiliki ndege iliyomuua Filikunjombe
Jerry anajua sana maswala ya ndege!
Hivi yule mbunge mvuta bhangi, Elimu darasa la 7 Bwana Kasheku Msukuma huwa anaongea kwa niaba ya nani??Jerry Slaa ni puppet
Yuko nyuma ya watu..
Akiongea Bashe ujue Rostam kaongea
Kuna wabunge huwa wanaongea Kwa niaba ya wengine...
Watu wakubwa kama kina Kinana.Lowasa.
Kikwete na wengine Wana wabunge wao
Wanazungumza kwa niaba yao..
Tuma Salamu kwa watu watano, [emoji441]Mhusika mkuu hajaenda mbele za haki tusicheze na upendo na unyenyekevu wa ALLAH,damu nyingi ipo mikononi mwake (elewa Ben Saanane alikuwa member humu ,fikiria familia yake au wewe unafurahi Maadam umezungukukwa na wapendwa wako,fikiria watoto wa Ben Saanane na wengineo wengi tu)yuko motoni straight...na shirika la ndege libinafisishwe au liingie ubia na shirika jingine kubwa linalojiendesha kisayansi kama Ethiopian airways au angalia ubia wa Rwandair ni mzuri tukauiga.
WANAFKI wa kwenda na upepo hamuishi. Hakuamini kua hayati keshapimzika,mnaweza kinyumanyuma tu
Wewe tumia akili kuelewa kilichoandikwa udikurupuke kujibu tu. Kinachozungumzwa hapa ni aina ya shirika ambalo linalotia taifa hasara badala ya kua na mpango kazi wa kuliimarisha, pato lenyewe bado ni dogo inakimbilia kununua madege yanakutia hasara miaka 10 mfululizo na kiuchumi uko hoi, hivi hiyo ni akili?"Kanuni zote za kibiashara duniani hua zinataka mradi wowote katika taifa lolote lile ufunguliwe ikiwa kuna economic stability katika taifa."
Basi kama ingekuwa ni hivyo tusifanye mradi wowote hadi tuwe na "economic stability katika taifa" -- whatever that supposed to mean. Yaani taifa lisiwe na mradi wowote hadi tuwe stable kiuchumi, hiyo kanuni ni ya kwako tu. Hata ngazi ya familia hatufanyi hivyo. Tabu sana kuishi nchi moja na raia wenye mawazo ya umaskini kama hivi.
Baba yako kuwa hakimu hakukufanyi wewe kujua sheria.Baba ake Jerry anamiliki ndege iliyomuua Filikunjombe
Jerry anajua sana maswala ya ndege!
Kwani mkuu Wewe umesimama upande gani?!Kwani wewe unajua nini kuhusu ATCL?
Uko mtaalamu wa masuala ya ATCL?
Hicho ulichoandika bado ni mawazo ya kimaskini. Marekani wana NASA inayopeleka vyombo mwezini, haizalishi faida yoyote na inakula kodi ya wamarekani balaa. Lakini wamarekani wanaipump pesa za kutosha maana kwa msemo wao, kuna spin-off benefits kupitia NASA kwenye industries kibao.Wewe tumia akili kuelewa kilichoandikwa udikurupuke kujibu tu. Kinachozungumzwa hapa ni aina ya shirika ambalo linalotia taifa hasara badala ya kua na mpango kazi wa kuliimarisha, pato lenyewe bado ni dogo inakimbilia kununua madege yanakutia hasara miaka 10 mfululizo na kiuchumi uko hoi, hivi hiyo ni akili?
Ya wavuta bangi!Hivi yule mbunge mvuta bhangi, Elimu darasa la 7 Bwana Kasheku Msukuma huwa anaongea kwa niaba ya nani??
Kama wewe unavyoongea kwa niaba ya Mzee Mgaya,.....Ole sendeka alikuwa anakngea kwa niaba ya Mengi rip
Upande huu.Kwani mkuu Wewe umesimama upande gani?!
Baba ake Jerry anamiliki ndege iliyomuua Filikunjombe
Jerry anajua sana maswala ya ndege!
Marekani wamejenga vingi vingine ndo wakaja kwenye hizo NASA za anasa unazozungumzia! Yaana Mtu hana kodi ya nyumba unamwambia anunue hummer, kisa NASA, NASA pori!Hicho ulichoandika bado ni mawazo ya kimaskini. Marekani wana NASA inayopeleka vyombo mwezini, haizalishi faida yoyote na inakula kodi ya wamarekani balaa. Lakini wamarekani wanaipump pesa za kutosha maana kwa msemo wao, kuna spin-off benefits kupitia NASA kwenye industries kibao.
Sasa wewe kamradi ka ndege tu za kawaida unaona ni hasara, lini utawaza hata kujenga satellites zako mwenyewe (kama nchi). Ni hivi, kuna spin-off benefits kibao kwa kupitia ATCL imara, embu think big bro.
Unampinga tu jamaa kiitikadi, lakini kiukweli hukubaliani na Tom and Jerry!Upande huu.
Wewe unajua nini!! Weka vyeti hapa angalau tujue hata ulihudhuria darasani.Baba yake alikuwa Rubani basi anajiona tayari yeye ni Mtaalam wa kila kitu kwny ndege kuanzia Engine, Kapeti za ndege hadi mfumo mzima wa baishara
Watoto wa 'Fundi Garage' hujifanya wanajua kila kitu kwny Magari
Kwa hiyo mnatakaje? Shirika liuzwe? Ndege ziuzwe au nini hasaaa... Ni vema kwenda moja kwa moja kwenye suluhisho sababu muhusika wa yote kishatangulia mbele za haki.
Thibitisha.Unampinga tu jamaa kiitikadi, lakini kiukweli hukubaliani na Tom and Jerry!
Jukwaa hili halina haja ya vyeti vyenu vya makaratasi, tunajua pumba na pumbavu kwa comments zao tu!Wewe unajua nini!! Weka vyeti hapa angalau tujue hata ulihudhuria darasani.
Hiyo nisaidie kimoyo moyo! Kwakua mwenye misimamo uliyo kua unaamini ni dhabiti, amekua mwendazake na kwa kua taifa litaelekea kwingine, karibu tujenge nchi kwa positive criticism!Thibitisha.