Mbunge Jesca Msambatavangu: Wanafunzi wanatumia Boom Kubeti badala ya Kusoma. Serikali itafute utaratibu mpya wa kuwakopesha

Mbunge Jesca Msambatavangu: Wanafunzi wanatumia Boom Kubeti badala ya Kusoma. Serikali itafute utaratibu mpya wa kuwakopesha

Lakini si kuna watu wapo mtaani mshahara wao ni laki nne na wanabet, wanakunywa pombe na bata sana?
Mi naona mi naona serikali itimize wajibu wa kuwakopesha matumizi iwaachie wao maana mwisho wa siku ile ni pesa ambayo watatakiwa kuilipa!
Tanzania sio nchi pekee inayotoa mkopo kwa wanafunzi, alafu wabunge vipo vitu vya kuzungumzia bunge vipi wapoteze mda wao talking about trivial things like this?
 
Lakini si kuna watu wapo mtaani mahabharata who ni laki nne na wanabet, wanakunywa pombe na bata sana?
Mi naona mi naona serikali itimize wajibu wa kuwakopesha matumizi iwaachie wao maana mwisho wa siku ile ni pesa ambayo watatakiwa kuilipa!
Tanzania sio nchi pekee inayotoa mkopo kwa wanafunzi, alafu wabunge vipo vitu vya kuzungumzia bunge vipi wapoteze mda wao talking about trivial things like thus?
Swali fikirishi je wawo wana matumizi sahihi ya pesa za Jimbo na mishahara Yao? nadhani ni wakati sahihi wa kujadili Mshahara wa wabunge ungelipunguzwa ni mwingi mno halafu bunge halina tija , (value for money), salaries VS service delivery, je Mshahara anao pata mbunge unaendana na mchango wake bungeni ama Jimboni kwake?
 
Unampa pesa then unampangia ni yake kwa vile mkopo atalipia ,nyie viongozi ndio mjitathmini nan asiyejua Wabunge ndio wanachangia biashara ya umalaya kwa kununua malaya kwa pesa ndegu .

Nan asiyejua Dodoma sasa biashara ya umalaya imeshamiri kutokana na serikali kuhamishiwa huko , hao wafayakazi wanaolipwa pesa na serikali ndio wanafanya biashara za kununua hao malaya .

Nan asiyejua viongozi wanatumia pesa za serikali na nyadhifa zao kulatiwi watoto na kesi zinazimwa ...Bunge hili kwa kweli ni tatizo.
 
Primitive ya nini? Umechoka nini? Nani hajasoma Chuo labda? Under graduates wengi ambao ndio wanapewa mikopo wako kwenye age gani?
Kama Elimu inayo tolewa vyuo vikuu Ni ya EXTENDED HIGH SCHOOL in Jenerali Ulimwengu voice..

Kama Elimu inayotolewa haiwezi kukupa skills za MEASUREMENTS & EVALUATION kwenye Mambo mbali mbali... kama Elimu haiwezi kukusaidia kupambana na maisha yako (environment) Basi Elimu hiyo Ni bure kabisa

NB.
Msambatavangu is wrong, Mara nyingi MTU aki jiingiza kwenye hayo Mambo ya ulevi wa betting na ulevi wa pombe kuacha Ni kazi Sanaa Ie. Wafanyakaz wavivu,wazembe, walevi Mbona wapo
kikubwa Sasa Ni kuwapa MAARIFA kwa wingi kwenye elimu ya DEVELOPMENT STUDIES (DS) waweze kupata merits & dimerts ya kuendekeza kamari wakiwa masomoni..
 
Wabunge wanatumia mishahara na posho zao kununua malaya na kuhonga vimada.Utafutwe utaratibu mpya wa kuwapunguzia viwango na kuwalipa.
 
Back
Top Bottom