Powell Gonzalez
JF-Expert Member
- Jun 28, 2023
- 843
- 1,630
Swali fikirishi je wawo wana matumizi sahihi ya pesa za Jimbo na mishahara Yao? nadhani ni wakati sahihi wa kujadili Mshahara wa wabunge ungelipunguzwa ni mwingi mno halafu bunge halina tija , (value for money), salaries VS service delivery, je Mshahara anao pata mbunge unaendana na mchango wake bungeni ama Jimboni kwake?Lakini si kuna watu wapo mtaani mahabharata who ni laki nne na wanabet, wanakunywa pombe na bata sana?
Mi naona mi naona serikali itimize wajibu wa kuwakopesha matumizi iwaachie wao maana mwisho wa siku ile ni pesa ambayo watatakiwa kuilipa!
Tanzania sio nchi pekee inayotoa mkopo kwa wanafunzi, alafu wabunge vipo vitu vya kuzungumzia bunge vipi wapoteze mda wao talking about trivial things like thus?
Serikali wanapata pesa nyingi sana hawawezi kuzifungia hata wao wanashangaa kwanini wamechelewa kukitumia chanzo hicho cha mapatoSi wafungie izo betting sites tu kwani kaziruhusu nani
Kama Elimu inayo tolewa vyuo vikuu Ni ya EXTENDED HIGH SCHOOL in Jenerali Ulimwengu voice..Primitive ya nini? Umechoka nini? Nani hajasoma Chuo labda? Under graduates wengi ambao ndio wanapewa mikopo wako kwenye age gani?
Anazingua anampangia mtu matumizi ya pesa yake ya mkopo mwisho wa siku deni hakatwi yeye!Namkumbusha tu Mbunge wangu wa Hapa Iringa mjini bi Jesca kwamba hata wao Posho zao zinaishia kwa Machawa hivyo hana uhalali wa kuwasema Wanavyuo na jinsi wanavyotumia boom
Asiwapangie
Ni hilo tu πΌ
Wakijibu nitag πWabunge wanaumia sana kuona matumizi ya 560k ya mwanafunzi Kwa muda wa miezi miwili, eb wao waoneshe pesa zao wanatumia kufanyia nini?
Na huo mkopo utaurudishaWakijibu nitag π
Huo mfumo mgumu sana... Kwa hiyo boom lote liwe linakaa na CR ππNashauri kuwe na mtu anatembea na hela. Mwanachuo akienda kula huyo mtu anakuja kulipa yeye