Jinikashkash
JF-Expert Member
- Nov 27, 2020
- 455
- 871
@ milele[emoji706][emoji706][emoji706]
ila kwa trend hii ya uropokaji wao there is something to happenHapo bado Gwajiboy hajanena.
Umemsahau Yule wa FINANCIAL BUILDINGMara nyingi hoja za kipuuzi kama hizi wanakabidhiwa wale wabunge mbumbumbu lakini wasio na aibu.
Alianza Sanga, darasa la 2. Sasa amekuja Musukuma darasa la 7, atafuata Lusinde darqsa la 7.
Tunajuta covid tusaidie " .... wengine walikuwa wapi kuleta maendeleo.... nawambia hayupo wa kusimamia haya....mtajuta...."[emoji706][emoji706][emoji706]
Kani hiyo miradi ni ya Magufuli binafsi au ni ya serikali?Akizungumza bungeni leo Mheshimiwa Msukuma kadai hakuna Rais aliyedhubutu Kama Magufuli tangu tupate uhuru.
Akiitolea mfano China yenye maendeleo makubwa huku mihula ya Urais haizingatiwi, kasema sio dhambi kumpa muda zaidi Rais John Magufuli mwenye udhubutu.
Hata hivyo akiichagiza ushauri huoo kwa bunge, Mheshimiwa Spika Job Ndugai alimwambia muda wako umeisha na muda haupo upande wako.
Nashindwa kuipakua video yake Msukuma You Tube na kuiweka humu.
Demokrasia ya Uchina na Urusi ni kama hii ya Africa Mashariki!!Akizungumza bungeni leo Mheshimiwa Msukuma kadai hakuna Rais aliyedhubutu Kama Magufuli tangu tupate uhuru.
Akiitolea mfano China yenye maendeleo makubwa huku mihula ya Urais haizingatiwi, kasema sio dhambi kumpa muda zaidi Rais John Magufuli mwenye udhubutu.
Hata hivyo akiichagiza ushauri huoo kwa bunge, Mheshimiwa Spika Job Ndugai alimwambia muda wako umeisha na muda haupo upande wako.
Nashindwa kuipakua video yake Msukuma You Tube na kuiweka humu.
Shida hawa akina Msukuma Wana nguvu sanaHapo ndipo alipoboa. JPM kipenzi cha wengi akamilishe miaka yake 10 na 2025 akabidhi kijiti kwa mwingine. Hizi ngonjera za akina Msukuma ni za kupuuzwa