Mkuu alilambaje hizi 10bn na aliweka nini dhamana akazipata ,hizi ndizo akili nzuriMambo za kawaida sana kwenye biashara .. kawaida sana...
Me nikajua inaenda kwenye B kumbe hicho cha mtoto..
Kuna mwamba wa Dar lux yeye alilamba kama B10 hivi ya Equity akapita hivi..
Mambo ya Biashara ni biashara siasa ni siasa....
Kama unaweza fanya biashara hizi siasa za Madawati na barabara ni urojo urojo sana
da!!!View attachment 3231806
Msukuma, mwanasiasa mashuhuri anayejitapa kuwa darasa la saba mwenye PhD, biashara sasa zinakwenda kombo.
Gazeti la Nipashe pg 4, kwa maandishi madogo, amebandikwa kuwa anadaiwa na taasisi ya mikopo First Housing Finance Tanzania, karibia milioni 400.
Namshauri tu huyu mwenzetu darasa la saba mwenye PhD, aachane na siasa.
Kuwa darasa la saba nako ni mzigo.Deni dogo sana kwa aina y uwekezaji wake. Na anacho sema juu yenu wasomi ni kweli kabisa.
KAZI ni kipimo cha UTU
Unakopa, hulipi hadi unabandikwa magazetini.Deni dogo sana hilo kwakeee
Keshokutwa bunge likivunjwa anapiga mamilioni ana clear debts maisha yanaendaaa
What if amefanya hivyo as a strategy towards hiden goals?
Sheria ilitungwa kwa kiingereza, hivyo ili kuziba mwanya wa kuchomoka unaandikiwa kwa lugha iliyotumika kuunda sheria husika, hapo hakuna kisingizio cha walikosea kutafsiri.Sasa wanamuandikia kiingereza, ameelewa kweli??? Si ni kumuonea tu... Sijui sheria zetu zikoje tu
HOja yako nini maana hueleweki?Sasa kama ni njaa mbona wanakimbilia huko ?
Aau na wewe unakuwa kama kaka zetu walioko Marekani wanakuponda sana na kutuambia tusiende?
Kama madiwani hali zao definitely sio nzuri...hivi diwani akistaafu analipwa shilingi ngapi mkuuHata akilipwa, hapati yeye inaenda kwenye deni.
Hata madiwani ni hivyo hivyo.
Huwa wakipata tu, nafasi wanakopea hayo maslahi wanalipa madeni ya uchaguzi.
Wengi ni njaa kali mdio maana wanayumba kila siku, misimamo njaa
God bless Lema akahamia Canada 😄Hata akilipwa, hapati yeye inaenda kwenye deni.
Hata madiwani ni hivyo hivyo.
Huwa wakipata tu, nafasi wanakopea hayo maslahi wanalipa madeni ya uchaguzi.
Wengi ni njaa kali mdio maana wanayumba kila siku, misimamo njaa
zainabu ...tafadhari fafanua kimekukuta nnKwanini wanaume after mechi mnarudi nyuma kama Lori ya mchanga?
Hahahazainabu ...tafadhari fafanua kimekukuta nn
TuliaaaaaaaaaaMsukuma, mwanasiasa mashuhuri anayejitapa kuwa darasa la saba mwenye PhD, biashara sasa zinakwenda kombo.
Gazeti la Nipashe pg 4, kwa maandishi madogo, amebandikwa kuwa anadaiwa na taasisi ya mikopo First Housing Finance Tanzania, karibia milioni 400.
Namshauri tu huyu mwenzetu darasa la saba mwenye PhD, aachane na siasa.
HahahaUkimkuta anamsema Tundu Lisu sasa mishipa inavyo msimama.