Jidu La Mabambasi
JF-Expert Member
- Oct 20, 2014
- 16,419
- 26,594
- Thread starter
- #121
Naomba ruksa kutumia hii picha!Alinunua hii chuma.
View attachment 3236326
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Naomba ruksa kutumia hii picha!Alinunua hii chuma.
View attachment 3236326
Kudaiwa maana yake umepita muda wa ile hela kuifanyia uzalishajiMambo za kawaida sana kwenye biashara .. kawaida sana...
Me nikajua inaenda kwenye B kumbe hicho cha mtoto..
Kuna mwamba wa Dar lux yeye alilamba kama B10 hivi ya Equity akapita hivi..
Mambo ya Biashara ni biashara siasa ni siasa....
Kama unaweza fanya biashara hizi siasa za Madawati na barabara ni urojo urojo sana
Haaaaaaaa, NOTICE OF DEFAULT ni sifa kwa Tanzania. Ni kawaida? Unajua Notice of default hutolewa kwa nini? Siyo tabia nzuri. Ndiyo tunaitwa Banana Republics of Africa; naona kuna watu zaidi ya 20 wameweka "thanks".Mambo za kawaida sana kwenye biashara .. kawaida sana...
Me nikajua inaenda kwenye B kumbe hicho cha mtoto..
Kuna mwamba wa Dar lux yeye alilamba kama B10 hivi ya Equity akapita hivi..
Mambo ya Biashara ni biashara siasa ni siasa....
Kama unaweza fanya biashara hizi siasa za Madawati na barabara ni urojo urojo sana
Ukipita vjiwe vingi vya "Kiswahili" mwizi au mpiga dili za uongo uongo ndiyo wengi wanamsifia; hata wale wenye digrii. Sasa hapo ndiyo unaona tofauti iliyopo duniani. Afadhali wewe umesema ukweli; ni moja ya mia. (1/100)Kudaiwa maana yake umepita muda wa ile hela kuifanyia uzalishaji
Maana ni kwamba wewe si mfanyabiashara mzuri
Maana yake ni kwamba biashara zako ni wasiwasi huna akili ya kufanya biashara kwa usahihi kupata value for money
Mkopo says much about the businessman intelligence and seriousness na uvivu wake binafsi
Biashara zake hazina mapafu na haziendeshwi kwa speed inayotakiwa na kwa usahihi kwendana na muda kuzungusha hizo pesa kupata faida kubwa na madeni yarudi kwa usahihi na kwa wakati....
hapo ndio tunazungumzia IQ ya mfanyabiashara
Biashara ni machinery inayoingiza pesa upande A na kutoa pesa kubwa upande B....
na hiyo machinery ni effective au nzuri kwendana na ubora wa akili ya muendesha hiyo biashara...
with this Musukuma ni one of the stupidiest people kwenye biashara kama ndio hivi
Unamwonea.Msukuma, mwanasiasa mashuhuri anayejitapa kuwa darasa la saba mwenye PhD, biashara sasa zinakwenda kombo.
Gazeti la Nipashe pg 4, kwa maandishi madogo, amebandikwa kuwa anadaiwa na taasisi ya mikopo First Housing Finance Tanzania, karibia milioni 400.
Namshauri tu huyu mwenzetu darasa la saba mwenye PhD, aachane na siasa.
Mtu anayejisifu sana, anapitia chujio kali.Unamwonea.
Inaweza hata ika-athiri matumizi ya Credit Card zakeMtu anayejisifu sana, anapitia chujio kali.
Ukijisifu na viwango vyako viwe vinaeleweka, si kudaiwa na vibenki vya mitaani halafu vinakutangaza magazetini!
Hii ina maana huyu Msukuma ana viwango vya chini kibiashara.
Kukopa sio tatizoHuna biashara, huijui wala huna akili ya biashara. Biashara ndivyo zilivyo milioni 400 ni pesa ndogo mno ambayo akifanya kazi kwa miezi kadhaa anairudisha. Kama una uchungu na madeni basi ungewashauri Tanzania ambao wanadaiwa zaidi ya Trilioni 91.7 ila waache kukopa. ⤵️
Tanzania national debt reaches $44.8bn | The Guardian
www.ippmedia.com
Njoo kwangu mimi nakuhakikishia hutajuta kufahamiana na mimi na sitorudi nyumaKwanini wanaume after mechi mnarudi nyuma kama Lori ya mchanga?
Au sioNjoo kwangu mimi nakuhakikishia hutajuta kufahamiana na mimi na sitorudi nyuma
Wewe muda wote unawaza ulamaya tu nenda kule Hoja Mchanganyiko huku ni Jukwaa la SiasaKwanini wanaume after mechi mnarudi nyuma kama Lori ya mchanga?
Mpuuzi wewe umewahi kuwa na Credit Card ya prime bank? Wewe uwe una default wawe wanakuachia tu? Kama huna point kaa kimya. Wewe ni Lawyer gani unayedanganya kweupeeee?Mtu kudaiwa sio kosa la jinai, ni kawaida sana, na madeni ya watu yana kinga ya the right to privacy, naomba tuheshimu privacy za watu kudaiwa!.
Hizi ndizo hasara za kukopeshwa na vikampuni mshenzi, ukishindwa kulipa, ni kuaibishana!. Ukikopa benki, huwezi kukuta ujinga huu!.
P
.......Au sio
Mkuu punguza lugha za kibehi na kuudhi wengine kwani ukimuuliza kwa upole bila lugha isiyofaa unapungukiwa na nini? Yanini kumuita mpuuzi na yeye ameeleza kile anachokifahamu?Mpuuzi wewe umewahi kuwa na Credit Card ya prime bank? Wewe uwe una default wawe wanakuachia tu? Kama huna point kaa kimya. Wewe ni Lawyer gani unayedanganya kweupeeee?
Kuna ile taasisi ya CRB, yaani CREDIT REFERENCE BUREAU ya Bank of Tanzania(BOT), ina data za wakopaji wote na vyombo vya Fedha vyote vyaweza kujua mteja gani amekopa wapi na kiasi gani, na ameshindwa kulipa.Inaweza hata ika-athiri matumizi ya Credit Card zake
Bro naona wewe biashara kubwa zimekupitia kwa mbali.Mtu kudaiwa sio kosa la jinai, ni kawaida sana, na madeni ya watu yana kinga ya the right to privacy, naomba tuheshimu privacy za watu kudaiwa!.
Hizi ndizo hasara za kukopeshwa na vikampuni mshenzi, ukishindwa kulipa, ni kuaibishana!. Ukikopa benki, huwezi kukuta ujinga huu!.
P
kiinua mgongo cha ubunge miaka5 kinamaliza deni. Ataachaje siasaUmeona ni deni kubwa wakati hapo akiuza asset moja au land cruiser zake mbili analipa deni
Huyu jamaa ni Lawyer, sasa kama Lawyer anaongea uongo kama huo wewe bado unamfumbia macho? Lawyer anawaambia kutokulipa pesa uliyokopa ni jambo la kawaida, Sasa kama hurudishi pesa wengine watakopa wapi?Mkuu punguza lugha za kibehi na kuudhi wengine kwani ukimuuliza kwa upole bila lugha isiyofaa unapungukiwa na nini? Yanini kumuita mpuuzi na yeye ameeleza kile anachokifahamu?