Mbunge Joseph Kasheku Musukuma ashindwa kulipa mkopo wa takribani TSh Milioni 400. Apewa Notice

Mambo za kawaida sana kwenye biashara .. kawaida sana...

Me nikajua inaenda kwenye B kumbe hicho cha mtoto..

Kuna mwamba wa Dar lux yeye alilamba kama B10 hivi ya Equity akapita hivi..

Mambo ya Biashara ni biashara siasa ni siasa....

Kama unaweza fanya biashara hizi siasa za Madawati na barabara ni urojo urojo sana
Kudaiwa maana yake umepita muda wa ile hela kuifanyia uzalishaji

Maana ni kwamba wewe si mfanyabiashara mzuri

Maana yake ni kwamba biashara zako ni wasiwasi huna akili ya kufanya biashara kwa usahihi kupata value for money

Mkopo says much about the businessman intelligence and seriousness na uvivu wake binafsi

Biashara zake hazina mapafu na haziendeshwi kwa speed inayotakiwa na kwa usahihi kwendana na muda kuzungusha hizo pesa kupata faida kubwa na madeni yarudi kwa usahihi na kwa wakati....

hapo ndio tunazungumzia IQ ya mfanyabiashara

Biashara ni machinery inayoingiza pesa upande A na kutoa pesa kubwa upande B....

na hiyo machinery ni effective au nzuri kwendana na ubora wa akili ya muendesha hiyo biashara...

with this Musukuma ni one of the stupidiest people kwenye biashara kama ndio hivi
 
Haaaaaaaa, NOTICE OF DEFAULT ni sifa kwa Tanzania. Ni kawaida? Unajua Notice of default hutolewa kwa nini? Siyo tabia nzuri. Ndiyo tunaitwa Banana Republics of Africa; naona kuna watu zaidi ya 20 wameweka "thanks".
 
Kudaiwa maana yake umepita muda wa ile hela kuifanyia uzalishaji

Maana ni kwamba wewe si mfanyabiashara mzuri

Maana yake ni kwamba biashara zako ni wasiwasi huna akili ya kufanya biashara kwa usahihi kupata value for money

Mkopo says much about the businessman intelligence and seriousness na uvivu wake binafsi

Biashara zake hazina mapafu na haziendeshwi kwa speed inayotakiwa na kwa usahihi kwendana na muda kuzungusha hizo pesa kupata faida kubwa na madeni yarudi kwa usahihi na kwa wakati....

hapo ndio tunazungumzia IQ ya mfanyabiashara

Biashara ni machinery inayoingiza pesa upande A na kutoa pesa kubwa upande B....

na hiyo machinery ni effective au nzuri kwendana na ubora wa akili ya muendesha hiyo biashara...

with this Musukuma ni one of the stupidiest people kwenye biashara kama ndio hivi
Ukipita vjiwe vingi vya "Kiswahili" mwizi au mpiga dili za uongo uongo ndiyo wengi wanamsifia; hata wale wenye digrii. Sasa hapo ndiyo unaona tofauti iliyopo duniani. Afadhali wewe umesema ukweli; ni moja ya mia. (1/100)
 
Huna biashara, huijui wala huna akili ya biashara. Biashara ndivyo zilivyo milioni 400 ni pesa ndogo mno ambayo akifanya kazi kwa miezi kadhaa anairudisha. Kama una uchungu na madeni basi ungewashauri Tanzania ambao wanadaiwa zaidi ya Trilioni 91.7 ila waache kukopa. ⤵️

Kukopa sio tatizo

Kukopa kila mtu ni lazima apitie

Tatizo ni umekopa,muda unapita unadefault,hilo ndio tatizo

Maana huna akili ya kutosha kuendesha biashara yako kwa speed inayotakiwa kuwe na value for money

Maana yake IQ ni ndogo
 
Mtu kudaiwa sio kosa la jinai, ni kawaida sana, na madeni ya watu yana kinga ya the right to privacy, naomba tuheshimu privacy za watu kudaiwa!.

Hizi ndizo hasara za kukopeshwa na vikampuni mshenzi, ukishindwa kulipa, ni kuaibishana!. Ukikopa benki, huwezi kukuta ujinga huu!.

P
Mpuuzi wewe umewahi kuwa na Credit Card ya prime bank? Wewe uwe una default wawe wanakuachia tu? Kama huna point kaa kimya. Wewe ni Lawyer gani unayedanganya kweupeeee?
 
Mkuu punguza lugha za kibehi na kuudhi wengine kwani ukimuuliza kwa upole bila lugha isiyofaa unapungukiwa na nini? Yanini kumuita mpuuzi na yeye ameeleza kile anachokifahamu?
 
Sidhani kama ni jambo la kufurahia, na hii kitu ndio inatufelisha.

Unafurahia binadamu mwenzako kudaiwa?
 
Inaweza hata ika-athiri matumizi ya Credit Card zake
Kuna ile taasisi ya CRB, yaani CREDIT REFERENCE BUREAU ya Bank of Tanzania(BOT), ina data za wakopaji wote na vyombo vya Fedha vyote vyaweza kujua mteja gani amekopa wapi na kiasi gani, na ameshindwa kulipa.
 
Mtu kudaiwa sio kosa la jinai, ni kawaida sana, na madeni ya watu yana kinga ya the right to privacy, naomba tuheshimu privacy za watu kudaiwa!.

Hizi ndizo hasara za kukopeshwa na vikampuni mshenzi, ukishindwa kulipa, ni kuaibishana!. Ukikopa benki, huwezi kukuta ujinga huu!.

P
Bro naona wewe biashara kubwa zimekupitia kwa mbali.
Kwanza unapokopa kumbuka zile si fedha za benki, ni fedha za wateja wengine walioiamini benki kuwatunzia fedha zao.
Mteja anapodefault mkopo, kwanza unaitwa for rescheduling ya repayment, na interests juu.
Ikumbukwe kuwa compound interests sasa zinakuwa mzigo mkubwa maana inafika mahali mkopaji ni kama analipia hewa, ila hayo ndo makubaliano na benki.
Ikiwa bado mkopaji anashindwa kulipa mkopo, HAKUNA SIRI TENA!
Hapo unapewa Public Notice kama hiyo aliyopewa Msukuma.
Na bado mteja akishindwa kulipa, moja kwa moja mteja anpelekwa mahakamani ili idhini ya kuuza dhamana ipatikane.
Kukopa ni siri ya watu wawili, ukishindwa kulipa si siri tena.
 
Mkuu punguza lugha za kibehi na kuudhi wengine kwani ukimuuliza kwa upole bila lugha isiyofaa unapungukiwa na nini? Yanini kumuita mpuuzi na yeye ameeleza kile anachokifahamu?
Huyu jamaa ni Lawyer, sasa kama Lawyer anaongea uongo kama huo wewe bado unamfumbia macho? Lawyer anawaambia kutokulipa pesa uliyokopa ni jambo la kawaida, Sasa kama hurudishi pesa wengine watakopa wapi?
 
Back
Top Bottom