PreGE2025 Mbunge Kibamba: Ndani ya uhai wangu CCM haiwezi kutoka madarakani, labda nisiwe hai

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla)

The Watchman

JF-Expert Member
Joined
Nov 7, 2023
Posts
2,186
Reaction score
4,940
“Ndani ya uhai wangu CCM haiwezi kutoka madarakani, labda nisiwe hai” Issa Mtemvu - Mbunge wa Kibamba
 
Ccm acheni kufanya hvyo pamoja na kwamba kila kitu ni chenu lakin kuna muda mnatia hasira
 
Huyo Mbunge yupo sahihi, huwezi kuitoa CCM madarakani kupitia hii Katiba iliyopo ambayo Mkurugenzi wa INEC anateuliwa na Rais

Wasimamizi wote wa Uchaguzi Wanateuliwa na Rais

Polisi na Vyombo vyote vya Ulinzi, Wakuu wake Wanateuliwa na Rais ambaye wakati huo huo naye eti anagombea 🙌

Turudishe Nchi kwenye mfumo wa Chama kimoja tu badala ya kupoteza muda wetu kwenda kupanga foleni kupiga kura, ambapo mshindi anakuwa tayari anajulikana 👊
 
“Ndani ya uhai wangu CCM haiwezi kutoka madarakani, labda nisiwe hai” Issa Mtemvu - Mbunge wa Kibamba
View attachment 3319296

Huyo Mbunge yupo sahihi, huwezi kuitoa CCM madarakani kupitia hii Katiba iliyopo ambayo Mkurugenzi wa INEC anateuliwa na Rais

Wasimamizi wote wa Uchaguzi Wanateuliwa na Rais

Polisi na Vyombo vyote vya Ulinzi, Wakuu wake Wanateuliwa na Rais ambaye wakati huo huo naye eti anagombea 🙌

Turudishe Nchi kwenye mfumo wa Chama kimoja tu badala ya kupoteza muda wetu kwenda kupanga foleni kupiga kura, ambapo mshindi anakuwa tayari anajulikana 👊
Absolutely!

Huyu Mbunge amesema Kitu ambacho ni Cha kweli kabisa, tena ni ukweli mchungu Sana.

Watu wenye akili kubwa peke yake ndio ambao wanaweza wakamuelewa huyo Mbunge
 
Huyo Mbunge yupo sahihi, huwezi kuitoa CCM madarakani kupitia hii Katiba iliyopo ambayo Mkurugenzi wa INEC anateuliwa na Rais

Wasimamizi wote wa Uchaguzi Wanateuliwa na Rais

Polisi na Vyombo vyote vya Ulinzi, Wakuu wake Wanateuliwa na Rais ambaye wakati huo huo naye eti anagombea 🙌

Turudishe Nchi kwenye mfumo wa Chama kimoja tu badala ya kupoteza muda wetu kwenda kupanga foleni kupiga kura, ambapo mshindi anakuwa tayari anajulikana 👊
Naam, mkuu facts tupu
 
Jimbo la kibamba ni Jimbo la mwisho kimaendeleo kuliko majimbo yote ya mkoa wa Dar.mfano kule msakuzi hakuna huduma ya maji.watu wanakunywa maji ya mabwawa na visima,barabara za huko zinamashimo ,hospitali hakuna halafu huyu mbunge mpuuzi anaongeza ugoro tu
 
Ni kweli Mtemvu
Lakini sasa ndio utukeree hivyo??
 
Huyo Mbunge yupo sahihi, huwezi kuitoa CCM madarakani kupitia hii Katiba iliyopo ambayo Mkurugenzi wa INEC anateuliwa na Rais

Wasimamizi wote wa Uchaguzi Wanateuliwa na Rais

Polisi na Vyombo vyote vya Ulinzi, Wakuu wake Wanateuliwa na Rais ambaye wakati huo huo naye eti anagombea [emoji119]

Turudishe Nchi kwenye mfumo wa Chama kimoja tu badala ya kupoteza muda wetu kwenda kupanga foleni kupiga kura, ambapo mshindi anakuwa tayari anajulikana [emoji109]
Nakubaliana na wewe.

Sent from my Infinix X6511B using JamiiForums mobile app
 
Back
Top Bottom