PreGE2025 Mbunge Kibamba: Ndani ya uhai wangu CCM haiwezi kutoka madarakani, labda nisiwe hai

PreGE2025 Mbunge Kibamba: Ndani ya uhai wangu CCM haiwezi kutoka madarakani, labda nisiwe hai

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla)
Absolutely!

Huyu Mbunge amesema Kitu ambacho ni Cha kweli kabisa, tena ni ukweli mchungu Sana.

Watu wenye akili kubwa peke yake ndio ambao wanaweza wakamuelewa huyo Mbunge
Ni sahihi kabisa Mkuu, ndiyo maana kipindi kile aliyekuwa Katibu Mkuu wa CCM wakati wa JPM kabla hajateuliwa kuwa Katibu Mkuu Kiongozi aliwahi kusema kwamba CCM inatumia Dola kubaki madarakani.

Ndiyo ukweli ulivyo
 
Naam, mkuu facts tupu
Ndiyo maana hawapo tayari kufanya mabadiriko ya Katiba, kwasababu wanajua Katiba inayotumika ni ya Chama kimoja japo Nchi imeingia kwenye mfumo wa Vyama vingi 😜🙌
 
  • Thanks
Reactions: Lax
Ndiyo maana hawapo tayari kufanya mabadiriko ya Katiba, kwasababu wanajua Katiba inayotumika ni ya Chama kimoja japo Nchi imeingia kwenye mfumo wa Vyama vingi 😜🙌
naam, na ndo faids za nyerere hizo🤣.
 
Asijaribu kuja kuomba kura Kibamba, watu wana ham nae sana, ataaibika.
 
Anazidi kutukumbusha umuhimu wa wa hakuna mabadiliko hakuna uchaguzi.
 
Mtemvu yuko sahihi, ila huyu baba anajua kuhonga jamani, kunae Dent kampa kaisha bhana,
Leo anakula life tyuuh.
 
“Ndani ya uhai wangu CCM haiwezi kutoka madarakani, labda nisiwe hai” Issa Mtemvu - Mbunge wa Kibamba
View attachment 3319296
Hawa ndo wabunge waliopita kwenye uchaguzi batili na wote tabia zao zinafanana.

Madhala ya uchaguzi batili ni laana iliyo kuu kwa nchi , maana nchi inajikuta ipo na viongozi batili ambao wakiamuka wanajishangaa wenyewe imekuakuaje
 
Yuko sahihi sana,kwasababu washindani wa ccm hawana mikakati wala mipango madhubuti yakuitoa.Hichi sio kizazi yakufanya hayo mabadiliko.Tungekua na uthubutu angalau tungeweza kuweka misingi ili kizazi kijacho kikute pakuanzia lakini napenyewe hola.Tumeishia kulalamikiana wenyewe kwa wenyewe.
 
Back
Top Bottom