Ni sahihi kabisa Mkuu, ndiyo maana kipindi kile aliyekuwa Katibu Mkuu wa CCM wakati wa JPM kabla hajateuliwa kuwa Katibu Mkuu Kiongozi aliwahi kusema kwamba CCM inatumia Dola kubaki madarakani.Absolutely!
Huyu Mbunge amesema Kitu ambacho ni Cha kweli kabisa, tena ni ukweli mchungu Sana.
Watu wenye akili kubwa peke yake ndio ambao wanaweza wakamuelewa huyo Mbunge
Ndiyo maana hawapo tayari kufanya mabadiriko ya Katiba, kwasababu wanajua Katiba inayotumika ni ya Chama kimoja japo Nchi imeingia kwenye mfumo wa Vyama vingi 😜🙌Naam, mkuu facts tupu
Kwa namna mfumo wetu ulivyo, sio rahisi kuona Nchi inaongozwa na Chama cha Upinzani
naam, na ndo faids za nyerere hizo🤣.Ndiyo maana hawapo tayari kufanya mabadiriko ya Katiba, kwasababu wanajua Katiba inayotumika ni ya Chama kimoja japo Nchi imeingia kwenye mfumo wa Vyama vingi 😜🙌
Hawa ndo wabunge waliopita kwenye uchaguzi batili na wote tabia zao zinafanana.“Ndani ya uhai wangu CCM haiwezi kutoka madarakani, labda nisiwe hai” Issa Mtemvu - Mbunge wa Kibamba
View attachment 3319296