Gerald .M Magembe
JF-Expert Member
- Jul 17, 2013
- 2,496
- 1,800
Hicho chama kimejaa wachumia tumbo tupu,Wabunge msijisahau Wananchi wamewatuma muwawakilishe tafadhali msifanye mambo kama mmejipeleka wenyewe Bungeni msiwe walafi wa madaraka
Maana kelele hizi za kutaka Rais abaki madarakakani si kwamba ni kweli mnampenda abaki kwa sababu amefanya mazuri kuliko walio pita hapana bali kwa sababu mnajua kabisa kubaki kwake madarakani ndio kubaki kwenu madarakani
Rais tafadhali usiuvae mkenge huu wa Wabunge wanye ulafi wa madaraka mkwa sababu walio pita nao wangekuwa na mawazo kama hayo hata Rais wa sasa asinge ipata nafasi hiyo.
Kama Chadema wamebadilisha ukomo wa uongozi, CCM wakibadilisha katiba yao taabu iko wapi?Katiba yetu hairuhusu jambo hilo.
Nakumbuka Mwalimu Nyerere alikemea jambo hilo,lakini na yeye alishutuka baada ya kuondoka madarakani.
Magufuli mwenyewe hataki kuongeza hata dakika mmoja.
Mbunge hufanya kazi bungeni kwa kufuata mawazo ya wananchi wake,na pia ana haki ya kutumua conscious yake binafsi,mradi kama ni kwa faida ya ummaWabunge msijisahau Wananchi wamewatuma muwawakilishe tafadhali msifanye mambo kama mmejipeleka wenyewe Bungeni msiwe walafi wa madaraka
Maana kelele hizi za kutaka Rais abaki madarakakani si kwamba ni kweli mnampenda abaki kwa sababu amefanya mazuri kuliko walio pita hapana bali kwa sababu mnajua kabisa kubaki kwake madarakani ndio kubaki kwenu madarakani
Rais tafadhali usiuvae mkenge huu wa Wabunge wanye ulafi wa madaraka mkwa sababu walio pita nao wangekuwa na mawazo kama hayo hata Rais wa sasa asinge ipata nafasi hiyo.
Wabunge na rais lao moja wamefanya kiini macho kuwa wanaomba rais aongezewe muda lakini hilo liko kwenye ilani yao kisiri siri ukitaka kujua rejea uchaguzi wa serikali za mitaa 2019 na uchaguzi mkuu 2020 hapo ndiyo utajua lengo la serikali iliyopo madarakani.Wabunge msijisahau Wananchi wamewatuma muwawakilishe tafadhali msifanye mambo kama mmejipeleka wenyewe Bungeni msiwe walafi wa madaraka
Maana kelele hizi za kutaka Rais abaki madarakakani si kwamba ni kweli mnampenda abaki kwa sababu amefanya mazuri kuliko walio pita hapana bali kwa sababu mnajua kabisa kubaki kwake madarakani ndio kubaki kwenu madarakani
Rais tafadhali usiuvae mkenge huu wa Wabunge wanye ulafi wa madaraka mkwa sababu walio pita nao wangekuwa na mawazo kama hayo hata Rais wa sasa asinge ipata nafasi hiyo.
Nitarudi kukujibu kwanini Magufuli apewe 5 miningine.Wabunge msijisahau Wananchi wamewatuma muwawakilishe tafadhali msifanye mambo kama mmejipeleka wenyewe Bungeni msiwe walafi wa madaraka
Maana kelele hizi za kutaka Rais abaki madarakakani si kwamba ni kweli mnampenda abaki kwa sababu amefanya mazuri kuliko walio pita hapana bali kwa sababu mnajua kabisa kubaki kwake madarakani ndio kubaki kwenu madarakani
Rais tafadhali usiuvae mkenge huu wa Wabunge wanye ulafi wa madaraka mkwa sababu walio pita nao wangekuwa na mawazo kama hayo hata Rais wa sasa asinge ipata nafasi hiyo.
Mwendawazimu yule!
Mkuu hii account wame hack?
Katiba yetu hairuhusu jambo hilo.
Nakumbuka Mwalimu Nyerere alikemea jambo hilo,lakini na yeye alishutuka baada ya kuondoka madarakani.
Magufuli mwenyewe hataki kuongeza hata dakika mmoja.
Shukran mkuukweli kabisa umeona mbali mkuu asante.
Mliambiwe mkaandamane mkasema waache waende wao na familia zao. Sasa wao wapo nje ya nchi wanakula bata sa hivi nyie mliobaki kwenye shithole mnazidi kunyooshwa. Hakuna mbunge kachaguliwa na wananchi, wamepachikwa pale na jiwe. Kaeni mnyooshwe mtajifunza na nyie kudai haki yenu jiwe litawakamua left and right hadi there’s nothing left
Hili halina mjadala mkitaka msitake Mheshimiwa Magufuli tunamuongezea mingine,sasa jamani mtu huyu hana kasoro kubwa sana za kiuongozi na imeonekanika kabisa sio hapa Tanzania tu,dunia nzima na ulimwengu wake hata huku kwenye ulimwengu wa tatu wananchi wa nchi nyingi wanawaonea gere wananchi wa Tanzania kwa kupata kiongozi mchapa kazi,kasoro ndogondogo ni za kiubinadamu ambazo hakuna anaeweza kuziepuka,kasoro hizo wazungu au mabeberu wanaziita minor yaani vitu viduchu viduchu,ambavyo haviathiri utendaji wake wa kazi.
Sasa wewe usietaka aendelee miaka mingine unataka utuletee mjomba wako ? na mkileta za kuleta tunaondoa hata uchaguzi kwani waTanzania hawana sababu ya kufanya uchaguzi kwa kuwa aliekuwepo anatosha,yanini kupoteza hela,ambazo zinaweza kutumika kuendeleza mfumuko wa miundo mbunu,
Sasa hivi WaTanzania tunahitaji Express train Mwanza tu Mtwara na hela ikitosha tunajenda ring road ya Tanzania nzima ikienda sambamba na reli, hii Ring road ndio mwisho ,sijui hawa wapinzani hewa kama wanelewa faida ya Ring road au wanaelewa ni kitu gani.

Mbunge amewakilisha maoni ya wananchi wake: wewe kwanini unapinga?, wananchi wamekutuma uwasemee?Wabunge msijisahau Wananchi wamewatuma muwawakilishe tafadhali msifanye mambo kama mmejipeleka wenyewe Bungeni msiwe walafi wa madaraka
Kila jambo lina sura mbiliUkitaka kujua huyu Mzee ana kasoro kubwa sana aachie madaraka japo mwezi mmoja halafu sikia hizo kashfa zitakazoibuliwa.
Yawezakuwa janjajanja ya kuvuruga hoja iliyo mezaniMkuu hii account wame hack?
Umeandika maneno mengi sana yenye mantiki lakini umesahau malengo ya ndugai,magu,mwigulu na ccm kwa ujumla subiri muda wenyewe utaongea na hapo ndipo utakapoamini kuwa mawazo yako yalikuwa hasi.Kuuliza kwamba mbunge aliwasiliana na waliomchagua kabla ya kuwasilisha hoja bungeni si sahihi. Nahisi unahoji hivyo kwa kuwa hoja husika hukubaliani nayo. Hoja ipi ambayo unakubaliana nayo ambayo mbunge aliita wananchi wa jimbo lake wakakubaliana kwamba awasilishe hoja hiyo?
Niseme wazi kwamba hata mimi sikubaliani kabisa na hoja ya kumwongezea muda Rais JPM kwani Bunge siyo chombo cha kumtungia sheria mtu mmoja mmoja kufuatana na jinsi anavyoonekana kwa mambo ya mpito bali kibaki chombo cha kutunga sheria za kudumu kwa manufaa ya nchi kwa ujumla. La sivyo itakuwa huyu aongezewe mitano; yule mitatu na mwingine ishirini, kufuatana na mihemko wanayoipata watu katika kipindi husika. Huu ni uchuro utakaoiharibu nchi.
Pamoja na kupinga hoja ya mbunge, tusitumie hoja za kuuliza kama mbunge ameshauriana na waliomchagua kabla ya kufikisha hoja bungeni. Hakuna mbunge anayofanya hivyo kama modus operandi. Uzuri ni kwamba JPM mwenyewe ameisha sema mara kadhaa kwamba hakubaliani na wazo hilo.