Huyu mbunge hafikirii kuwa wagonjwa wanahitaji personal hygiene needs kuliko pipi. Vitu kama sabuni, toilet rolls, toothpaste, miswaki vingeleta maana ya msaada.
Hizo pipi angezigawa shuleni tena angepata young costumers wengi sana.
Hizo pipi angezigawa shuleni tena angepata young costumers wengi sana.
Sky Eclat sabuni na toilet paper kagawa mbona, tatizo watu wanakata vipande vya video (clip) ambapo mambo ya msingi huyaweka kando na kuchukua video clip za mizaha.
Aisee swali zuriUsibeze kidogo cha mwenzio huo ndio uwezo wake. Je, wewe umetoa zawadi gani kwa wahitaji?
LK huwezi mkuta anagawa pipi yaani aache zake kula wine na kukata uno.Huyo ni katibu wake. Sasa inawezekana kagawa kwa maelekezo ya boss wake au kajiongeza tu.
Ila vyovyote vile wamekosea sana kugawia mawajawazito pipi wakati wana mahitaji ya muhimu kuliko hizo pipi zao. Wapelekee wanafunzi sio wazazi
Sent using Jamii Forums mobile app
Sky Eclat sabuni na toilet paper kagawa mbona, tatizo watu wanakata vipande vya video (clip) ambapo mambo ya msingi huyaweka kando na kuchukua video clip za mizaha.
Ameona hadhi ya wananchi wake ni pipi.Anagawa pipi ya sh 50 au mia. Hii inaonyesha ni kiasi gani wabunge wana madharau
Tatizo la hii nchi la Saba wengi.!!