Mbunge Lameck Airo agawa pipi na bazoka kwa wagonjwa wodini

Mbunge Lameck Airo agawa pipi na bazoka kwa wagonjwa wodini

1.daimondi.
2. Bakhressa
3.kishimba
4.Dr msukuma
5.frster
6.mzee manengero
Haya nimekumbuka nikiwa usingizini ngj niamke. Kuna mazee huko yanang'ombe acha kabisa nyie mnachart tu cm nakula vi chips kwa stick na vibeg ambavyo hatuna vitu ndani mifukoni vimejaa vitambaa. Na mchanga. Harafu unatukana darasa la saba.
Acha kumkosea adabu Diamond..sio la saba
 
Ni mbunge wa chama gani huyu? Anagawa big g? Shame on him!
Atakuwa ni toka Greenleaf Party,haikosi.Huyu naye ni mtunga sheria na sera/dira ya Taifa letu pendwa.Hakika hatuwezi kufikia kipato cha kati kwa kuongozwa na watu kama hawa.
 
Kama akili zetu ndiyo hizi,tutaendelea kuitwa wanyonge mpaka YESU atakapoludi.
Tukatae kuitwa wanyonge ndani ya nchi yetu iliyopata UHURU zaidi ya nusu karne iliyopita.Hii ni dharau iliyopitiliza kiwango.
 
Tukatae kuitwa wanyonge ndani ya nchi yetu iliyopata UHURU zaidi ya nusu karne iliyopita.Hii ni dharau iliyopitiliza kiwango.
Mkuu,tutakataaje wakati akili zetu zimeishia kwenye pipi,vilemba ,kofia ,Fulana,acha tuitwe WANYONGE,tena wa kudumu.
 
Erokamaano! Mimi sishangai kwa nini kafanya hivyo. Amekwisha watangazia watu kwamba hatagombea tena ubunge mwakani. Vinginevyo angemwaga wali na samaki watamu aina ya kamongo na si pipi na jojo kama alivyofanya.
 
Back
Top Bottom