johnthebaptist
JF-Expert Member
- May 27, 2014
- 97,869
- 171,716
Hata kama ni kweli hagombei tena ubunge Arusha mjini na badala yake anagombea Hai bado ana jukumu la kuwatumikia wapiga kura wake hadi bunge litakapovunjwa.
Mbunge Lema Tafadhali fika sokoni Samunge uwasikilize wapiga kura wako usiwaachie RC na DC peke yao.
Usiwe kama mbunge wa Ukonga aliyetelekeza jimbo kwa kuendekeza ukabila eti kaenda kuwatumikia ndugu zake Tarime vijiji wakate Heche bado yupo.
Maendeleo hayana vyama!