Mbunge Lema yuko kimya sana tokea soko la Samunge liungue, kwanini?

Lema kasoma mchezo aisee...Apo Gambo anaona kafanya vizuri kabisa! Ila ushetani ndiyo dili apo kwenu
 
Hata kama ni kweli hagombei tena ubunge Arusha mjini na badala yake anagombea Hai bado ana jukumu la kuwatumikia wapiga kura wake hadi bunge litakapovunjwa.

Mbunge Lema Tafadhali fika sokoni Samunge uwasikilize wapiga kura wako usiwaachie RC na DC peke yao.

Usiwe kama mbunge wa Ukonga aliyetelekeza jimbo kwa kuendekeza ukabila eti kaenda kuwatumikia ndugu zake Tarime vijiji wakate Heche bado yupo.

Maendeleo hayana vyama!
Bwashee si kila jambo alifanyalo mbunge ni lazima lifanyike mbele ya mashuhuda hasa wanahabari. Na si kila jambo ambalo hilijapata kuhabarishwa na vyombo vya habari ni kwamba halina mchango wa mbunge wa sehemu husika.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kwa taarifa katika mchanango wa kuwalipia faini mahakama hao AR ndio walifunika
 
Hata kama ni kweli hagombei tena ubunge Arusha mjini na badala yake anagombea Hai bado ana jukumu la kuwatumikia wapiga kura wake hadi bunge litakapovunjwa.

Mbunge Lema Tafadhali fika sokoni Samunge uwasikilize wapiga kura wako usiwaachie RC na DC peke yao.

Usiwe kama mbunge wa Ukonga aliyetelekeza jimbo kwa kuendekeza ukabila eti kaenda kuwatumikia ndugu zake Tarime vijiji wakate Heche bado yupo.

Maendeleo hayana vyama!
Lemutuz, hivi kule Marekani ulienda kufanya nini?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hata kama ni kweli hagombei tena ubunge Arusha mjini na badala yake anagombea Hai bado ana jukumu la kuwatumikia wapiga kura wake hadi bunge litakapovunjwa.

Mbunge Lema Tafadhali fika sokoni Samunge uwasikilize wapiga kura wako usiwaachie RC na DC peke yao.

Usiwe kama mbunge wa Ukonga aliyetelekeza jimbo kwa kuendekeza ukabila eti kaenda kuwatumikia ndugu zake Tarime vijiji wakate Heche bado yupo.

Maendeleo hayana vyama!
Ukweli mchungu! Yaani unagonga mule mule kama ulivyompasulia Herode alivyomchukua mke wa mtu
 
Siasa! Halafu wanatuma watu kama hawa akina JB kuja kuchafua mitandaoni, waiba penseli kisha kujifanya kutaitafuta.
Kuna ndugu yangu naye ni muhanga wa huo moto. Anasema DC na RC wanashinda na polisi hapo sokoni kuhakikisha Lema haendi hapo, kwa mujibu wa tetesi nyuma ya pazia hao viongozi wa serikali wanasema wanalinda kura za ccm, kwa mantiki kuwa Lema akienda hapo sokoni atashawishi kura! Hivyo wamepanga kuwa Lema akienda hapo wambadilishie kibao kuwa anafanya siasa kwenye ajali ya moto.
 
Hata kama ni kweli hagombei tena ubunge Arusha mjini na badala yake anagombea Hai bado ana jukumu la kuwatumikia wapiga kura wake hadi bunge litakapovunjwa.

Mbunge Lema Tafadhali fika sokoni Samunge uwasikilize wapiga kura wako usiwaachie RC na DC peke yao.

Usiwe kama mbunge wa Ukonga aliyetelekeza jimbo kwa kuendekeza ukabila eti kaenda kuwatumikia ndugu zake Tarime vijiji wakate Heche bado yupo.

Maendeleo hayana vyama!
Anawashughulikia maccm.
 
Back
Top Bottom