Mbunge Lema yuko kimya sana tokea soko la Samunge liungue, kwanini?

Mbunge Lema yuko kimya sana tokea soko la Samunge liungue, kwanini?

Hata kama ni kweli hagombei tena ubunge Arusha mjini na badala yake anagombea Hai bado ana jukumu la kuwatumikia wapiga kura wake hadi bunge litakapovunjwa.

Mbunge Lema Tafadhali fika sokoni Samunge uwasikilize wapiga kura wako usiwaachie RC na DC peke yao.

Usiwe kama mbunge wa Ukonga aliyetelekeza jimbo kwa kuendekeza ukabila eti kaenda kuwatumikia ndugu zake Tarime vijiji wakate Heche bado yupo.

Maendeleo hayana vyama!
What is your point of concern ?
 
Kwani Zelothe Stephen ndo mwenyekiti wa Ccm mkoa Wa Arusha?
Serikali IPO....na Mwenyekiti wa Ccm Mkoa wa Arusha Zerothe Steven na Mwenyekiti wa Ccm wa Wilaya pamoja na mkuu wa Mkoa walishaenda na wamesema walishatatua hilo tatizo Sasa unataka Lema aende kufanya nini tena! Ataenda kuongea na wapiga kura atakapo kuwa na muda wa kufanya hivyo

Sent using Jamii Forums mobile app

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom