Mbunge Lema yuko kimya sana tokea soko la Samunge liungue, kwanini?

Lema kasoma mchezo aisee...Apo Gambo anaona kafanya vizuri kabisa! Ila ushetani ndiyo dili apo kwenu
 
Bwashee si kila jambo alifanyalo mbunge ni lazima lifanyike mbele ya mashuhuda hasa wanahabari. Na si kila jambo ambalo hilijapata kuhabarishwa na vyombo vya habari ni kwamba halina mchango wa mbunge wa sehemu husika.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kwa taarifa katika mchanango wa kuwalipia faini mahakama hao AR ndio walifunika
 
Lemutuz, hivi kule Marekani ulienda kufanya nini?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ukweli mchungu! Yaani unagonga mule mule kama ulivyompasulia Herode alivyomchukua mke wa mtu
 
Siasa! Halafu wanatuma watu kama hawa akina JB kuja kuchafua mitandaoni, waiba penseli kisha kujifanya kutaitafuta.
 
Anawashughulikia maccm.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…