Chrismoris
JF-Expert Member
- Oct 27, 2017
- 14,113
- 17,645
What is your point of concern ?Hata kama ni kweli hagombei tena ubunge Arusha mjini na badala yake anagombea Hai bado ana jukumu la kuwatumikia wapiga kura wake hadi bunge litakapovunjwa.
Mbunge Lema Tafadhali fika sokoni Samunge uwasikilize wapiga kura wako usiwaachie RC na DC peke yao.
Usiwe kama mbunge wa Ukonga aliyetelekeza jimbo kwa kuendekeza ukabila eti kaenda kuwatumikia ndugu zake Tarime vijiji wakate Heche bado yupo.
Maendeleo hayana vyama!
Hao waathirika mbunge ndio mtu wao wa karibu kuliko DC au RC.What is your point of concern ?
Serikali IPO....na Mwenyekiti wa Ccm Mkoa wa Arusha Zerothe Steven na Mwenyekiti wa Ccm wa Wilaya pamoja na mkuu wa Mkoa walishaenda na wamesema walishatatua hilo tatizo Sasa unataka Lema aende kufanya nini tena! Ataenda kuongea na wapiga kura atakapo kuwa na muda wa kufanya hivyo
Sent using Jamii Forums mobile app
RC na kikosi chake wamecheza karata,ndio maana wamewaweka DC na Ded kando.Mnasema wamechoma soko kina nani tena
He is taking care of other important state matters.Hao waathirika mbunge ndio mtu wao wa karibu kuliko DC au RC.
Yuko wapi mbunge?!
bila shaka