Mbunge Lijualikali ahojiwa na TAKUKURU. Adai wabunge wa CHADEMA wamejipanga kudanganya lakini hawatafanikiwa!

Sijafungua hata hiyo clip. Mimi ni mdau wa kipindi cha jicho letu ndani ya habari, hivyo hicho kipindi nilikisikia.
Kwanza asante kuwa mdau wa Jicho Letu Ndani ya Habari, na asante kuangalia kipindi. Kwavile uliangalia kipindi, jee ulisikia nikishauri Twitter ifungwe?. Kama uliangalia kipindi, ulisikia nilichosema, sasa umewezaje kusema haya?!,
Paskali bana, ulishauri twitter ifungwe kisa maoni ya huko hayakufurahishi, lakini huna uhalali wa kuelekeza platform yoyote ifungwe
Wale ambao hawakuona kipindi wakiambiwa Pasco amesema Twitter ifungwe, rukhsa kuamini lakini hata wewe uliotazama na kusikia?!.

P
 
Hata yuda isikariote nate alikuwa mtume akiambatana na Yesu,lakini aliporubuniwa kwa bipande vya fedha alimsaliyi Yesu bila kujali,hila za kurubuniwa kwa fedha ,tamaa ya madaraka,vyeo kulindwa na ipeo mfinyo ndo tunakiona lwenye utwala hui.
Na lubwa ni lulindwa hata ccm inavunja sheria na katiba alimuraadi wakidhi wanachotaka
 
Ila CAG eti hajui kuna wizi..... lakini USSR usie hta na diploma ya accounting unafaham kuna ufisadi CHADEMA ?

Hii nchi inafurahisha sana
Wapo ambao hata hawakusoma wanajua ,umeonesha uwezo mdogo sana kupambanaua mambo

Sio ishu ya nani anachunguza hapa tunajadili tuhuma ambazo PCCB wamesema wanachunguza kufuatia madai ya wabunge wa chadema wewe unaleta ukilaza wako hapa. Mpuuzi wewe

Sent from my SM-J110H using JamiiForums mobile app
 
Tunatofautiana kutazama mambo.

Jinsi nilivyomuelewa Pascal Mayalla ni kwamba kuna haja ya viongozi kujibu kile kinachoendelea kwenye mitandao ya kijamii. Kama wataendelea kukalia kimya yanayozungumzwa kwenye mitandao wanaondoa shauku ya jamii kutaka kujua ukweli. Na ndipo linapokuja suala la wanajamii kuhamasishana kutoitumia mitandao hiyo kwasababu ya kukosekana kwa ukweli.

Zinazotolewa mitandaoni ni tuhuma lakini kuna mtu wa kujibu anatakiwa apatikane. Naona kataja baadhi ya maofisa ambao kama waandishi wa habari wangependa kukutana nao.

Kwa mtazamo wangu sijaona ubaya wa Mayalla.
 
Huyo lijuakali nadhani jua kali limekausha akili yote.

Anaropoka kama mwendawazimu. Haelewi hata maana ya upelelezi.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Tuhuma zimetoka huko huko na kila tuhuma lazima ichunguzwe nyie mkipewa nchi mtakuwa watu wa namna gani

Sent from my SM-J110H using JamiiForums mobile app
Tunataka haki na ukweli.
Wa Nigeria huwa wanasema 'shine your eyes'!
Yapo mengi mazito zaidi, yenye matumizi ya hela za umma ndefu zaidi na yaliyotiliwa shaka hata na CAG, lakini yamekaliwa kimya na TAKUKURU.
 
Vipi kuhusu tuhuma za VIONGOZI na CCM kuwanunua wabunge na madiwani, ushahidi aliowasilisha TAKUKURU aliyekuwa mbuge wa Arumeru Nasari uliishia wapi?
 
Inamaana hujui kama hizo pesa zozote zikionekana zimetolewa kirushwarushwa hufanyiwa uchunguzi sio Moana CAG aseme
Wan Nigeria huwa wanasema 'shine your eyes'!
Yapo mengi mazito zaidi, yenye matumizi ya hela za umma ndefu zaidi na yaliyotiliwa shaka hata na CAG, lakini wameyakalia kimya na TAKUKURU.

Sent from my SM-J110H using JamiiForums mobile app
 
Uyu lijualikali awe na akiba ya maneno aisee jamaa mlopofu mnooo....
Wabunge walio defect toka Cdm this time ni maropo (waitara, mollel, lijualikali na sasa silinde) na boss akiona hivo huwapa unaibu daahh !!.

Next time Cdm iwe makini sana
 
Kuna takukiru iliyo hiru?leo hii andenhenye amesamehewa ,ina maa shitaka lake walilosema takukuru lipo limefutwa.
Sasa.huu ni mpanho wa vionhozi wa chadema wasiingie kwenye kampeni za uchaguzi kwa kupelekwa mahakamani,au kuchafuliwa kuwa wamekula pesa za wabunge ili kampeni.zao ziwe chafu.
Ni mapanho umerayibiwa siyo lijuakali ni YISS na takukiru lijuali kali anatumika tu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…