Pascal Mayalla
Platinum Member
- Sep 22, 2008
- 53,857
- 121,995
Kwanza asante kuwa mdau wa Jicho Letu Ndani ya Habari, na asante kuangalia kipindi. Kwavile uliangalia kipindi, jee ulisikia nikishauri Twitter ifungwe?. Kama uliangalia kipindi, ulisikia nilichosema, sasa umewezaje kusema haya?!,Sijafungua hata hiyo clip. Mimi ni mdau wa kipindi cha jicho letu ndani ya habari, hivyo hicho kipindi nilikisikia.
Wale ambao hawakuona kipindi wakiambiwa Pasco amesema Twitter ifungwe, rukhsa kuamini lakini hata wewe uliotazama na kusikia?!.Paskali bana, ulishauri twitter ifungwe kisa maoni ya huko hayakufurahishi, lakini huna uhalali wa kuelekeza platform yoyote ifungwe
P