johnthebaptist
JF-Expert Member
- May 27, 2014
- 97,869
- 171,716
- Thread starter
-
- #81
Sugu alikuwa anawakimbia wasimuulize maswali.Nimemsitua moderator asije kuonekana analipwa na polepole , hata ule wangu ulihusu wanahabari kukanyagana
uongo utakusaidia nini ?Sugu alikuwa anawakimbia wasimuulize maswali.
Lijualikali na Silinde ndio walikubali kuhojiwa kila mmoja kwa wakati wake!
Mbona anawasha washa sana na chadema na mbowe?Duh...!.
P
Wapi tena mkuu
Wasukuma mbona mna chuki sana na wachaga?Wachaga kila kwenye upigaji wapo.
Na Mbowe akipona jeraha la kuanguka kwenye ulevi ataitwa Takukuru??
Labda ndo maana alijitegua. Kuteguka mguu sio kuumwa kichwa. Mguu mmoja mzima, achukuwe magongo awe anarukaruka. Akimaliza mapumziko ya operation aende tu TAKUKURU akajieleze yaishe.Wachaga kila kwenye upigaji wapo.
Na Mbowe akipona jeraha la kuanguka kwenye ulevi ataitwa Takukuru??
Walichekelea sana kila CCM ilipowatumbua watu wake.Mbunge wa Kilombero mh Lijualikali alikuwa ni miongoni mwa wabunge wa Chadema waliohojiwa na Takukuru kuhusiana na matumizi ya fedha za chama.
Baada ya kuhojiwa mh Lijualikali aliongea na waandishi wa habari na kuwaambia mahojiano yake na Takukuru yamefanyika vizuri.
Zaidi akasema ana taarifa kuwa wabunge wa Chadema wamejipanga ili kutoa taarifa za uwongo na kumnusuru Mbowe.
Lijualikali ameapa kuwa wabunge hao hawatafanikiwa katika njama walizopanga.
Source Eatv habari
Maendeleo hayana vyama!
Kwanza asante kuwa mdau wa Jicho Letu Ndani ya Habari, na asante kuangalia kipindi. Kwavile uliangalia kipindi, jee ulisikia nikishauri Twitter ifungwe?. Kama uliangalia kipindi, ulisikia nilichosema, sasa umewezaje kusema haya?!,
Wale ambao hawakuona kipindi wakiambiwa Pasco amesema Twitter ifungwe, rukhsa kuamini lakini hata wewe uliotazama na kusikia?!.
P
Tunatofautiana kutazama mambo.
Jinsi nilivyomuelewa Pascal Mayalla ni kwamba kuna haja ya viongozi kujibu kile kinachoendelea kwenye mitandao ya kijamii. Kama wataendelea kukalia kimya yanayozungumzwa kwenye mitandao wanaondoa shauku ya jamii kutaka kujua ukweli. Na ndipo linapokuja suala la wanajamii kuhamasishana kutoitumia mitandao hiyo kwasababu ya kukosekana kwa ukweli.
Zinazotolewa mitandaoni ni tuhuma lakini kuna mtu wa kujibu anatakiwa apatikane. Naona kataja baadhi ya maofisa ambao kama waandishi wa habari wangependa kukutana nao.
Kwa mtazamo wangu sijaona ubaya wa Mayalla.
Chuki dhidi ya wachaga inakua kwa kasi sana.Kama kweli ni wapigaji waende jela tu
Kweli kabisa Slaa, Zito, Kitila waliondoka bila malalamiko ya ufujaji. Hawa wanaolalamika ufujaji huu umefanyika kwenye fedha za michango walizokatwa mishahara tangu 2016 Hadi Sasa zipatazo 8.9 billion ambazo hazieleweki matumizi yake.Dr Slaa, Zito, Kitila hawa wote walikua vigogo ndani ya chadema lakini wameondoka bila kulalamikia ufujaji pesa pale cdm,......
Hawa vijana walioondoka awamu hii ya Magufuli sijui wamejifunza wapi kutukana waliowatoa jalalani.
Lijualikali simfahamu, lakn Silinde ameni-disappoint sana jamani, nilikua namwona kama very matured!
Ustaarabu wa kula kula pesa za watu na kufisadi?Kwa kweli Arawa hata pia la taka likijaa litatulia na hapo taka zikianza mwaka nje ni lazima zitanuka na hao Paka wa vichochoroni na M'mbwa kuko watazichakura na kuzisambaza."IMEFIKA WAKATI MUAFAKA".Mnakula hadi mnavimbiwa na kujambia midomoni.Yaani hii ndo imethibitisha kuwa hao takukuru ni mpango mkakati wa kusaidia jamaa wale walio hoi.
Ingekuwa ni nchi ya watu makini hii kima lijualikali ingekamatwa iisaidie polisi kuhusu kauli yake.
Kwamba analazimisha wingine wawe na mawazo yake?
Why?
Afrika tuna safari ndefu kufikia ustaarabu.
Hapo wanamkagua CAG na wala sio chadema jambo ambalo ni hatari Kwa utendaji Kazi WA vyombo vyetu.Mbunge wa Kilombero mh Lijualikali alikuwa ni miongoni mwa wabunge wa Chadema waliohojiwa na Takukuru kuhusiana na matumizi ya fedha za chama.
Baada ya kuhojiwa mh Lijualikali aliongea na waandishi wa habari na kuwaambia mahojiano yake na Takukuru yamefanyika vizuri.
Zaidi akasema ana taarifa kuwa wabunge wa Chadema wamejipanga ili kutoa taarifa za uwongo na kumnusuru Mbowe.
Lijualikali ameapa kuwa wabunge hao hawatafanikiwa katika njama walizopanga.
Source Eatv habari
Maendeleo hayana vyama!
Kuna watu mnakera.. Mnaoishi kwenye zama nyeusi bado #TusikubwaWachaga kila kwenye upigaji wapo.
Na Mbowe akipona jeraha la kuanguka kwenye ulevi ataitwa Takukuru??
Unamaanisha paka tayari amenyea kwenye kiroba cha unga?Ndo dunia ilivyo kuna paka wa vichocholoni na paka wa Mumbai wa vichocholoni akishiba anakunya ndani
DEBE TUPU HALIKOSI KUVUMA, kulalama huku koote ni kukosa na kutafuta tonge la ugali. Duuuh....,Bora kaamua kusema ukweli, mara zote ukweli humuweka mtu huru, hongera Lijualikali
We jamaa unachekesha sana! yaani mtu aibe hela za umma halafu asisemwe eti kisa wewe utakua disappointed!! hell no!! lazima Takukuru wafanye kazi yao kwa uhuru na DJ awajibishwe.
Akamatwe kwa kauli yake! Nchi gani hiyo unayoita makini inayofanya hivyo! Na anashtakiwa kwa kosa gani ? Mbona kama na wewe umo kwenye kisima hicho hicho cha kulazimisha mawazo yako!Yaani hii ndo imethibitisha kuwa hao takukuru ni mpango mkakati wa kusaidia jamaa wale walio hoi. Ingekuwa ni nchi ya watu makini hii kima lijualikali ingekamatwa iisaidie polisi kuhusu kauli yake. Kwamba analazimisha wingine wawe na mawazo yake?
Why? Afrika tuna safari ndefu kufikia ustaarabu.
Nimesoma comments zote zina likes 70, 50, 10, 3 ila yako hii ina masaa 10 haina like hata 1Bora kaamua kusema ukweli, mara zote ukweli humuweka mtu huru, hongera Lijualikali