Mbunge Lijualikali ahojiwa na TAKUKURU. Adai wabunge wa CHADEMA wamejipanga kudanganya lakini hawatafanikiwa!

Takukuru waache kupoteza muda kuwahoji kina Mbowe na wabunge wengine wa Chadema . Wsendeleze straight kwenye malengo yao kukusanya wanachohitaji toka kwa wabunge walionunuliwa wanaodai wamemkimbia mwenyekiti kwa uongozi mbovu. Madai ya Lijuakali na Silinde kwa Sasa yanaonekana Ni kisasi na chuki za kisiasa. Muda wote hawakulalamika na Wala hawakujaribu kutoa hizi tuhuma, iweje Sasa hawako kwenye good times na chama ndio waje na habari hizi.
Kila mmoja anaweza kuona Ni jinsi gani Takukuru wanavyofuatilia kitu ambacho tayari Wana maelekezo nacho. Yaani fedha zimewauma Sana kina Silinde nao Takukuru wsmejitupa wazima wazima kukagua. Mbona Hawa Takukuru hawajawakagua kuona Kama Hawa wabunge wasaliti toka Chadema wamepokea rushwa toka CCM. Wakague account zao na kupitia baadhi ya miradi yao.
 
Hayo ndio madhara ya Chadema kutelekeza wanachama wake wafia chama na kuokota watu jalalani.

Mfano ni jinsi CDM ilivyomtosa kada mwaminifu kwa chama ndugu Ben Saanane huko Rombo na kumuokota Selasini ambaye sasa anawavua nguo hadharani.
 
Nani alowaloga watanzania? Tumeacha hoja za msingi tunajadili michango ya harusi!

Tumeacha kujadili upotevu (rushwa) ya 1.5 T ya serikali tunajadili michango ya chama/harusi.

Tumeacha kujadili upotevu wa 2b wiraza ya Kigwa ya serikali tunajadili pesa ya michango ya chama/haruki.

Tumeacha kujadili ununuzi wa ndege bila risiti tunajadili pesa ya michango ya chama/harusi.

Huu ni ujinga au upumbavu??
 

Huwezi zungumzia pesa wakati hazipo, ingawa kulikuwa ma malalamishi kidogo, ambayo yalianzishwa na marehemu Chacha Wangwe, ila kipindi hiki pesa ilikuwa ni nyingi ikamchanganya mwenyekiti.
 

Kwa hiyo chadema ni chama harusi?
 
Sijafungua hata hiyo clip. Mimi ni mdau wa kipindi cha jicho letu ndani ya habari, hivyo hicho kipindi nilikisikia.
Mimi nimejaribu kusikiliza hiyo clip nikafunga!! Eti P anaongelea media critic!! Indepth analysis!! anajisahuulisha kama kuna kauli "watch it". Azory yuko wapi?
 

Hizo pesa zinazoliwa sio hoja za msingi? kwani hujui hiyo ni kodi ya wananchi hata kama ni kidogo kupitia ruzuku kwa chama kinachotaka kushika dora?
Je wakipewa hiyo dora si watakula mpaka wananchi.
Hatari sana.
 
Hizo pesa zinazoliwa sio hoja za msingi? kwani hujui hiyo ni kodi ya wananchi hata kama ni kidogo kupitia ruzuku kwa chama kinachotaka kushika dora?
Je wakipewa hiyo dora si watakula mpaka wananchi.
Hatari sana.
Michango ya wabunge ni pesa ya kodi ya wananchi? Kwahiyo ile 1.5 T sio kodi ya wananchi?
 
Halafu katika hali kama hii kinda kama Lijualikali anadhani muziki huo anaweza kuucheza!
Mwambieni kijana na wenzake, ccm walishamshindwa Mbowe wanakubalije wao kutumika?
 
Michango ya wabunge ni pesa ya kodi ya wananchi? Kwahiyo ile 1.5 T sio kodi ya wananchi?

Kwani hiyo pesa imetokana na nini? si kodi ya wanachi ili watumikie wanachi au unafikili ni pesa binafsi?
Mbona weqe hulipwi hiyo pesa ambapo sio mbunge?
Tumia kichwa binti.
 
Ndo huyu hapa mkuu. CDM walimuokota maeneo ya Mlabani pale Ifakara. Alikuwa mvuvi wa Ndipi na Kamnyomeke kabla hajasaidiwa na misheni.
 
Sheria ya takukuru ikisomwa vizuri, alichokifanya Lijuakali ni kosa...labda kwa sababu anafanya kazi ya CCM!
 
Kwani hiyo pesa imetokana na nini? si kodi ya wanachi ili watumikie wanachi au unafikili ni pesa binafsi?
Mbona weqe hulipwi hiyo pesa ambapo sio mbunge?
Tumia kichwa binti.
Sikujua kama namjibu msoma magazeti kwa kupindua
 
Jambo la msingi ni kusema ukweli iwe Twitter au platform yoyote. Lakini kupotosha na kutukana kama Ansbert sio vizuri. Kama Peter na Msukuma wanasema kweli hakuna tatizo.
 
Jambo la msingi ni kusema ukweli iwe Twitter au platform yoyote. Lakini kupotosha na kutukana kama Ansbert sio vizuri. Kama Peter na Msukuma wanasema kweli hakuna tatizo.

Hoja yako ni nini hapa? Umesema huko twitter hakuna maoni bali genge la cdm wakiitukana serikali. Nimekupa mifano ya walichofanya bunge, unipe tofauti na michango kadhaa huko twitter.

Sasa naona umegeuka na kusema tatizo ni kutokusema ukweli. Sina tatizo na kusema ukweli, nilitaka unipe tofauti ya michango kadhaa ya huko twitter, na kilichofanywa na bunge, ambayo ni taasisi rasmi ya umma.

Nimesema kuna CCTV camera, kwanini zisitolewe footage za tukio la Mbowe ili tujiridhishe na ukweli wa Ndugai &co? Badala yake naona unakwepa hoja yangu ya msingi na kutaka kunihamisha sehemu ambayo naweza kupata ukweli. Unakwama wapi boss?
 
Kwa hiyo matokeo ya mahojiano wanayajua CCM.
 
Usiamini kila unachosikia!. Hivi uliamini nimeshauri Twitter na jf zifungwe?!.
Sikiliza nilichosema.
P

Sasa Mayala hapa unajitetea nini na ukichoongea mbona ni kile kile, au hujui tafsiri ya maneno. Sijaona tofauti ya kufuta na kutosoma, ulikuwa unashindwa tu kutamka ifutwe, lakini ukiaangalia ulimi wako ulikuwa unaelekea huko
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…