onjwayo
JF-Expert Member
- Apr 8, 2020
- 1,356
- 1,309
Takukuru waache kupoteza muda kuwahoji kina Mbowe na wabunge wengine wa Chadema . Wsendeleze straight kwenye malengo yao kukusanya wanachohitaji toka kwa wabunge walionunuliwa wanaodai wamemkimbia mwenyekiti kwa uongozi mbovu. Madai ya Lijuakali na Silinde kwa Sasa yanaonekana Ni kisasi na chuki za kisiasa. Muda wote hawakulalamika na Wala hawakujaribu kutoa hizi tuhuma, iweje Sasa hawako kwenye good times na chama ndio waje na habari hizi.
Kila mmoja anaweza kuona Ni jinsi gani Takukuru wanavyofuatilia kitu ambacho tayari Wana maelekezo nacho. Yaani fedha zimewauma Sana kina Silinde nao Takukuru wsmejitupa wazima wazima kukagua. Mbona Hawa Takukuru hawajawakagua kuona Kama Hawa wabunge wasaliti toka Chadema wamepokea rushwa toka CCM. Wakague account zao na kupitia baadhi ya miradi yao.