Mbunge Lijualikali ahojiwa na TAKUKURU. Adai wabunge wa CHADEMA wamejipanga kudanganya lakini hawatafanikiwa!

Mbunge Lijualikali ahojiwa na TAKUKURU. Adai wabunge wa CHADEMA wamejipanga kudanganya lakini hawatafanikiwa!

Takukuru waache kupoteza muda kuwahoji kina Mbowe na wabunge wengine wa Chadema . Wsendeleze straight kwenye malengo yao kukusanya wanachohitaji toka kwa wabunge walionunuliwa wanaodai wamemkimbia mwenyekiti kwa uongozi mbovu. Madai ya Lijuakali na Silinde kwa Sasa yanaonekana Ni kisasi na chuki za kisiasa. Muda wote hawakulalamika na Wala hawakujaribu kutoa hizi tuhuma, iweje Sasa hawako kwenye good times na chama ndio waje na habari hizi.
Kila mmoja anaweza kuona Ni jinsi gani Takukuru wanavyofuatilia kitu ambacho tayari Wana maelekezo nacho. Yaani fedha zimewauma Sana kina Silinde nao Takukuru wsmejitupa wazima wazima kukagua. Mbona Hawa Takukuru hawajawakagua kuona Kama Hawa wabunge wasaliti toka Chadema wamepokea rushwa toka CCM. Wakague account zao na kupitia baadhi ya miradi yao.
 
Dr Slaa, Zito, Kitila hawa wote walikua vigogo ndani ya chadema lakini wameondoka bila kulalamikia ufujaji pesa pale cdm,......

Hawa vijana walioondoka awamu hii ya Magufuli sijui wamejifunza wapi kutukana waliowatoa jalalani.

Lijualikali simfahamu, lakn Silinde ameni-disappoint sana jamani, nilikua namwona kama very matured!
Hayo ndio madhara ya Chadema kutelekeza wanachama wake wafia chama na kuokota watu jalalani.

Mfano ni jinsi CDM ilivyomtosa kada mwaminifu kwa chama ndugu Ben Saanane huko Rombo na kumuokota Selasini ambaye sasa anawavua nguo hadharani.
 
Nani alowaloga watanzania? Tumeacha hoja za msingi tunajadili michango ya harusi!

Tumeacha kujadili upotevu (rushwa) ya 1.5 T ya serikali tunajadili michango ya chama/harusi.

Tumeacha kujadili upotevu wa 2b wiraza ya Kigwa ya serikali tunajadili pesa ya michango ya chama/haruki.

Tumeacha kujadili ununuzi wa ndege bila risiti tunajadili pesa ya michango ya chama/harusi.

Huu ni ujinga au upumbavu??
 
Dr Slaa, Zito, Kitila hawa wote walikua vigogo ndani ya chadema lakini wameondoka bila kulalamikia ufujaji pesa pale cdm,......

Hawa vijana walioondoka awamu hii ya Magufuli sijui wamejifunza wapi kutukana waliowatoa jalalani.

Lijualikali simfahamu, lakn Silinde ameni-disappoint sana jamani, nilikua namwona kama very matured!

Huwezi zungumzia pesa wakati hazipo, ingawa kulikuwa ma malalamishi kidogo, ambayo yalianzishwa na marehemu Chacha Wangwe, ila kipindi hiki pesa ilikuwa ni nyingi ikamchanganya mwenyekiti.
 
Nani alowaloga watanzania? Tumeacha hoja za msingi tunajadili michango ya harusi!

Tumeacha kujadili upotevu (rushwa) ya 1.5 T ya serikali tunajadili michango ya chama/harusi.

Tumeacha kujadili upotevu wa 2b wiraza ya Kigwa ya serikali tunajadili pesa ya michango ya chama/haruki.

Tumeacha kujadili ununuzi wa ndege bila risiti tunajadili pesa ya michango ya chama/harusi.

Huu ni ujinga au upumbavu??

Kwa hiyo chadema ni chama harusi?
 
Sijafungua hata hiyo clip. Mimi ni mdau wa kipindi cha jicho letu ndani ya habari, hivyo hicho kipindi nilikisikia.
Mimi nimejaribu kusikiliza hiyo clip nikafunga!! Eti P anaongelea media critic!! Indepth analysis!! anajisahuulisha kama kuna kauli "watch it". Azory yuko wapi?
 
Nani alowaloga watanzania? Tumeacha hoja za msingi tunajadili michango ya harusi!

Tumeacha kujadili upotevu (rushwa) ya 1.5 T ya serikali tunajadili michango ya chama/harusi.

Tumeacha kujadili upotevu wa 2b wiraza ya Kigwa ya serikali tunajadili pesa ya michango ya chama/haruki.

Tumeacha kujadili ununuzi wa ndege bila risiti tunajadili pesa ya michango ya chama/harusi.

Huu ni ujinga au upumbavu??

Hizo pesa zinazoliwa sio hoja za msingi? kwani hujui hiyo ni kodi ya wananchi hata kama ni kidogo kupitia ruzuku kwa chama kinachotaka kushika dora?
Je wakipewa hiyo dora si watakula mpaka wananchi.
Hatari sana.
 
Michango ya wabunge ni pesa ya kodi ya wananchi? Kwahiyo ile 1.5 T sio kodi ya wananchi?
 
Wachawi ni wale wale
Waliyobomoa Bilicanas, wakaharibu mashamba ya HAI, wakajaribu bila mafanikio kumhusisha na madawa ya kulevya.
Wakarudi kivingine
ETI mwokozi maisha ya Tundu Lissu ndie atuhumiwe shambulizi lake; uchunguzi wa Polisi haupo, si ruhusa waTz kumuombea Lissu wala hastahili kulipiwa matibabu, kidogo kavuliwa ubunge lakini wazushi wao wazawadiwa u waziri.
Sasa wamerudi tena
Porojo za akina Lijualikali, Ndugai, Suzana,Sabrina; uchunguzi wa TAKUKURU, shambulio la mwili likichombezwa na vijembe vya haohao; SIO za bahati mbaya ni vya kupangwa na wa chama kilichoishiwa mvuto sasa chategemea dola ili kupumua.

Kwa muda mrefu sana
wamehangaika sana kuua upinzani na hasa CHADEMA.
Wamejaribu kuwamaliza Tundu Lissu, Freeman Mbowe, Msigwa ili kufikia malengo hayohayo.

Pamoja na kutamba sana wameshindwa na HAWATAKUJA FANIKIWA.
CHADEMA iko imara, We shall overcome. Amen
Halafu katika hali kama hii kinda kama Lijualikali anadhani muziki huo anaweza kuucheza!
Mwambieni kijana na wenzake, ccm walishamshindwa Mbowe wanakubalije wao kutumika?
 
Michango ya wabunge ni pesa ya kodi ya wananchi? Kwahiyo ile 1.5 T sio kodi ya wananchi?

Kwani hiyo pesa imetokana na nini? si kodi ya wanachi ili watumikie wanachi au unafikili ni pesa binafsi?
Mbona weqe hulipwi hiyo pesa ambapo sio mbunge?
Tumia kichwa binti.
 
Dr Slaa, Zito, Kitila hawa wote walikua vigogo ndani ya chadema lakini wameondoka bila kulalamikia ufujaji pesa pale cdm,......

Hawa vijana walioondoka awamu hii ya Magufuli sijui wamejifunza wapi kutukana waliowatoa jalalani.

Lijualikali simfahamu, lakn Silinde ameni-disappoint sana jamani, nilikua namwona kama very matured!
Ndo huyu hapa mkuu. CDM walimuokota maeneo ya Mlabani pale Ifakara. Alikuwa mvuvi wa Ndipi na Kamnyomeke kabla hajasaidiwa na misheni.
IMG_20200519_101105.jpeg
 
Yaani hii ndo imethibitisha kuwa hao takukuru ni mpango mkakati wa kusaidia jamaa wale walio hoi.
Ingekuwa ni nchi ya watu makini hii kima lijualikali ingekamatwa iisaidie polisi kuhusu kauli yake.
Kwamba analazimisha wingine wawe na mawazo yake?
Why?
Afrika tuna safari ndefu kufikia ustaarabu.
Sheria ya takukuru ikisomwa vizuri, alichokifanya Lijuakali ni kosa...labda kwa sababu anafanya kazi ya CCM!
 
Kwani hiyo pesa imetokana na nini? si kodi ya wanachi ili watumikie wanachi au unafikili ni pesa binafsi?
Mbona weqe hulipwi hiyo pesa ambapo sio mbunge?
Tumia kichwa binti.
Sikujua kama namjibu msoma magazeti kwa kupindua
 
Uko sawa kabisa, sasa nisaidie kwa kunipa tofauti kati ya twitter, na kile walichoongea Ndugai, Lijualikali, Msukuma nk bungeni, mara baada ya shambulio la Mbowe. Huenda hapa nikaona tofauti ya twitter ambayo ni platform huru ya yoyote kutoa maoni yake, na bunge ambalo ni platform rasmi ya kutatua matatizo ya wananchi. Mimi kwa uelewa wangu mdogo, nilitarajia spika na genge lake wangeomba CCTV Footage ili kumaliza maelezo yoyote nje ya walichokisema, hapo ningeweza kuona tofauti ya bunge na twitter.
Jambo la msingi ni kusema ukweli iwe Twitter au platform yoyote. Lakini kupotosha na kutukana kama Ansbert sio vizuri. Kama Peter na Msukuma wanasema kweli hakuna tatizo.
 
Jambo la msingi ni kusema ukweli iwe Twitter au platform yoyote. Lakini kupotosha na kutukana kama Ansbert sio vizuri. Kama Peter na Msukuma wanasema kweli hakuna tatizo.

Hoja yako ni nini hapa? Umesema huko twitter hakuna maoni bali genge la cdm wakiitukana serikali. Nimekupa mifano ya walichofanya bunge, unipe tofauti na michango kadhaa huko twitter.

Sasa naona umegeuka na kusema tatizo ni kutokusema ukweli. Sina tatizo na kusema ukweli, nilitaka unipe tofauti ya michango kadhaa ya huko twitter, na kilichofanywa na bunge, ambayo ni taasisi rasmi ya umma.

Nimesema kuna CCTV camera, kwanini zisitolewe footage za tukio la Mbowe ili tujiridhishe na ukweli wa Ndugai &co? Badala yake naona unakwepa hoja yangu ya msingi na kutaka kunihamisha sehemu ambayo naweza kupata ukweli. Unakwama wapi boss?
 
Mbunge wa Kilombero mh Lijualikali alikuwa ni miongoni mwa wabunge wa Chadema waliohojiwa na Takukuru kuhusiana na matumizi ya fedha za chama.

Baada ya kuhojiwa mh Lijualikali aliongea na waandishi wa habari na kuwaambia mahojiano yake na Takukuru yamefanyika vizuri.

Zaidi akasema ana taarifa kuwa wabunge wa Chadema wamejipanga ili kutoa taarifa za uwongo na kumnusuru Mbowe.

Lijualikali ameapa kuwa wabunge hao hawatafanikiwa katika njama walizopanga.

Source Eatv habari

Maendeleo hayana vyama!
Kwa hiyo matokeo ya mahojiano wanayajua CCM.
 
Usiamini kila unachosikia!. Hivi uliamini nimeshauri Twitter na jf zifungwe?!.
Sikiliza nilichosema.

P

Sasa Mayala hapa unajitetea nini na ukichoongea mbona ni kile kile, au hujui tafsiri ya maneno. Sijaona tofauti ya kufuta na kutosoma, ulikuwa unashindwa tu kutamka ifutwe, lakini ukiaangalia ulimi wako ulikuwa unaelekea huko
 
Back
Top Bottom