Mwanamwana
Platinum Member
- Aug 1, 2011
- 9,604
- 22,722
Mbunge wa Jimbo la Chato Kaskazini Paschal Lutandula akichangia hoja katika bajeti ya Wizara ya madini amesema kuwa kuwa ' Kama Biblia ingeandikwa leo, inawezekana ingeandika hivi, Marais wengi wamefanya kazi nzuri, lakini wewe daktari Samia umefanya kazi vizuri zaidi'
Ameongeza kuwa huenda ni Mungu tu alituletea nchini, kwani hakuna rais kama yeye mwenye huruma kwa wachimbaji wa madini. Na rais huyo amefanya mengi kuliko wengi kwani ndiye ametoa leseni nyingi kuliko wote.