Tetesi: Mbunge machachari kutikisa siasa za Tanzania na kumwaga manyanga kabla ya Julai 24

Status
Not open for further replies.
Maskini,,,, nakuhurumia sana....

Ukienda kuchukua akili zako kwa ulie mkabidhi hutabwabwaja hivi...
ukienda kuchukua akili zako kwa uliyemuachia utaelewa tu kilichoongelewa,pole sana,akili sio kujaza makaratasi meupe
 
Hakuna mbunge yeyote anayeweza kuacha kazi Yake kwenda kuchukua kadi ya ccm hizi ndio ndoto za alinacha
 
Nchi hii inahitaji wazalendo wa kweli wenye ujasiri wa kuacha kazi na nyadhifa zao serikalini kupinga mateso na maonevu yanayofanywa na watawala dhidi ya wananchi wanyonge wasio na mtetezi.

Tulimuona wote Lipumba akijitokeza mbele ya vyombo vya habari kutoa wito kwa Lowassa aje UKAWA. Siku chache mbele Lipumba yuleyule akajitoa! Swali la kujiuliza, Lipumba na uzoefu wake wote nani alimlazimisha kutoa wito ule?!
Wananchi hawawahitaji wanasiasa wa kwenye vyama vya siasa visivyo hata madarakani wawachanganye kwa upuuzi wa aina hiyo. Wazalendo walio ndani ya serikali wajipambanue wazi bila unafiki waonekane, siyo hizi jitihada zisizo na tija kwa taifa zinazofanywa kwa visingizio vya kupinga mambo ambayo hayana faida yoyote kwa taifa.
 
Haya,TAREHE 24 imeisha hakuna mbunge hata mmoja wa chadema aliyetoka.
Vyanzo vya kupumulia gesi sasa vinaona aibu
 
Nchi hii inahitaji wazalendo wa kweli wenye ujasiri wa kuacha kazi na nyadhifa zao serikalini kupinga mateso na maonevu yanayofanywa na watawala dhidi ya wananchi wanyonge wasio na mtetezi.

Tulimuona wote Lipumba akijitokeza mbele ya vyombo vya habari kutoa wito kwa Lowassa aje UKAWA. Siku chache mbele Lipumba yuleyule akajitoa! Swali la kujiuliza, Lipumba na uzoefu wake wote nani alimlazimisha kutoa wito ule?!
Wananchi hawawahitaji wanasiasa wa kwenye vyama vya siasa visivyo hata madarakani wawachanganye kwa upuuzi wa aina hiyo. Wazalendo walio ndani ya serikali wajipambanue wazi bila unafiki waonekane, siyo hizi jitihada zisizo na tija kwa taifa zinazofanywa kwa visingizio vya kupinga mambo ambayo hayana faida yoyote kwa taifa.
Hakumkaribisha kugombea urais. Naweka kumbukumbu sawa tu!
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom