Mbunge Masaburi: Kuna wabunge na viongozi mashoga

Mbunge Mama Masubiri akichangia hoja bungeni amesema kuna viongozi wanawafahamu ni mashoga ndio maana kuna ukakasi kwenye kukemea jambo hilo

Mbunge Mama Masaburi amesema zamani wao ukizaa mtoto wa kiume unasema nimezaa mjeshi lakini siku hizi watoto wa kiume ni nyoronyoro sana

Mbunge Mama Masaburi amesisitiza watu hao wanafahamika hata Yeye nyumbani kwake angekuwa anakaa na shoga angemnyongelea mbali huko au angehama kabisa kukaa nae

Mbunge Mama Masaburi amesisitiza kuna ukakasi gani viongozi kukemea suala hilo na hata bungeni kuna ukakasi kutokana kuna wabunge na Viongozi wanajihusisha na Mapenzi ya jinsia moja
Mmmh sasa tutawajua Tu washaanza kutajana
 
Anamchokoza sauti ya zege huyu

Sent from my Nokia 5.1 Plus using JamiiForums mobile app
 
Mbunge Mama Masubiri akichangia hoja bungeni amesema kuna viongozi wanawafahamu ni mashoga ndio maana kuna ukakasi kwenye kukemea jambo hilo

Mbunge Mama Masaburi amesema zamani wao ukizaa mtoto wa kiume unasema nimezaa mjeshi lakini siku hizi watoto wa kiume ni nyoronyoro sana

Mbunge Mama Masaburi amesisitiza watu hao wanafahamika hata Yeye nyumbani kwake angekuwa anakaa na shoga angemnyongelea mbali huko au angehama kabisa kukaa nae

Mbunge Mama Masaburi amesisitiza kuna ukakasi gani viongozi kukemea suala hilo na hata bungeni kuna ukakasi kutokana kuna wabunge na Viongozi wanajihusisha na Mapenzi ya jinsia moja
Aache Mara moja kulichafua bunge letu tukufu! Kamati ya maadili imuite haraka atoe ushuhuda usiotia Shaka pamoja na majina ya wabunge wanaojihusisha na ushoga pamoja na maeneo wanakokutania kwani anao ushahidi wa kutosha. Akishindwa asimamishwe vikao vyote vya bunge vya mwaka huu kwa usnitch wake wa kuingilia faragha za wengine kwani katiba waliyotengeneza wenyewe wabunge waliweka kipengele Cha kulinda faragha zao wakiwemo na wabunge anaowashambulia
Hii spinning ya mafisadi kuhamisha mjadala kwa kuwatumia wabunge wasio na majimbo ili kuuvuruga mjadala wa cag ipingwe kwa nguvu zote na popote na yeyote na mahali popote ili nguvu ya umma unaoibiwa Kila mwaka ushinde Vita hivi vya wachache kunufaika na Kodi zetu. Tusiwaamini kabisa wabunge Hawa wa ccm Bali umma kwa umoja wetu tunaweza kuishinda hii mbinu yao ya kitoto!
 
Naona sasa huu umeshakuwa upumbavu. Kila kiongozi akisimama ni kuongelea ushoga wengine bila facts kabisa. Ninachoona hapa kinachoendelea ni kama kufanyia promotion suala zima la ushoga. Kwanini tusiwe bize kupambana kimyakimya na mambo yanayosababisha ushoga? Kwa mfano tujiulize haya mabilioni yaliyopigwa serikalini yangetumika kuwezesha vijana tungeokoa vijana wangapi waliotumbukia kwenye ushoga kutokana na ugumu wa maisha?

Watu wengi hasa viongozi wakipata pesa huwa ndo mwanzo wa kufanya mambo ya laana badala ya baraka. Hawa mashoga wa town kila mara ukisikiliza stori utasikia flani analiwa na kiongozi mkubwa au mfanyabiashara fulani. Cha kushangaza hao wafanya laana ndo wanasimama na kujifanya wanakemea. Siku hizi ukiwa na mwanamke wako akakuambia ana safari ya Dodoma basi uwe makini tu. Viongozi kibao ndo vinara wa maovu yanayohusisha ngono. Kwa sisi tuliojikuta tupo karibu na mambo mengi makubwa ya town huwa tunasikitika sana. Yaani stori zote za hawa wazito zingekuwa zinatoka kama zilivyo kwenye media nchi ingetikisika.
 
Mbunge Mama Masubiri akichangia hoja bungeni amesema kuna viongozi wanawafahamu ni mashoga ndio maana kuna ukakasi kwenye kukemea jambo hilo

Mbunge Mama Masaburi amesema zamani wao ukizaa mtoto wa kiume unasema nimezaa mjeshi lakini siku hizi watoto wa kiume ni nyoronyoro sana

Mbunge Mama Masaburi amesisitiza watu hao wanafahamika hata Yeye nyumbani kwake angekuwa anakaa na shoga angemnyongelea mbali huko au angehama kabisa kukaa nae

Mbunge Mama Masaburi amesisitiza kuna ukakasi gani viongozi kukemea suala hilo na hata bungeni kuna ukakasi kutokana kuna wabunge na Viongozi wanajihusisha na Mapenzi ya jinsia moja
TANZANIA INAPAMBANA NA UCHAFU HUU KIMYA KIMYA NA NAPE AMESHALITOLEA HILI UFAFANUZI KWA NIABA YA SEREKALI, TANZANIA HAIKUBALIANI NA HUU UCHAFU NA INAPAMBANA NAO, NDIO MAANA MNAONA BAADHI WANAFUNGWA MAGEREZANI, MBUNGE KUTAMKA TAMKA UCHAFU HUU HADHARANI WAKATI MWINGINE NI KUUTANGAZA UCHAFU HUU ZAIDI NA ZAIDI.
BE NOTED.
 
Huyu nafikiri lengo lake kubwa ilikuwa kwa wale wasio na mashine lakini wanasaga, Kuna wabunge watatu nlishaskia wanamichezo hiyo
 
TANZANIA INAPAMBANA NA UCHAFU HUU KIMYA KIMYA NA NAPE AMESHALITOLEA HILI UFAFANUZI KWA NIABA YA SEREKALI, TANZANIA HAIKUBALIANI NA HUU UCHAFU NA INAPAMBANA NAO, NDIO MAANA MNAONA BAADHI WANAFUNGWA MAGEREZANI, MBUNGE KUTAMKA TAMKA UCHAFU HUU HADHARANI WAKATI MWINGINE NI KUUTANGAZA UCHAFU HUU ZAIDI NA ZAIDI.
BE NOTED.
Huo ni msimamo wa nape na sio serikali
 
Nimeamini hili swala linapigwa promo kiaina.

Kwanini daily ni habari za LGBTQIA tu?
Kadri wanavyo zidi kuongea ndo wanalipa promo. Wenyewe wanajidai wanapiga vita na kukemea lakini ukweli ni kwamba kukaa kimya ndo vita sahihi kwa hili jambo
 
Hawa wabunge wa kubebwa wanajua ethics za Bunge kweli?

Hizi ni tuhuma serious Kwa mhimili na kama hatua hazitachukuliwa itakuwa ni wazi kabisa wapo wa hivyo..
Hili unadhani haliwezekani?
Mkuu think big na useme linawezekana!

Kule kilimanjaro Halmashauri moja ilipiga kura ya kumuondoa Mstahiki meya na mojawapo ya sababu Ni kuhudhuria Birthday Party ya Machoko na kuwasapoti.

Huyu Mstahiki Meya Ni diwani, haikuwa kwa Bahati mbaya kualikwa kwenye shughuli Ile lazima Kuna connection ama ya urafiki au uhusiano wa watu wa namna hiyo! Na kumbuka Ni Dsm na sio Kilimanjaro Party ilifanyika!

Kwa mantiki hiyo Basi Kama kiongozi huyo (Meya) ambaye Ni diwani na ana ushawishi mkubwa eneo husika ana nafasi kubwa ya kugombea ubunge na akapata ubunge na akaenda Bungeni kuwakilisha wananchi katika chombo kikuu Cha maamuzi na kutunga Sheria!

Sasa Basi tunajua wako wangapi wa Aina yake ambao wako Bungeni mpaka Sasa? Na je ikitokea kutungwa Sheria Kali dhidi ya Ushoga na mashoga huoni Kama watu Hawa watatumia nguvu kubwa kupinga au muswada huo kwa mwamvuli wa haki za binadamu nanwakapata uungwaji mkono kwa watu wa namna hiyo?

Kama unafuatilia mitandao ya kijamii Kuna clip moja kutoka zanziberi inamuonesha dogo amefunikwa sura asitambulike anavyoeleza Ni namna gani nafasi kwenye uongozi wa chama ilimfanya atafunwe na watu zaidi ya sitini anaokumbuka! Mimi na wewe tunajua kwamba udhamini wa chama Ni muhimu kwa mtu kuwa mwakilishi au mbunge wa JMT!
Kwa maana hiyo Sasa kumbe miongoni mwa viongozi wa chama wapo mabasha na Machoko wa kutosha unadhani wataacha kupindisha mjadala juu ya Vita dhidi ya uchoko na ubasha? Sote tunajua ukwasi wa wabunge wetu Mara tu wanapoingia mjengoni! Huoni kwamba Hawa watu wa hii jamii hasa kutoka nje wanaweza kuwa wanawatumia wabunge (baadhi) wenye mrengo huo ili kwa Siri kuinfluece maamuzi juu ya Vita dhidi ya Ushoga na ubasha pamoja na lesbianism?

Mama Masaburi hajaongea kwa Bahati mbaya hata kidogo! Wale wabunge wanakaa pamoja muda mrefu Ni sawa na wanafunzi au wafanyakazi wa Idara Fulani; hivyo ni Jambo la kawaida kujua tabia ya Fulani Kama Ni mlevi, mzinzi, Malaya na hivi Sasa Basha au PUNGA! Kwahiyo mama huyu anavyosema lazima Kuna ukweli ndani yake!

Sote Ni watanzania na tunajua nafasi za ulaji zinatafutwaje hasa hizi za kisiasa na Mambo ya utajiri! Hakuna mtu asiyejua kuhusu Mambo ya kafara misukule n.k ili mtu apate mkate wenye siagi na jibini!
Duru zinasema Kafara zimepungua kutoka kwenye kumwaga damu kurudi kwa
1. Wazazi kutembea na watoto wao! Hasa wanaume kulala na mabinti zao.
2.Wanaume kupigwa miti au kupiga miti!
Sasa Kwa umaskini huu na mtu anatafuta uteuzi au ubunge Mana hata ubunge unatokana na kukubalika kwenye chama asiliwe witi au ale witi nyota ing'ae? Na aachane na Mambo ya msukule au kuua alibino.

Sote tunajua Tanzania Kuna biashara ya ukahaba isiyo rasmi hata kidogo!
Mashoga na wanawake wengi wanafanya hiyo bishara ili kujikimu kimaisha (kupata fedha) makahaba wengi na mashoga wanajua wazi kwamba Dodoma Kuna hela sababu ya uwepo wa viongozi wengi wa serikali na wabunge ambao huishi kwenye mahoteli bila familia zao!

Wengi tunafahamu kwamba biashara ya ngono imehamia mtandaoni hasa katika mitandaao ya tinder, telegram na WhatsApp! Ukiingia katika mitandao hiyo hasa telegram utaona mashoga wengi wanonesha location zao Ni Dodoma kwa asilimia 70 au hata 80 (no clear statistic)
Sasa Kama wabunge wote wako Dodoma na watendaji wengine wa serikali kundi hili wateja wake wakubwa Ni akina Nani Kama sio hao? Na kwakua ukiwa na smart phone tu kazi imeisha tayari huhitaji kusimamisha gari na hata au mnazi! Au kwenda usiku kuhunt mtaani ujulikane who will know kwamba Mbunge X amemfira shoga x!?
Mama Masaburi is right na apaswa kuungwa mkono!

Ukitaka kujua Kuna usodoma na ugomora uliokithiri jaribu kufanya study huko telegram utakuja kusema hakuna aliyesalama miongoni mwetu!
Umaskini huu nao unachangia ikiwemo ukosefu wa ajira na Mazingira ya kujiajiri kwa kundi kubwa la vijana na kwa ajili ya kupata maisha mazuri wanafall victims kwa wenye fedha zao.
.,.....,...
 
Wawataje mbona wanazunguka zunguka?
 
Wa
Kadri wanavyo zidi kuongea ndo wanalipa promo. Wenyewe wanajidai wanapiga vita na kukemea lakini ukweli ni kwamba kukaa kimya ndo vita sahihi kwa hili jambo
Wazungu Ni wajanja wametega bomu wakakaa mbali wakatuacha sisi peke yetu tutangaze na kuhamasisha Jambo hili kupitia katika kila platform
Za kisiasa, kidini, mashuleni, mitandao yote ya kijamii n.k.

Huko mbwinde ambako hawajui hata Nini Mana ya Ushoga Sasa wanajua na watoto ambao wako katika umri wankujaribu nao kwa kiasi kikubwa wanaanza na watajaribu Sana! Miongoni mwao wapo watakaoendelea na wapo watakaoacha kwahiyo community hiyo itajiongezea wanachama na sisi tutapoteza wanachama!

Mathalani Jumapili ya Pasaka makanisa yote yamezungumzia swala Hilo! Unadhani kwa kiasi gani wamenflunce waamini wenye umri mdogo na mkubwa kujaribu?
 
Wawataje mbona wanazunguka zunguka?
Unadhani wakiwataja ndio swala litakua limeisha au litaogopwa?
La hasha! Tabia moja ya mashoga baada ya kufumuliwa marinda huwa na mshipa wa aibu! Na hivyo hupenda recognition!
Akitajwa mbunge shoga haimondolei sifa ya kuwa mbunge, HAKUNA mahala kwenye katiba yetu au sheria zetu panataja homosexuality Kama kigezo Cha kumnyima mtu sifa ya kuwa Mbunge!
Nini kifanyike! Ni katiba itamke na sheria itungwe!
 
Mbunge Mama Masubiri akichangia hoja bungeni amesema kuna viongozi wanawafahamu ni mashoga ndio maana kuna ukakasi kwenye kukemea jambo hilo

Mbunge Mama Masaburi amesema zamani wao ukizaa mtoto wa kiume unasema nimezaa mjeshi lakini siku hizi watoto wa kiume ni nyoronyoro sana

Mbunge Mama Masaburi amesisitiza watu hao wanafahamika hata Yeye nyumbani kwake angekuwa anakaa na shoga angemnyongelea mbali huko au angehama kabisa kukaa nae

Mbunge Mama Masaburi amesisitiza kuna ukakasi gani viongozi kukemea suala hilo na hata bungeni kuna ukakasi kutokana kuna wabunge na Viongozi wanajihusisha na Mapenzi ya jinsia moja
Atauweza mziki wa Halima Mdee huyu mama?
 
Back
Top Bottom